Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Lazima ataukwaa tu, maana sina hakika kama anaweza kuingia kwenye coalition govt bila ya kuahidiwa nafasi nono (including u-VP).

Nimesikitishwa na kitu kimoja kwamba vile viti 12 vya wabunge wa kuteuliwa siyo sheria, bali yalikuwa ni makubaliano tu. Kwa hiyo kuna hisia kwamba kwa kuwa Kibaka amepata viti 35 tu, anaweza kuvichukua viti vyote 12 akateuwa watu wake ili awape nafasi za uwaziri.

Katiba za nchi za Afrika zina mambo! Niliwacheka Malawi wakati Bingu anaki-dump chama kilichomuingiza Ikulu na kuunda chama kipya. Katiba ya Malawi ilikuwa haiongelei lolote kama Rais akijivua uanachama, lakini mbunge akijivua na ubunge anapoteza. Sasa ndiyo haya ya Kenya!

Hapana, hiyo iko kwenye Katiba. Hebu tafuta tovuti ya bunge la kenya utakuta hii iko stipulated kabisa kuwa watatuliwa kulingana na proportion ya wabunge waliochaguliwa kwa kila chama.
 
Hapana, hiyo iko kwenye Katiba. Hebu tafuta tovuti ya bunge la kenya utakuta hii iko stipulated kabisa kuwa watatuliwa kulingana na proportion ya wabunge waliochaguliwa kwa kila chama.

Kichuguu,

Ni kweli haiko kwenye katiba. Ilikuwa ni makubaliano, ambayo vyama vote viliafiki lakini sasa Kibaki anaweza kudharau kama alivyofanya kwenye suala la kuunda katiba mpya.
 
Kichuguu,

Ni kweli haiko kwenye katiba. Ilikuwa ni makubaliano, ambayo vyama vote viliafiki lakini sasa Kibaki anaweza kudharau kama alivyofanya kwenye suala la kuunda katiba mpya.


Nadhani unasema kweli, asante. Nilisoma hapa, page 23, kuna paragrapha isemayo:
Composition

The Parliament consisted of two hundred and ten (210) elected Members of Parliament,
twelve (12) nominated through proportional representation of the Parliamentary parties and
two ex-officio Members, the Speaker and the Attorney General.
Hata hivyo nimeangalia kwa makini nikagundua kuwa hiyo ni Guide tu wala siyo legal ducument.
 
Poll watchdog 'pressured'

There were reports of several more deaths overnight, with two police officers killed in the western town of Kericho by youths armed with bows and arrows, a police official told AFP news agency.

But the country has been shocked by the deaths of dozens of people - mainly Kikuyu, the same tribe as Mr Kibaki - in a church that was torched in the Rift Valley town of Eldoret.

The BBC's Karen Allen has just returned from the church, which had been sheltering mostly women and children, and described a scene of utter devastation.


Commuters travel by foot after police blocked roads to traffic

She saw two bodies outside the charred building, one a man who appeared to have been hacked to death with a machete and the burned remains of a woman.

Our correspondent says at least 500 terrified local people have taken refuge in a police station in the town.

The Kenyan Red Cross has said that in the Rift Valley, at least 70,000 people have been displaced by the unrest.

Ugandan officials also reported hundreds of Kikuyu tribes people crossing the border from Kenya.

Mr Kibaki was declared the winner on Sunday after a controversial three-day counting process.

On Tuesday, election commission chairman Samuel Kivuitu said he had been under pressure to make the election results public from Mr Kibaki's Party of National Unity and a minor opposition party that recently split from Mr Odinga's Orange Democratic Movement.

EU observers said the poll "fell short of international standards" but the government has denied fraud.

source:http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7167363.stm
 
But the country has been shocked by the deaths of dozens of people - mainly Kikuyu, the same tribe as Mr Kibaki - in a church that was torched in the Rift Valley town of Eldoret.

Raila na wenzako jamani angalieni, maana kuna mbinu za kuonyesha ODM ndio wauaji na kwamba kuwapunguzia imani kwa wananchi. Upo uwezekano mkubwa kwa wanaotaka madaraka kama ilivyo kwa madikteta wengi duniani kuwatoa kafara hata watoto wao ili wapate madaraka. Sitoshangaa kusikia kwamba Kibaki anaua Wakikuyu ili ionekane kwamba ODM ndio inayoua. Inawezekana makachero wa Kibaki wakafanya fujo na kupora ili ionekane kwamba ODM ndio wahalifu, ili watangazwe kuwa ni magaidi. Baada ya kuapishwa kwa nguvu sasa watatumia mbinu zote kuhalalisha ikiwamo kuonyesha kuwa ODM hawafai kutawala kwa kuwa wana ukabila na ni WAHUNI. Kuweni macho muangalie kwa macho yote.
 
