Kenya Election 2007: Outcomes

Kuna vitu vya aibu vimewahi kutokea katika Afrika sidhani hata Mugabe alifanya aliyoyafanya Kibaki. Ni aibu hata kuyafikiria. Ninaelewa kwanini wanafalsafa hawawi watawala!
 


WALITUKATIA UMEME NA PIA HATUKUA NA ACCESS YA MTANDAO. HIZI HAPA PICHA ZA UHASAMA UNAOTENDEKA NCHINI













 
Kibaki na wenzake wanajua wazi hapo wamechemsha na wameiba kura ila wanatafuta pa kutokea tuu sasa,natabiri kutakuwa na some deals watafanya na Odinga kushare key cabinet positions ili kunusuru nchi na kuficha aibu

MKUU, RAILA SIO THAT TYPE YA KIONGOZI. NA KUHAKIKISHIA KAMWE HAWEZI UNDA SERIKALI MOJA NA KIBAKI!
 



wengi waliona ss wazanzibar vichwa maji.

wachache wa kufikiri na wakaonesha jinsi gani tulivyokuwa hatuna ustaarabu.

lakini ukweli ni huu baadhi ya wakati uroho wa madaraka mwerevu huwa kuliko mjinga.

nnawatakia kila la heri ndugu zangu wa kenya na sio wakati wa kukumbushana yaliopita
 
Kuna vitu vya aibu vimewahi kutokea katika Afrika sidhani hata Mugabe alifanya aliyoyafanya Kibaki. Ni aibu hata kuyafikiria. Ninaelewa kwanini wanafalsafa hawawi watawala!

Mkuu hawa wote ni wauaji huwezi kusema muuaji moja ni bora kuliko mwingine kila kifo cha namna hii ni kibaya kwa tamaa ya madaraka.

Kwa nini maisha yateketee kwenye new year eve? Ulimwengu mzima unasheherekea mwaka mpya wakati sisi tunashuhudia MAFISADI wakiua bila huruma.
 
hivi inawezekana ikulu patamu kiasi hicho??? kwa nini Kibaki asijiuzulu hata kwa muda tu wafanye mazungumzo ya amani ili angalau aonekane ana jali maisha ya watu? kwanini Raila asiwatangazie watu wa chama chake watulie ili walau viongozi wao wajadili njia ya amani ya kujitetea??
hapa ni kama vile ubabe ubabe tu pande zote mbili, kuibiwa kura inauma sana..ndio, lakini mwanao akitundikwa risasi unauma zidi!!!
Nawaombea amani wenzetu wakenya
 
Jamani kenya imekuwa kinya tuwaombeeni amani.

Mwanakijiji mbona hujahoji watanzania waliuokuwa kwenye uchaguzi kenya?

Msanii naomba utupe watu watatu wa CCM waliokuwa kwenye uchaguzi kenya.

Kibaki naomba ahachie nchi mara moja baaada ya kuiba kura kwa kishindo.

This is mission impossible.

walio ona senema hii wataongeza
 
Africa is incompatible with democracy! Why? Because democracy relies on majority rule and this is the problem. The west is doing a huge disservice to Africa by trying to push democracy especially from the to top-down and as a result more people will die. The west ignores and is ignorant to the realities of Africans. Only dictactorship or absolute monarch or another form of absolute power will work in Africa. To let the majority of Africans make decisions is a recipe for disaster. The violence in Kenya would not have happened if it wasn't for the push to democracy by the west.
 
Kibaki naomba ahachie nchi mara moja baaada ya kuiba kura kwa kishindo.

Ebwana hiyo senteso hapo juu uliyokaziwa rangi inasikititisna-inachekesha
 
Hali sio Nzuri Kenya,Kuna Taarifa kuwa karibu watu 125 Wamekwishauwawa,na Kuna Taarifa zisizo rasmi kuwa Raila Odinga amechukuliwa na Polisi na kuwekwa kizuizini.Taarifa zinakuwa ngumu kuthibitishwa kwa sababu hakuna mtu/Chombo chochote cha habari kinachopata ushirikiano kutoka shirika la Habari Kenya.

Mataifa ya Uingereza,Canada na Marekani bado hayajatoa Taarifa ya kuutambua Uongozi wa Bwana Kibaki,hiyo inadhihirisha kuwepo kwa kukiukwa kwa taratibu za Uchaguzi.Kuna Taarifa kuwa Rais Kibaki aliondolewa Kenya na kupelekwa Uganda jana Usiku,kufuatia hali ya kutokuwa na usalama wa kutosha huko Nairobi,haieleweki ni wapi yupo huko Uganda,lakini habari zimethibitisha kuwa ni kweli Kibaki yupo Uganda,na Mzee Daniel Arap Moi alikwishaondoka Kenya muda mchache baada ya Uchaguzi wa Tarehe 26/12 yeye yupo Ujerumani.

Kuna Maandamano makubwa tarehe 03/Januari/08 yatakayofanyika huko Nairobi(KN),Atlanta(USA),London(uk) na Minneapolis(USA),Kushinikiza kuwepo na Tume Huru ya Kuchunguza matokeo ya Uchaguzi na kutotambua ushindi wa Bwana Kibaki.
 
