Kenya dollar shortage

Kenya dollar shortage

mfutwa1

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
81
Reaction score
232
Kenya kuna uhaba wa dola za Marekani sahii tunauziwa dola moja kwa shiligi za kenya 137. Shilingi ya kenya ilikua shilingi 21 za bongo sahii ni 18.

Bongo dola ni pesa ngapi
 
Na bado Raila hajaanza vitu vyake rasmi, muda si mrefu manbo yatakua Bam Bam huko mitaa ya Nbi.
 
Na bado Raila hajaanza vitu vyake rasmi, muda si mrefu manbo yatakua Bam Bam huko mitaa ya Nbi.
Mnaweza mkawa na akiba kybwa just because hamna heavy projects running
 
Back
Top Bottom