Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Nimesikia NPR muda mfupi uliopita kuwa Mzee Kibaki yuko under both internal and external pressure kutatua mgogoro huo. Sijui atautaua vipi wakati ni yeye aliyeuleta kwa makusudi ili ajichukulie madaraka kwa nguvu.
 
mh.zitto mbona hajalikomalia hili tungeweka rekodi kuwa alibweka lakini hakung'ata. au ndio yuko busy na mikataba ya madini!
 
4. Hivi JK au M7 they can not intervene and do something? What is the role of EAC ktk hali kama hii? Mimi nadhani by sasa M7 na JK wangekuwa wamekutana- na kuona kitu cha kusaidia as a way foward! Inasikitisha Brown PM UK ndo amewapikigia simu Raila na Kibaki- akishawishi wakutane na waongee!

JK yeye yuko Mapumziko- Hotel ya Kitalii Sopper Lodge- anakula maisha- kweli Tanzania tunaye raisi msanii!
Wanaogopa maana wote karibu watavaa viatu alivovaa Kibaka. M7 anamwandaa mtoto wake huku JK akijua yatayomkuta 2010. Sioni kama kuna wa kuongelea hili suala public licha ya ukwelikwamba wao ndio majirani na ndugu wa karibu zaidi kuliko observer/kiongozi yeyote duniani.
===============
 
Kuna habari kwamba watu 30 wameuawa kwa kuchomwa moto kwenye kanisa kule Rift Valley.

Habari yenyewe hii hapa:

Dozens burnt alive in church attack

Story by NATION Reporter
Publication Date: 1/1/2008
Dozens are feared dead after rowdy protesters attacked a church and set it ablaze in Eldoret, as violence continues unabated following the disputed presidential election.

Police have confirmed the number of the dead to be between 35 and 40 women and children.

The congregation, mostly of women and children, had sought refuge at the Kenya Assemblies of God church, before their aggressors set it on fire. The women and children were fleeing from their homes which had been burnt in earlier attacks.

Red Cross officials say they are overwhelmed by the number of casualties from the violence in Eldoret.

Meanwhile, over tens of thousands of armed people are heading towards Burnt Forest, a few Kilometres from Eldoret. Burnt Forest has a history of violent tribal clashes.
 
KT,

Hivi mpaka sasa idadi kamili ya viti vya ubunge ikoje? Nimesikia ODM wana
viti 100 na ukijumlisha vyama vingine inaonyesha kuna viti vingine bado hawajatangaza.

Mh. Mtanzania,

Hebu check kwenye post yangu ya tarekhes 30-31 Des. Niliattach jedwali lenye maeneo, wabunge na vyama vyao.

Vita vimeondoka mijini kwajili ya uzito wa polisi na kuelekea mashinani huko kwenye vijiji na jamii moja, kama amevyosema mwanahabari wa Nation M. Gaitho, hivi sasa ina face ethnic cleansing just because mtu wa jamii hio amenyakua mamlaka kinyume ya sheria za uchaguzi za nchi yake. Watu wanawachinja si mchezo. Idadi ya serikali ni 180, media wasema 270 ukiniuliza mimi ntakuambia weka hesabu zote hizo pamoja. Jamii hio inahamishwa na makabila mengine ya Kenya ikiambiwa irudi kwa mkoa waliotoka yaan Central ili watawaliwe na rais wao huyo asiyekubalika kwa mikoa 6.

Ripoti zingine zinasambaa kwamba mamia ya watu waliokimbilia huko maeneo ya Eldoret kanisani walifuatwa huko usiku na kuteketezwa moto wakiwa wanasinzia. Kila ncha ya nchi nje ya Nairobi na Central innocent lives za jamii hio zinatolewa kama kafara ya makosa ya kundi isiozidi watu 6 hapo ikulu.

Na kila kuchao ndivyo hii crisis inaendelea kutokota na kuget out of handi. Hebu mtafakari na tujadili haya waheshimiwa:

The count will continue to rise until Raila concedes. No other way.

