Kenya Election 2007: Outcomes


Mkuu

Watanzania wanaotuangusha hasa hasa ni wasomi, waliowengi pamoja na kujua umuhimu wa kupiga kura ni mara chache watajipanga katika mistari kupiga kura, may be KT anaweza kutwambia ni wakenya wangapi wametoka nchi mbalimbali kwenda kupiga kura na kuongeza munkari.

Tanzania hili litawezekana kama wasomi na hata JF watajitokeza hata kwenda mpaka kule Shinyanga kuhamasisha hata kushiriki kupiga kura vinginevyo Tanzania tutalalamika milele.
 

Kakindomaster,

Hapa inabidi nikupinge kidogo. Watanzania walio wengi hata wasomi wanapiga kura kwa sana tu. Mnyika alipata kura nyingi sana za wasomi wakati wa uchaguzi uliopita kabla ccm hawajafanya mizengwe yao inayowaweka bungeni watu kama huyo mbunge wa kinondoni.

Mwaka 1995 wasomi kibao walisukuma vuguvugu la uchaguzi na kuna report kuwa wapinzani walishinda viti vingi sana vya ubunge kabla ccm hawajafanya usanii wao. Tatizo la Tanzania ni ccm nawala sio wananchi. CCM inabidi itolewe madarakani ili vyama vyote vianze upya. CCM inahodhi kila kitu kuanzia serikali kuu hadi watendaji wa mitaa na imepania kufanya ufisadi milele.

Naungana na Kitila kuwa kutoa matatizo ya Tanzania ni kuungoa mti wenyewe (CCM) na sio kukata matawi ambayo yanachipua kila leo na so fara wasomi kibao wanajaribu ingawa safari inaonekana kuwa ndefu kuliko wengi tunavyotaka.
 
ni kweli mshirika,mimi fariki yangu amerudi kenya kwenda kupiga kura,na nimeongea naye muda mfupi uliopita akiwa na furaha tele juu ya ushindi wA ODINGA.Lakini sisi waswahili ni maneno tu.
 
hivi hawa ccm wanatumia mbinu gani kuiba kura,kiasi wapinzani wameshindwa kuigundua na kupigwa bao kila uchaguzi au ni maneno ya kijitoa kimasomaso tu.
 
hivi hawa ccm wanatumia mbinu gani kuiba kura,kiasi wapinzani wameshindwa kuigundua na kupigwa bao kila uchaguzi au ni maneno ya kijitoa kimasomaso tu.

Mbinu ya kwanza inayojulikana sana ni kuchukua karibu wiki nzima kabla ya kutangaza matokeo ya Zanzibar ambako kuna watu kama milioni moja tu na wananchi mkiandama kutaka matokeo yatangazwe munapigwa risasi na maiti zenu zinapandikiziwa mabomu ili muonekane kuwa mulitaka kufanya uhalifu.
 
Nyaribari Chache

FORMER cabinet minister Simeon Simeon Nyachae has lost his Nyaribari chache parliamentary seat to a newcomer, Dr Robert Monda, maintaining the area's political tradition of electing leaders for less than two decades.

Monda, NARC, veterinary Dr garnered 11,336 votes against Nyachae's 9,909 of Ford People party to clinch the seat contested by 20 parliamentary candiadtes which the immediate Mp held for 15 years consecutively.


Ijara Constituency Results

Registered 17,000

Presidential :-

President Mwai Kibaki - PNU 5,740

Raila Odinga - ODM 4,593

Kalonzo - ODM-K 26


Parliamentary

Mohammed Yusuf Haji (PNU) 5,740

Ahmed Ibrahim Abas (ODM) 4,144

Ahmed Ali (Kenda) 836

Rtd Major Abdi Salat (Narc-K) 138

Hassan Haji (DAWA) 14



Results for Mwatate Constituency


Presidential;

Raila Odinga...........10,958
Kibaki.......................6,791
Kalonzo.....................877


Parliamentary;

Calist Mwatela (ODM)...........7179
Marsden Madoka (Kanu)......6578
Jeremiah Kiwoi (ODM-K)......2506
Joyce Mwangoji (Narc-Kenya)......944


