JohnShaaban
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 464
- 116
Koba, sijui kama kuna ulichobakisha!! Nakumbuka kumewahi kuandikwa kitabu juu ya kuuponda ukoloni wa mweupe kuwa uliudidimiza uhai wa mtu mweusi. Lol... kama ndo haya madudu, mbona bora huyo mweupe angerejea ati!?....nini tofauti kati ya mkoloni mweupe na mweusi? mweupe anakuambia huna haki(fullstop) na ukitaka pigana ni juu yako lakini atleast unajua unapigania haki yako. Mkoloni mweusi anakuambia haki ni yako ndugu mwananchi lakini ikija kwenye kufanya ya haki anakuua au kukutupa jela na kuishi maisha ya dhiki milele kama mafisadi wanavyotufanya
Nahisi jinsi Odinga anavyozidi kuchelewesha mass action watu uoga utaongezeka maana anampa Kibaki nafasi ya kujiandaa zaidi kumkabili. Siku zinzvyozidi kusogea watu wataizoea hali na hasira itapungua. Kwa hiyo bora afanye haraka, la sivyo atabakia kunung'unika tu!
Mheshimiwa KT, umesikia nini kuhusu hali ya wananchi kutoka Kenya wanao cross border pale Namanga kuja upande wa TZ?
Sijafahamu kwamba haya yanafanyika. Nitachunguza kisha nilete infomesheni.
__________________________________
KT
Happy New Year 2008!
Kuna habari kuwa hata aliyemwapisha sio Chief Justice, ni judge wakaida ambaye kikatiba hana madaraka hayo lakini wamelazimisha ili mzee aingie Ikulu.Hivi kiapo kinachofuatishwa ni kile cha maandishi? cha mdomo? au vyote? Maana, kama cha mdomo kimekosewa then kiapo ni batili! hence...
Hahaha umeichomeka patamu. Mwenyewe nimejisahau kutoa heri za mwaka mpya kwa wana JF wote. Kumradhi, mambo yanaingiliana sana na yanasababisha wengine tunajisahau. Happy New Year to everyone in these forums!
Invisible
Hivi kiapo kinachofuatishwa ni kile cha maandishi? cha mdomo? au vyote? Maana, kama cha mdomo kimekosewa then kiapo ni batili! hence ....
Na anazidi kuhalifu maana anauwa tu bila aibu..Mungu kaamua tu kumuumbua, na kweli katenda uhalifu!! Damn!
KT,
Asante saana kwa tarifa zote ambazo umekuwa ukituletea, hali iliyofikia Kenya kwa sasa hivi si muafaka kabisa kwa Raila kuchukua madaraka hali itakuwa mbaya saana kuliko ya sasa hivi. Nasema hivi kwa sababu ukitembelea kwenye forum za wa Kikuyu nakuta nao pia wanaona Raila ana makosa, hivy kaa kweli wa Kenya mnataka suluhisho mtu pekee anayeweza kuwaunganisha ni Kalonzo Musyoka, huyu ndo atumike kwenye serikali ya mpito vinginevyo mauaji yaliyoaanza tayari yanelekea kwenye chuki za wahutu na watusi.
Mh Zito, ushauri wako si muafaka hapa naona unachanganya vitu viwili hii si Ukraine, hawa kura zinapigwa kiukabila, angalia kura zilivyogawanyika kwenye BBCNEWS wamezitoa, hivyo hayo mandamano unayotaka yafanyike haraka yataokea mauaji ya ajabu kati ya hawa mahasibu wakubwa, tena tusije shangaa huyu KT kuwa ni Omela.
kwa maana hiyo ni batili na sio raisi ifuatiliwe..kijulikane moja maana sio raisi kitakua kimekosea kote kote..walioandaa itakua wamefanya makusudi maana wanajua ni mhalifuHivi kiapo kinachofuatishwa ni kile cha maandishi? cha mdomo? au vyote? Maana, kama cha mdomo kimekosewa then kiapo ni batili! hence ....
Hivi kiapo kinachofuatishwa ni kile cha maandishi? cha mdomo? au vyote? Maana, kama cha mdomo kimekosewa then kiapo ni batili! hence ....