1. Kibaki akijiuzulu sasa vile tunataka kunauwezekano wa loophole kwenye katiba. Hatuna makamu wa rais au spika wa bunge ambao angeweza chukua mamlaka kwa mda. Hii inamwachia mamlaka mkuu wa majeshi Gen. Kianga au Jaji Mkuu Gicheru.

2. Kwajili jeshi linarekognaisi Commander in Chief (Rais) aliyechaguliwa, basi kujiuzulu kwa Kibaki kutamaanisha lazima Kenya iingie kwa kura tena na kikatiba hii ni baada ya 90days. Basi mauaji na ghasia au utawala wa majeshi utachukua siku 90 ili kupatikane Rais mwengine na jeshi limkabidhi mamlaka.

3. Raila kikatiba itakua vigumu kuchukua mamlaka pindi Kibaki anpojiuzulu kwajili ECK ilimtangaza kashindwa. Na kikatiba dizisheni ya ECK is final and can only be challenged kortini.

4. Kwajili Jaji Mkuu anasemekana kuwa karibu sana na Kibaki ambaye ndiye alimuapointi awe CJ, Upinzani haina imani na yeye na ndio hata jamii ya kimataifa haitaki Raila aende kotini jili hata pata haki. Sasa itakuaje?

5. Independent Kamiti ichunguze madai dhidi ya PNU na Kibaki yanayotokana na wizi wa kura ni fikra zuli. Ila pia lina utata. Kamiti hii ikisema sasa ihesabu tena kura, hatujui kama kwa hizi siku chache PNU au serikali wamezikoroga maboxi kusahihisha marekodi.

Nafungua mjadala na naomba maoni yenu ya dhati: Itakuaje?

Asante K-T,

Kwa kuanzia tu ingawa nitakuja baadaye kwenye hili. Pressure iwe kumtoa Kibaki kwanza, the rest will come. Kuna watu wanasema kuwa jeshi lina wakikuyu wengi lakini experience yangu ya kusafiri kati Namanga na Busia inaonyesha kuwa check points nyingi zilikuwa na polisi ambao ni wakalenjin.

Hivi composition ya polisi na jeshi ikoje?
 
Read this from AP

http://news.yahoo.com/s/ap/20080101/ap_on_re_af/kenya_elections

NAIROBI, Kenya - A mob torched a church sheltering hundreds of Kenyans fleeing election violence on Tuesday, and at least 15 people burned to death, police and a witness said as the president came under increasing pressure over the disputed vote.

The European Union and the United States have refused to congratulate President Mwai Kibaki.

The EU and four top Kenyan elections officials have called for an independent inquiry in what had been east Africa's most stable and prosperous democracy.

Violence in response to the closest presidential election in Kenya's history has flared from the shantytowns of Nairobi to resort towns on the sweltering coast, killing at least 228 people since Saturday, according to accounts from police, morgues and witnesses.

Among them were at least 15 who died Tuesday in Eldoret, some 185 miles from the capital, Nairobi.

"There was a huge mob; they attacked the church," said a witness, who asked that his name not be used for fear of reprisals. "We counted 15 to 20 bodies."

Two police officers, who were not authorized to speak to the media, confirmed that several people burned to death.

In Britain, Prime Minister Gordon Brown urged talks between Kibaki, sworn into office for a second five-year term, and opposition leader Raila Odinga.

"The violence must be brought to an end," he said Tuesday in London.

Allegations of rigging were fueled by the fact that the opposition won most of the parliamentary seats in Thursday's vote, as well as unexplained delays in vote tallying and anomalies that included a 115 percent turnout in one constituency.

Opposition leaders set the stage for more turmoil by calling for a million people to rally Thursday against Kibaki, who had been trailing Odinga in early election results and opinion polls before pulling ahead.

The government banned the demonstration but opposition leaders said they would forge ahead.