MWINGI NORTH

Mwingi North constituency

Presidential :-

President Mwai Kibaki - PNU 8,563

Raila Odinga - ODM 257

Kalonzo - ODM-K 41,843


Parliamentary :-

Kalonzo ODM- K- 42,790

Munure Mati - PNU - 5,253

Mutunga (Mazingira) - 5,253

Muriungi DP - 710

Joseph Musyimi ODM 360

Mutemi Kaddu - 418

Presidential - SAKU CONSTITUENCY

Mwai Kibaki - PNU 12,124

Kenneth Matiba -Saba Saba Asili 9

Kalonzo Musyoka - ODM-K 1,232

Raila Odinga - ODM 5,682

Ngacha Karani - KPTP 27

Nazlin Omar - WCP 9

Pius Muiru - KPP 9

Jeremiah Kukubo - RPK 6

Ng'ethe Waweru 3


Parliamentary

Hussein Sasura - ODM-K 4,913

Jarso Falana - ODM 4,080

Halake Wako - PNU 3,215

Mohammed Safe - CCM 1,692

Dr. Hussein Adam - SAFINA 66

Alexander Abduba - KENDA 42


Total Registered 19,247

Total Cast 15,514

Spoilt 115

Turn Out 73.8%
 
MANDERA WEST

Presidential

Kibaki 7857
Raila 8585
Kalonzo 36


Parliamentary


Mohamoud Maalim Mohammed ODM 8.261
Mohammed Abdi KANU 6607

MAKUENI
Presidential

Kibaki 1,288

Kalonzo 17,339

Raila 177

Parliamentary

Peter Kiilu ( ODM-K) 7,077
Onesmus Makau (CDP) 4,600
Kibutha Kibwana (PNU) 2,512
GACHOKA
Mutava Musyimi - 20,080
Joe Nyaga- 2,011

NYATIKE

Presidential

Raila - 48,655

Kibaki - 321

Kalonzo - 30


Parliamentary

Edik Anyanga ODM - 27,915

Kennedy Okongo UBP -15,424
IGEMBE NORTH

Presidential

Kibaki - 45,029

Raila - 1,838


PARLIAMENTARY
Ntoitha Mithiaru PNU - 32,262
Mutuma Joseph Forepe - 12,125
Mooka Maore KANU - 9,239
 
WASALAAM WALEIKUM KWA MARA NYINGINE TENA WAHESHIMIWA,

HAYA HIZI HAPA HABARI MOTOMOTO

NAMBA ZA VITI ZA KILA CHAMA KUFIKIA SASA
1. ODM – 72
2. PNU – 18
3. ODM-KENYA – 6
4. KANU – 5
5. NEW FORD KENYA -2
6. FORD KENYA 1
7. NARC – 2
8. NARC KENYA – 2
9. SISI KWA SISI PARTY – 1
10. SAFINA - 1


MORE NEWS


1.HIZI VYAMA NDIZO KWA SASA ZITAWEZA KUONA NDANI YA BUNGE LA KUMI TANGU INDEPENDENCE 1964.

2. KURA ZA WAJIR KASKAZINI KURUDIWA TENA BAADAYE BAADA YA WAGOMBEAJI WAWILI WA PNU NA ODM KUIBUKA NA MAKSI SAWA. HII ITAFANYIKA BAADAYE KAMA SERIKALI MPYA ISHA APISHWA.


3. KALONZO MUSYOKA NA TIMU YAKE YA WABUNGE WAKUTOKA UKAMBANI WALIOSHINDANA KUPITIA TIKITI YA ODM KENYA WOTE WAMEPATA USHINDI ISIPOKUWA YULE WA CHAMA HICHO ALIYEJARIBU KUSHINDANA NA MAMA RAINBOW AU CHARITY NGILU (NARC/ODM)

4. MINISTA WA 18 WA SERIKALI YA KIBAKI AMESHINDWA PIA. HUYU NI PROFESA KIVUTHA KIBWANA - WAZIRI WA LANDS. WAZIRI MWINGINE TENA WA TORATI NA UHIFADHI WA UTAMADUNI, SULEIMAN SHAKOMBO WA PNU ATOKAYE HUKO PWANI MOMBASA ALISALIMU AMRI KWA KIMBUNGA CHA ODM NA SASA HANA KAZI HUYU! WANANCHI WAMEWABWAGA CHINI MINISTA 19 KUFIKIA SASA. HABARI ZINAZOMIMINIKA HIVI SASA NI KWAMBA PIA MINISTA WA MAJI MUTUA KATUKU AMEANGUSHWA KURA HIVI SASA.

