KT,
Asante saana kwa tarifa zote ambazo umekuwa ukituletea, hali iliyofikia Kenya kwa sasa hivi si muafaka kabisa kwa Raila kuchukua madaraka hali itakuwa mbaya saana kuliko ya sasa hivi. Nasema hivi kwa sababu ukitembelea kwenye forum za wa Kikuyu nakuta nao pia wanaona Raila ana makosa, hivy kaa kweli wa Kenya mnataka suluhisho mtu pekee anayeweza kuwaunganisha ni Kalonzo Musyoka, huyu ndo atumike kwenye serikali ya mpito vinginevyo mauaji yaliyoaanza tayari yanelekea kwenye chuki za wahutu na watusi.
Mh Zito, ushauri wako si muafaka hapa naona unachanganya vitu viwili hii si Ukraine, hawa kura zinapigwa kiukabila, angalia kura zilivyogawanyika kwenye BBCNEWS wamezitoa, hivyo hayo mandamano unayotaka yafanyike haraka yataokea mauaji ya ajabu kati ya hawa mahasibu wakubwa, tena tusije shangaa huyu KT kuwa ni Omela.