The bloodshed has exposed tribal resentments that have long festered in Kenya, where Kibaki's Kikuyu people - Kenya's largest ethnic group - are accused of turning their dominance of politics and business to the detriment of others. Odinga is from the Luo tribe.

Anne Njoki, a 28-year-old Kikuyu, said she fled her home in the slums after she saw Kikuyus being attacked and their homes looted. She was camped out near a military base with her sister, 3-year-old nephew and 7-year-old niece.

"They have taken our beds, blankets, even spoons," she said of the looters. The children hadn't eaten for days, she said.

Kenya's Red Cross said gangs were even checking on the tribal affiliations of aid workers trying to help the injured.

Ona sasa US imeanza unafiki baada yakuwa imeshamkubali Kibaki sasa imeona the whole world is against and the hypocrite is coming back to challenge the thug Kibaki
 
1. Kibaki na Raila nadhani ni marafiki- wakutane waongee the way foward na mustakabali wa Kenya!

2. Kama sii woga- wa Kibaki if Katiba Mpya anguikubali - Raila angeweza kuwa Waziri Mkuu- may be haya ya leo yasingetokea!

3. Naskia foreign observers (Commonwealth, AU) wanapendekeza Independent Commitee to view the tallying of votes! Observaers wa EAC wako wapi????? Where is EAC?

4. Hivi JK au M7 they can not intervene and do something? What is the role of EAC ktk hali kama hii? Mimi nadhani by sasa M7 na JK wangekuwa wamekutana- na kuona kitu cha kusaidia as a way foward! Inasikitisha Brown PM UK ndo amewapikigia simu Raila na Kibaki- akishawishi wakutane na waongee!

JK yeye yuko Mapumziko- Hotel ya Kitalii Sopper Lodge- anakula maisha- kweli Tanzania tunaye raisi msanii!

Kama Kibaki na Raila ni marafiki basi we need a new definition ya neno urafiki. Kikuyu mafia wamelikoroga hili na hali ishakuwa mbaya. Hakuna negotiations maana watu wamejifunza kutoka katika muafaka wa CUF na CCM kuwa:

1. mafisadi wataiba election

2. ukipinga watakupiga live bullets

3. wakiua hadi wachoke wataanzisha mazungumzo

4. mazungumzo yatachukua miaka mitano

5. process itaanza kuanzia number moja hapo juu
 
Asante K-T,

Kwa kuanzia tu ingawa nitakuja baadaye kwenye hili. Pressure iwe kumtoa Kibaki kwanza, the rest will come. Kuna watu wanasema kuwa jeshi lina wakikuyu wengi lakini experience yangu ya kusafiri kati Namanga na Busia inaonyesha kuwa check points nyingi zilikuwa na polisi ambao ni wakalenjin.

Hivi composition ya polisi na jeshi ikoje?

Hilo ni swali nyeti ila gumu. Sina uhakika lakini nadhani ngazi za juu ni wakikuyu na wakalenjin ila vitengo vyote tokea kanali mpaka chini ni wakalenjin (kwajili ya miaka mingi ya Moi), waluhya/waluo (kwajili ya maumbile yao ni warefu na wazito), wasomali/wamasai (jili ya ujasiri na ujuzi wao wakivita). Hii si data rasmi ila nimaoni yangu kutokana na kujichanganya nao.

http://africa.reuters.com/wire/news/usnL01651287.html
 
Mhe KT,

i) Nafikiri jambo la kwanza ni kujaribu kuepuka kulifanya hili jambo kuwa ni vita kati ya Wakikuyu na makabila mengine. Hii itaharibu dhana nzima ya uporaji wa urais kulikofanywa na akina Kibaki. Naamini kuna wakikuyu wengi ambao hawajapendezwa na kilichotokea. Kama mwelekeo utaendelea kuwa wa kikabila tutawapoteza katika line yetu ya mapambano wapambaji wenzetu kama akina Nyaga ambao ni wakikuyu.

