Kenya development is on steroids

Kenya development is on steroids

Nope. Kumbuka nimesema "dongo kundu" ni kufupisha. Neno kamili ni "udongo mwekundu". Kama bado hukubaliani nami ni sawa, sina haja kubishana. Mimi naelewa naongea juu ya nini.

Dongo = clay
Udongo = soil
Udongo/dongo is not clay but soil. Clay is a derivative of soil just like sand. Dongo kundu= Red soil. Kiswahili chenu kibovu siku zote. Udongo mfinyanzi= Clay soil.
 
Picha zako umeedit vizuri. kuna uzi humu ambako zitafaa naomba nizitumie
 
aND THE PORT
Dc5k8-_XUAE1Ul9.jpg
 
Of course on steroids a reason at Mombasa port floods n wagons r overturning.
 
Ila watanzania tukiacha ujinga pembeni tutaweza kupambana na Kenya kwenye masuala kama Miundombinu.

Hongereni .

Sisi hatupambani na mtu AWAYE yote. Bali tunapambana na malengo YETU tuliyojiwekea. Hata na wewe nakushauri katika maisha YAKO pigana na malengo yako uliojiwekea na si kupambana mtu. Utasumbuka SANA Katika maisha.
 
GOOD project. How many kilometres from point A to point Z?
 
@kafrikan utawapa watu presha humu.
 
Back
Top Bottom