5.KWA WANAWAKE 130 WALIOJIMWAGA UWANJANI KUMENYANA NA WANAUME KWA ELECTION YA MWAKA HUU HAWA WAMEFAULU:

A) PROFESA MARGARET KAMAR - ODM
B) DR. SALLY KOSGEI - ODM
C) PERIS CHEPCHUMBA - ODM
D) LORNA LAMBASS - ODM
E) CHARITY NGILU AL MAARUFU MAMA RAINBOW - NARC/ODM
F) DR. NAOMI SHABAAN - KANU
G) MARTHA KARUA - PNU (ALIKUWA WAZIRI WA KATIBA HUYU)
H) LINAH JEBII KILIMO - KENDA


6. PROFESA SAITOTI AMESHINDWA. PICHA ZIMONYESHWA WAKATI NDUGUYE HUYO MINISTA WA PNU ALIJARIBU KUINGIZA BOXI ZILIZOJAA KURA KWENYE OFISI ZA HESABU HUKO ENEO BUNGE LA KAJIADO KARIBU NA MPAKA WA TZ YAAN NAMANGA. SASA BASI JAMAA HUYU ALIKAMATWA NA VIJANA MACHIPUKIZI WA ODM WALIOKUWA WAPO TIYALI KWA LOLOTE KUCHUNGA USHINDI WA ODM. WAMEMPIGA KIPIGO CHA UMBWA NA POLISI WAMEMUOKOA KWA KUFYATUA RISASI KALI HEWANI.

7. MAKUNDI YA VIJANA WANAOJIITA "MABOYZ WA RAILA" WAMEVINGIRA MAOFISI ZA KUHESABIA KURA KWINGI NCHINI WAISHIPO ILI KIBAKI ASIJARIBU KUIBA KURA KWA NJIA YOYOTE.


______________________________________________________________

HESABU ZA KURA

SOURCE: KTN TV

SAA: 8.11PM

JUMLA YA NAMBA ZA KURA ZINATARAJIWA; 14, 308, 909 VOTES


RAILA ODINGA – ANA KURA 3,341,116 MILLION
MWAI KIBAKI ANA KURA 2,450,871 MILLION
KALONZO MUSYOKA ANA KURA 448,121 THOUSAND
KUFIKIA SASA MATOKEO NI KAMA YAFUATAYO

KWA KURA AMBAZO ZIMEINGIA NAIROBI SASA NI KARIBU MILLIONI 6.5 – RAILA (58.7%), KIBAKI (39.1%), KALONZO (2.0%)
 
Hivi nimekuwa na makengeza nini!!! maana naona tovuti/website zote za habari Tanzania hakuna yenye hata ka-so called "breaking news"

Mwananchi
IPPMEDIA NA MIKOGO YAKE
HABARI CORPORATION
MAJIRA & BUSINESS TIMES
RADIO FREE AFRICA
RAIA MWEMA

Vyombo vyetu vyote hivyo hakuna hata kimoja kimeamua hata kuweka link ya Watazamaji wake kufuatilia matokeo ya Uchaguzi huko Kenya...

Mimi nawaambia Watanzania pamoja na Kwamba Tunasema JK, EL, etc... Wote kwa pamoja tuna matatizo makubwa mno!!! Angalia waandishi wengi wa habari kama hawako Ukanda wa Gaza sasa hivi wanapata moja moto moja baridi...


We have a long way to go wajameni... it is not an issue of a single individual TZ tuna matatizo!!!!