ii) Option ya maana sana kwa sasa ni international community na viongozi wa kiafrika (AU) kumsuta Kibaki na kumshinikiza kukaa pembeni wakati hii mess ikiwa sorted out. Pamoja na kwamba hamna imani na Jaji Mkuu wa sasa, kama ndivyo katiba inavyosema itabidi ashike mamlaka kwa muda kama Kibaki ata-bow to pressure maana sio sawa kuwa na vacuumu kwenye uongozi na sidhani kama ni mwafaka sana kuwaachia wanajeshi. Wasiwasi wangu ni kwamba wanajeshi wakishika usukani sasa haitakuwa rahisi kuachia pindi watakapoonja tamu ya state house na huko mbele watajigeuza kuwa civilian leaders na kugombea uongozi na tutatengeneza M7 mwingine.

iii) Vipi ile option ya kutumia bunge: to move a vote of no confidence as soon as the bunge sits in its first session?

iv) in the event that all diplomatic means are exhausted to futility, the Ukraine style becomes inevitable. The problem is that this style is likely to be diluted if the struggle will continue to take the shape of tribal fighting as it seems to be suggestive from the recent events!
 
2. Kwajili jeshi linarekognaisi Commander in Chief (Rais) aliyechaguliwa, basi kujiuzulu kwa Kibaki kutamaanisha lazima Kenya iingie kwa kura tena na kikatiba hii ni baada ya 90days. Basi mauaji na ghasia au utawala wa majeshi utachukua siku 90 ili kupatikane Rais mwengine na jeshi limkabidhi mamlaka.
K-T, option 2 sounds better ili kuondoa 'doubts' ingine kama hiyo ya kuweka nchi chini ya CJ ambaye tayari watu hawana imani naye. Kama alivyosema Mwafrika, presure sasa iwe kumwondoa Kibaka hapo kwa state house, then within hizo siku 90 ambazo nchi itakuwa chini ya Jeshi basi iundwe EC ambayo all Kenyans watakuwa na imani nayo. Pia ktk hizo 90 days mtaweza kusettle issue nyingine kama kufikiria njia nzuri ya kutangaza matokeo toka mashinani.
================
 
1. Kibaki na Raila nadhani ni marafiki- wakutane waongee the way foward na mustakabali wa Kenya!

2. Kama sii woga- wa Kibaki if Katiba Mpya anguikubali - Raila angeweza kuwa Waziri Mkuu- may be haya ya leo yasingetokea!

3. Naskia foreign observers (Commonwealth, AU) wanapendekeza Independent Commitee to view the tallying of votes! Observaers wa EAC wako wapi????? Where is EAC?

4. Hivi JK au M7 they can not intervene and do something? What is the role of EAC ktk hali kama hii? Mimi nadhani by sasa M7 na JK wangekuwa wamekutana- na kuona kitu cha kusaidia as a way foward! Inasikitisha Brown PM UK ndo amewapikigia simu Raila na Kibaki- akishawishi wakutane na waongee!

JK yeye yuko Mapumziko- Hotel ya Kitalii Sopper Lodge- anakula maisha- kweli Tanzania tunaye raisi msanii!

1. Urafiki wa Raila na Kibaka uliisha mara baada ya Kibaka kugoma kubadilisha katiba ili aendelee kuhodhi madaraka na matokeo yake Kibaka alibwagwa kwenye kura za maoni kuhusu katiba aliyokuwa anaitaka yeye (Kibaka). Hivi sasa uadui ndiyo unazidi kuongezeka, mbaya zaidi utakutanaje na mtu ambaye kaiba kura? Raila anakubali kukutana na Rais Kibaki ama Kibaki aliyejiuzulu? Kukubali kukutana na 'Rais' Kibaka ni kama kumkubali kwamba alichaguliwa kwa njia ya haki.

2. Kibaka hakuwa na woga wowote, bali ni washauri wabaya walio mzunguka. Hao ndiyo waliomshauri kwamba akikubali mabadiliko ya Katiba atakuwa kajimaliza yeye mwenyewe na huo ndiyo utakuwa mwisho wa domination ya wakikuyu. Kwa hiyo tatizo hapo ni kubaki na Katiba ambayo itahakikisha kwamba wakikuyu wanaendelea kulinda interests zao na kuendelea kuwa watawala.

