Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Na mimi huwa sipambani na mawazo ya mtu nawe hakikisha kwenye maisha yako unafata mambo yako.Sisi hatupambani na mtu AWAYE yote. Bali tunapambana na malengo YETU tuliyojiwekea. Hata na wewe nakushauri katika maisha YAKO pigana na malengo yako uliojiwekea na si kupambana mtu. Utasumbuka SANA Katika maisha.