Mimi leo Ungeniambia Shea za JamboForums aka JF zinauzwa ningeuza kofia mpaka ndala ninunue kwa kuwa najua kuna mafanikio makubwa mbeleni...

JF lini kwenda kwenye soko la Hisa... nataka tuwatoe makamasi IPPMEDIA, AFRICA GROUP, SAHARA etc.. etc...

I can't wait!!!

BTW; Kilitime mtaalamu wa kutoa watu kwenye mada....

ALAFU ATI MNASEMA VIVA EAF,,, KWANI MNAJUA LOLOTE LINALOTOKEA KWENYE NCHI HIZO MNAZOTAKAKUUNGANA NAZO!!! S***T
 

By: KBC Reporter
 

Mwafrika wa kike

Nitakubaliana na wewe kwa mwaka 1995, hili kweli watanzania walikuwa na mwamko na wasomi walipiga kura na huo ndio ulikuwa mwisho wa wengi kupiga kura.

Lakini baada ya hapo wasomi wengi walikata tamaa na kujua kuwa haiwezekani wengi wanafikiria ni kupoteza muda.Ni wasomi wachache Tanzania walioko tayari kulala hata katika vituo vya kupigia kura.

Wizi ni wa hali ya juu sana lakini kilicho kikubwa CCM mara nyingi wamekuwa wakisukuma mlevi.

Assume wewe hapo ndiyo unasimamia kituo kweli kuna mtu atakuibia?
 
JF,
Kibaki ni jamaa yangu mda mrefu! He is really a gentleman - (Lucy yuko tofauti kidogo!)

Ni kitu gani Kibaki amewaudhi wana Kenya?

Mimi nashindwa kuelewa - je Raila ni jawabu la maisha mema kwa Wakenya? Kumbuka issue ya Chiluba Zambia na Bakili Muluzi Malawi!

We do not have a guarantee that Raila Is any better!

Ni kitu gani Kibaki amewakosea Wakenya? Kama ni Lucy mimi naomba mumsamehe tu Mzee- he is real a gentleman!

Heshima mbele JF!
 

Jana nilikuwa nalifikiria hili, pia nikafikiria katika angle nyingine pia, lakini hapa si mahala pake. Nikipata muda nitaliweka huko kwenye siasa.
 

MKuu

Maji yakimwagika hayawezi zolewa.

Kibaki hata kama amefanya makubwa kiasi gani ni byebye
 

Si kweli kuwa wasomi wengi wamekata tamaa, kwa sasa wanajaribu kutafuta namna nyingine ya kuitoa ccm madarakani hata ikiwezekana ku-plant watu ndani ya ccm. Kitu kimoja kinafurahisha ni kuwa Kikwete ataivunja ccm kutokea ndani.

Ukisoma ile post yangu ya Kikwete kuwa zawadi ya wapinzani ni kuwa Kikwete amedhihirisha wazi kuwa hajali maslahi ya wananchi na ya watanzania wengi ikiwemo wanaccm wenyewe (ukianzia na mbeya ambako ameogopa kabisa kwenda). This guy amefungwa na mafisadi kuanzia Rostam Aziz hadi Sinclair na wanaccm wengi wameanza kujua hili.

CCM itavunjika kutoka ndani na huu ni ukwel. Wasomi wengi sasa wanapanga mkakati wa nini kifanyike baada ya CCM kuporomoka maana hii inayokuja ni kali sana.
 

Kuna kundi la wakenya karibu 20,000 waliotoka Uganda wakasema wao wameamua ni Kibaki. Wengine walitoka marekani wakijiita DIASPORA 4 KIBAKI na walidai wana wanachama karibu 12, 000 waliowamobilaiz warejee nyumban kwa shamra shamra za kristmas na pia wampigie Kibaki kura. Halafu kuna wengine ambao walirejea tokea Uropa na India wengi tu, idadi sina ila hao wa Kibaki waliitisha press conference na wanahabari na kujitangaza hadharani ndio tukawafahamu.