3. Tangu nimeanza kufuatilia news za uchaguzi wa Kenya sijasikia observers kutoka EAC. After all sina hakika kama viongozi wa EAC walikuwa na interest ya kupeleka observers kwenye huo uchaguzi kwa kuhofia kutokuwa na msimamo. Maana unaweza kujikuta unalazimika kusema kitu ambacho hakiko kwenye ground.

4. Kama JK ameshindwa kutatua mgogoro wa Zenji ambao unafanana kwa karibu na huo uhuni wa Kibaka, unategea JK aseme nini? Hata kama ungekuwa ni wewe wala usingekuwa na guts za kujiingiza kwenda kutoa ushauri wakati nyumbani kwako kunafukuta moto. M7 yeye ni mwizi wa kura kila uchaguzi, na ndiyo maana kila uchaguzi ukiisha lazima Dr. Besigye aende mahakamani kudai haki, ambako hajawahi kuipata kwa miaka yote aliyohangaika.
 
Nimesikia NPR muda mfupi uliopita kuwa Mzee Kibaki yuko under both internal and external pressure kutatua mgogoro huo. Sijui atautaua vipi wakati ni yeye aliyeuleta kwa makusudi ili ajichukulie madaraka kwa nguvu.

Anatimiza kile alichoapa kufanya ... uhalifu! Lakini nina uhakika hayo machafuko yatamfanya awe unpopular hata kwa wakikuyu wenzake ambao watapoteza ndugu kwenye hayo mapigano. Niliongea na mmasai mmoja akaniambia kwamba kinachoendelea huko ni vita kati ya makabila mengine vs wakikuyu. Ndiyo maana wakikuyu ambao wako nje ya Nairobi na Central wako kwenye risk ya kumalizwa kwa kuuawa kinyama. Kama watu wanachomwa kanisani, sioni tofauti na mauaji ya Rwanda!
 
Police have confirmed the number of the dead to be between 35 and 40 women and children.

The congregation, mostly of women and children, had sought refuge at the Kenya Assemblies of God church, before their aggressors set it on fire. The women and children were fleeing from their homes which had been burnt in earlier attacks.

Source: Nationmedia
 
Anatimiza kile alichoapa kufanya ... uhalifu! Lakini nina uhakika hayo machafuko yatamfanya awe unpopular hata kwa wakikuyu wenzake ambao watapoteza ndugu kwenye hayo mapigano. Niliongea na mmasai mmoja akaniambia kwamba kinachoendelea huko ni vita kati ya makabila mengine vs wakikuyu. Ndiyo maana wakikuyu ambao wako nje ya Nairobi na Central wako kwenye risk ya kumalizwa kwa kuuawa kinyama. Kama watu wanachomwa kanisani, sioni tofauti na mauaji ya Rwanda!

Kweli Keil,

kama ulikuwa unafuatilia ile forum inayomilikiwa na wakikuyu ya mashada (nimesema hili kwa sababu ile forum inadelete sana anti kibaki post na hata members wanaojitambulisha kama ODM wanakuwa banned every now and then) imebadilika sana tone.

Siku mbili za kwanza wakikuyu walikuwa wanatoa kashfa sana zidi ya wenzao lakini kadri muda unavyokwenda wengi wameanza kuacha maana wamegundua kuwa kabila lao ambalo limeenea kenya nzima linaweza kupunguzwa in half kama wakiendelea upuuzi huu - onyo kwa watu wasiopenda kusoma matusi usiende mashada kwa sababu kule hakuna ustaarabu wa JF na watu wanatukanana live.