Kulingana na statement iliyotolewa na US State Department hapa; inaonekana kuwa serikali ya Marekani haijamtambua Kibaki kama mshindi wa kiti cha Urais wa Kenya.

 
Report za BBC na SKY news kwa waandishi wao walio Nairobi (On the ground) zinasema hospitalini wamethibitisha hadi sasa waliopoteza maisha yao ni 185.
 

Kama yeye anaona ameshinda kwa nini anakimbilia Uganda? M7 naye ni FISADI nambari moja ameamua kumficha. Bora asirudi maana huko nyumbani kwake moto unawaka.
 
Raila calls for a million man protest

By KENNETH OGOSIA

Last updated: Mon, Dec 31, 2007 15:43 PM (EAT)

Orange Democratic Movement leader Raila Odinga has called for a million-man march on Thursday to protest what they called a "civilian coup".

Leading the party's 100 MPs-elect, Mr Odinga said the Electoral Commission had presided over a civilian coup by declaring President Mwai Kibaki the Head of State.

They have decided to put off a public rally earlier planned for today at Nairobi's Uhuru Park, and instead vowed to use peaceful means to force President Kibaki out of office. Today's rally was styled as a platform for Mr Odinga to address the nation as the President-elect.

The party said they had already issued the requisite three-day notice to the police about the Thursday march, expected to take place in all major towns in the country. Party supporters will wear black bands, cloths and carry twigs only.

"We are law abiding citizens of Kenya who do not want to give anybody an opportunity to claim the laws were ignored. They are now informed that Kenyans will demand back power the ECK had given Mr Kibaki in a civilian coup," Mr Odinga said.

Addressing journalists at Orange House after an ODM National Executive Committee and Parliamentary Group meeting, Mr Odinga accused the police provoking and killing people in total disregard to the mandate they had given him to be President.

He appealed for peace and calm saying hooliganism and criminal acts would not provide the way forward to the impasse created by ECK chairman Mr Samuel Kivuitu and asked the international community to intervene and save Kenya from losing its glory as Africa's democratic state.

"We deliberated over weighty issues regarding the elections and rigging that took place. We are pained and saddened that within 48 hours democracy we fought so hard to bring is strangled and killed by a small clique of people," he said.

He said the country was in a state of mourning and the funeral atmosphere will engulf the peaceful demonstration on Thursday. He said the ECK chairman had acted irresponsibly as though he doesn't live in the country to provide its citizens with their legally elected " President".

Mr Odinga accused Internal security minister Mr John Michuki of using maximum force in the belief that if it sustained for two or three days then Kenyans will give up.

"We will not recognise Kibaki as the President of Kenya and will fight him out of office through peaceful and legal means," he said.

He however ruled out going to court about an obvious fact and wondered whether the premise of the law had changed for him to prove that he was the winner against the loser.

"If he is not guilty why does he seclude himself in State House at dusk to be sworn in without the media, diplomats, observers and other Heads of States," he added.

_______
Nation Media Group all rights reserved 2007
___________________________________________________________

http://politics.nationmedia.com/inner.asp?pcat=NEWS&cat=TOP&sid=1182
 
Kulingana na statement iliyotolewa na US State Department hapa; inaonekana kuwa serikali ya Marekani haijamtambua Kibaki kama mshindi wa kiti cha Urais wa Kenya.

Kichuguu,

Hiyo wameibadili leo baada ya jana kumpongeza Kibaki. Nafikiri baada ya kuona nchi zote zikilaani, hawakuwa na ujanja isipokuwa kufanya u turn.
 
British Prime minister Gordon Brown has been speaking with both Raila Odinga and Mwai Kibaki, he will continue to speak to them tomorrow morning according to BBC News.

Hii ni aibu yaani hadi wazungu waseme, miaka karibu 50 ya uhuru bado tunaishi kwenye karne ya 10.



Mwizi wa kura huyu.
 
Nahisi jinsi Odinga anavyozidi kuchelewesha mass action watu uoga utaongezeka maana anampa Kibaki nafasi ya kujiandaa zaidi kumkabili. Siku zinzvyozidi kusogea watu wataizoea hali na hasira itapungua. Kwa hiyo bora afanye haraka, la sivyo atabakia kunung'unika tu!
 

If Kenyans allow Kibaki to rule for another five years, they'll have set a precedence of vote rigging and flawed elections. This would effectively kill democracy in Kenya and cause voter apathy among citizens. We must and I repeat we must remove Kibaki.

The least Kibaki can do is to allow for a recount of the presidential votes in all 210 constituencies. If that cannot be done, then we are left with no choice but to use our sheer numbers, 4.3 million in strength to force this dictator out of power.

Kenya is a democracy and we cannot allow one man and his clique of friends to mess it for us, our children and our children's children.

Let's follow our leader Raila Amolo Odinga and attend the march on Thursday.


SAUTI YA WATU, NI SAUTI YA MUNGU
VOXI POPULI, VOXI DEI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…