Lakini kwa kifupi ODM walifanya kazi sana mashinani. You know walikuwa ndani ya serikali hadi 2005 december walipoamua kupinga katiba mbovu ambayo Kibaki na wappambe wake walitaka kupitisha kupitia kura ya maoni. Basi tangu hapo. Akina raila hawakulala, walijigawanya kwa matimu mawili na kuzuru Kenya nzima toka juu huko kwenye desert karibu na Ethiopia mpaka Namanga. Toka ziwa viktoria mpaka Lamu. Toka karibu na Sudani ya kusini mpaka Nairobi. basi wananchi waliokuwa wameonja utam wa kura yaan unaeza mtimua Moi aliyeruli kwa 24 years na Uhuru chaguo lake, hili lilionekana tamu kweli. halaf wakatesti tena utamu wa kura kuikataa hio katiba ya kibaki. Sasa wale waliokuwa wamegiv up hop na kuhamia ng'ambo walianza kupatwa na moyo kwamba Kenya inabadilika sana. Ndio hawakutaka kuluzi chans ya kujumlika na wenzao kuandika chapta mpya ya historia ya Kenya kwa kuing'oa mamlakani Rais wa kipindi kimoja tuu.

Kampeini zilikuwa kali sana. Zilifanywa kwa simu ya mkononi, kwenye internet, vyombo vya habari au kifupi kwa ICT za aina yote. Sasa hata wanaoishi huko misituni walipata ujumbe kwamba mwaka huu kura ni kali na wakafanya hima pia kuchapa kura. Nadhani mlimsikia kwamba raila alikuwa anakampeni mpaka Usauzi. Akatoa public lecture on demokratik stragols huko Makerere na kuhojiwa kwa FM redio za huko akisema kura hii itakuwa ya kihistoria sio tu Kenya bali EA na Africa nzima jili alikuwa amejitolea kimhanga kuunganisha makabila zote za Kenya, kuwapatia wakenya serikali yao waitakayo ya majimbo na kujinyima powers kubwa hizo za urais walizotumia vibaya kenyatta, Moi na Kibaki.

Hii ndio stori au version moja ya stori inayozungumzwa kila wakaapo wazee ( kwa mapabu) wakijaribu kuchanganua PNU ilianguka kivipi.
 

Kibaki hajafanya makosa sana ila tatizo pia ni umri wake - mzee ana miaka 76 sana unataka afie ikulu kama Kenyata? Hayo ya kuwa kenya itakuwa kama zambia na malawi ni propaganda za ccm na toa kabisa hapa propaganda na ushindwe ukilegea kabisaaaaaaa!

wapinzani wanaweza kuchukua na wakafanya vizuri na kama ikitokea wameshindwa hiyo ni exceptional. Cha muhimu ni kuwa Kibaki anaenda nursing home sasa, ccm ya kenya- KANU imekufa kwani hadi watoto wa moi wamepigwa chini, baadaye tuhamie Uganda tumtoe M7 na kumalizia na mafisadi waliokubuhu wa kibuzwagi - ccm ya mkwere AKA vasco da gama AKA Kikwete na Kigunge
 
Sina chuki na Raila lakini kwa maono yangu wakenya wangempa Kibaki muda wa kumalizia yale mema aliyoanzisha...ukiacha shida ya mkewe na ubinadamu ambao hata Raila na wenzie wanao, Kibaki ame-prove kuwa Kenya can do it katika uchumi
Raila amekosoa mengi ya Kibaki lakini naye si malaika, akiingia madarakani tu utasikia kelele dhidi yake; inabidi tufike mahali tukubali kuwa zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Angalia Tz tulivyomchukia Ben; ametoka tu tumeanza kumkumbuka; na ukweli ni kwamba wizi/ubadhirifu or not, serikali ya Ben ilifanya mengi kiuchumi... kubadili raisi every other term will cost the country a lot, huyo Raila mpaka amalize kulipa fadhila kama Jk wakenya watakuwa wameshamuona raisi mwingine ndo atawafaa..lets not change presidents, rather, lets try to change our mentality and attitudes..by shaping them once they are up there...viongozi wetu wajue kuwa wananchi wako makini kufuatilia utendaji wao, otherwise tutauana wenyewe kwenye chaguzi kila baada ya miaka mitano/mitatu etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…