Ukisoma hata mwelekeo wa gazeti la Nation na kuangalia television ya NTV (ambao wanasapoti Kibaki) ni kuwa tone imebadilika sana. Ile kejeli na kashfa ya kumtaka Raila akubali kushindwa na kwenda cortin sasa imeisha. Kama alivyosema K-T, ni kweli unavyosema kuwa kuna wakikuyu nao wameanza kuja kwenye sense zao.

Inaumiza sana kuwa ufisadi wa watu wachache tu wanapelekea maisha ya mamilioni kupotea hivi. kwanini wasikimbie tu kama moi na waende nje ya nchi kula pesa zao za wizi?
 
kama ulikuwa unafuatilia ile forum inayomilikiwa na wakikuyu ya mashada (nimesema hili kwa sababu ile forum inadelete sana anti kibaki post na hata members wanaojitambulisha kama ODM wanakuwa banned every now and then) imebadilika sana tone.

Siku mbili za kwanza wakikuyu walikuwa wanatoa kashfa sana zidi ya wenzao lakini kadri muda unavyokwenda wengi wameanza kuacha maana wamegundua kuwa kabila lao ambalo limeenea kenya nzima linaweza kupunguzwa in half kama wakiendelea upuuzi huu - onyo kwa watu wasiopenda kusoma matusi usiende mashada kwa sababu kule hakuna ustaarabu wa JF na watu wanatukanana live.
...it's true Mwafrika, Mashada kumebadilika sana, heshima imeanza kurudi miongoni mwa members wa ile forum. Before kuna watu walionekana kama aliens, sure, as if not normal human being.

Hii inanifanya nianze kufikiria ule msemo wa "amani haiji bila..."
=================
 
The Kenyans living in London are invited for a peaceful demonstration outside the Kenyan Embassy in London on the 3rd of January from 11am. This is to show solidarity with our brothers and sisters in Kenya. For all those who feel the need to give back leadership to the people, come to London.

Come on come all
There are parallel peaceful rallies in Washington and New York on the same day.Leadership should go back to the people.
Kwa wale tulio karibu turekebishe ratiba zetu twende kuwaunga mkono wenzetu. Let us embrace peace across EAC kwa vitendo, lisiwe la kuwahaachia Wakenya then kesho tujinafiki kusaidia wakimbizi.
========================
 
Mhe KT,

i) Nafikiri jambo la kwanza ni kujaribu kuepuka kulifanya hili jambo kuwa ni vita kati ya Wakikuyu na makabila mengine. Hii itaharibu dhana nzima ya uporaji wa urais kulikofanywa na akina Kibaki. Naamini kuna wakikuyu wengi ambao hawajapendezwa na kilichotokea. Kama mwelekeo utaendelea kuwa wa kikabila tutawapoteza katika line yetu ya mapambano wapambaji wenzetu kama akina Nyaga ambao ni wakikuyu.

ii) Option ya maana sana kwa sasa ni international community na viongozi wa kiafrika (AU) kumsuta Kibaki na kumshinikiza kukaa pembeni wakati hii mess ikiwa sorted out. Pamoja na kwamba hamna imani na Jaji Mkuu wa sasa, kama ndivyo katiba inavyosema itabidi ashike mamlaka kwa muda kama Kibaki ata-bow to pressure maana sio sawa kuwa na vacuumu kwenye uongozi na sidhani kama ni mwafaka sana kuwaachia wanajeshi. Wasiwasi wangu ni kwamba wanajeshi wakishika usukani sasa haitakuwa rahisi kuachia pindi watakapoonja tamu ya state house na huko mbele watajigeuza kuwa civilian leaders na kugombea uongozi na tutatengeneza M7 mwingine.

iii) Vipi ile option ya kutumia bunge: to move a vote of no confidence as soon as the bunge sits in its first session?

iv) in the event that all diplomatic means are exhausted to futility, the Ukraine style becomes inevitable. The problem is that this style is likely to be diluted if the struggle will continue to take the shape of tribal fighting as it seems to be suggestive from the recent events!

Kitila,
(i) Swala la mapigano kubeba sura ya ukabila wala siyo la kujificha tena, bali liko wazi kutokana na hali halisi ilivyo mpaka dakika hii. Tatizo la ukabila ni bomu ambalo limelelewa kwa miaka mingi na hakuna ambaye alikuwa na guts za kulikemea. Sasa ndiyo limelipuka rasmi na litawasumbua sana kulimaliza kwa njia ya amani, lazima damu itamwagika tu.

(ii) International Community na AU hawana ubavu wa kumpa ukweli Kibaki kwamba aachie madaraka. Watafanya hivyo iwapo tu Kibaki atagusa maslahi yao, lakini kama hajagusa maslahi yao hawawezi kuweka pressure kubwa, watatumia njia za kidiplomasia, kitu ambacho kwa mtu aliyefanya wizi wa kura wa waziwazi wala hawezi kuona aibu au ku-feel guilty. Kwa hiyo inategemeana na guts za hao wa nje kwamba wataweka pressure kubwa kiasi gani? Jiulize, mpaka dakika hii hakuna hata nchi moja ya Afrika ambayo imeishatoa tamko lolote lile, si EAC, SADC, COMESA ama baba yao AU. Hiyo ni dalili mbaya na ni unafiki wa hali ya juu sana wa viongozi wetu wa Afrika. Swala la kumwachia CJ ashike urais kwa muda nakubaliana nalo, but is he credible? Na ni ECK gani itasimamia uchaguzi? Ni hii ambayo imeitumbukiza Kenya kwenye mapigano yanayoendelea sasa hivi ama? Bado kuna vitu vingi vya ku-sort out hapa kabla ya kuingia tena kwenye uchaguzi (hii ni dilemma)!

(iii) Option ya Vote of No Confidence nadhani ina ugumu na ndiyo ODM wanai-avoid au hawaiongelei kabisa. Kama Vote of NO Confidence inahitaji 2/3, itakuwa ngumu kuitekeleza kwa kuwa so far wana uwezo wa kufikisha 50%. Bunge lina wabunge 210 wa kuchaguliwa na 12 wa kuteuliwa. based on the numbers za wabunge, nadhani ODM wanaweza kupata viti 7, ukijumlisha na viti vyao + viti vya Ngilu nadhani wanaweza kufikisha around 50% na hapo msimamo wa wabunge wengine wa vya vidogo vidogo haujulikani na they easily be bought kama jamaa ataamua ku-dish out nyadhifa za uwaziri kwa hivyo vyama vingine.

(iv) Hapo sina comment.
 
Watu wasiopungua 15 wameuawa kwa kuchomwa moto kanisani huko magharibi mwa Kenya, baada ya kuwa wameenda kupata hifadhi kukimbia ghasia zilizozuka kutokana na uchaguzi wa juma lililopita.

Genge moja lilishambulia na kuwasha moto kwenye kanisa moja mjini Eldoret ambako mamia ya watu walikuwa wamejificha, kwa mujibu wa polisi na watu walioshuhudia.

Idadi kubwa ya watu wameelezewa kuwa wamefikishwa hospitalini wakiwa na makovu ya moto. Tukio hilo limejitokeza wakati waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya wakisema uchaguzi wa rais "haukukidhi viwango vya kimataifa".
 
Kenya inaenda pabaya sana. Huko wanakokwenda Kenya lazima wakae chini na kuanzisha Truth Commission na kufanya kile walichofanya Africa ya Kusini ya kuwa national Reconciliation Dialogue. Suala la Ukabila litaumiza na usishangae watu wanaoshambulila Wakikuyu wanafanya hivyo si kwa sababu ya uchaguzi Mkuu bali ni nafasi ambayo wanaonesha manung'uniko yao ya miaka nenda rudi na nafasi imepatikana.

Hili linanikumbusha mauaji ya ya halaiki ya Rwanda in that fateful month of April 1994 ambapo ndugu jamaa na marafiki waligeukana na kuanza kuchinjana kama kuku.
 
Back
Top Bottom