Raila na wenzako jamani angalieni, maana kuna mbinu za kuonyesha ODM ndio wauaji na kwamba kuwapunguzia imani kwa wananchi. Upo uwezekano mkubwa kwa wanaotaka madaraka kama ilivyo kwa madikteta wengi duniani kuwatoa kafara hata watoto wao ili wapate madaraka. Sitoshangaa kusikia kwamba Kibaki anaua Wakikuyu ili ionekane kwamba ODM ndio inayoua. Inawezekana makachero wa Kibaki wakafanya fujo na kupora ili ionekane kwamba ODM ndio wahalifu, ili watangazwe kuwa ni magaidi. Baada ya kuapishwa kwa nguvu sasa watatumia mbinu zote kuhalalisha ikiwamo kuonyesha kuwa ODM hawafai kutawala kwa kuwa wana ukabila na ni WAHUNI. Kuweni macho muangalie kwa macho yote.

kwa hapa hawana vya kujipapatua wanalo limewaganda tu
 
Ghanaian President John Kufuor, the head of the African Union, was due to arrive in Nairobi, the Kenyan capital, on Wednesday to act as a mediator, an AU spokeswoman told AP.

U.S. Secretary of State Condoleezza Rice and British Foreign Secretary David Milliband have also appealed for calm while expressing concern at "serious irregularities in the counting process."

"We call on all political leaders to engage in a spirit of compromise that puts the democratic interests of Kenya first... and we pledge the diplomatic and political efforts of our two countries to support reconciliation and national unity at this vital time for Kenya and the region," the statement said.

Much of the violence is between supporters of Kibaki, from the majority Kikuyu tribe, and backers of opposition leader Raila Odinga, who is from the Luo tribe.

The ethnic violence, previously rare in Kenya, is reminiscent of the strife that led to the genocide in Rwanda in 1994.

In a particularly disturbing incident, a mob appears to have burned a church filled with Kenyans seeking refuge from the violence in the city of Eldoret in the country's western Rift Valley region.

The Red Cross told AP that at least 50 were burned to death at the church, some of them children.

As many as 200 people were at the church, about 185 miles northwest of Nairobi, KTN reporter Tony Biwott told CNN. Watch as machete-wielding looters haul away goods »

Biwott said he had counted at least 15 charred bodies, including children, in the burned church and an adjacent field. "I'm sure there were more than 15 but I couldn't count the ones who were ashes," he said in a phone interview.

The wounded sustained gunshot wounds, burns and cuts from a panga, a machete-like weapon, the Red Cross said. Watch smoke darken skies near a burned church »

Kenya's national police commissioner has said an investigation into the incident is under way and expressed shock that the violence had occurred in a church.

Jane Samuels, an American volunteer worker based in a village near the western city of Kisumu told CNN she had been stranded in a hotel for two days as police clashed with rioters on the streets before finally catching a flight out of the country via Nairobi.

"I dont know what will happen, its still volatile there right now," Samuels said.

Police and political backers of opposition leader Odinga began clashing about four days ago as Odinga narrowly lost Kenya's presidential election to Kibaki.

source:http://edition.cnn.com/2008/WORLD/africa/01/02/kenya.unrest/index.html
 
Kenya inabidi wawe makini Kibaki ameishaona hana jinsi kwa sababu lawama zote zitakwenda kwake sasa anasambaza kuchi kwa wakenya.

Nashangaa majirani wamekaa kimya hili ni janga.

Litaingia hata nchini Tanzania, Uganda nk, inatakiwa hata akina mseveni, Kikwete waende Kenya kumuomba Kibaki ajiuzulu mara moja hili kura ziesabiwe upya.
 
Kazi ipo. Jamani tukiendelea kufuatilia haya matokeo tuwe tunajiuliza sisi watanzania tutafikia lini hatua ya ushindani kama ya hawa wenzetu? tufanyeje ili nasi tufike hapo? Nafikiri wazo moja ni sisi "elites" tunaoweza angalau kushika keyboard kushiriki kikamilifu katika kujenga upinzani badala ya kukaa kuwalalamikia na/au kuwasifia akina Wangwe na Zitto tu design ya football fans! Ndivyo walivyofanya wenzetu Kenya.

Sasa mnataka kuiga ,sijui kwa hali ilivyo au ilivyofikia natumai utabadilisha msimamo wa kutaka kufuata ushindani kama wa wenzetu,ni karibu tu nilitoa hadithi ya Nyoka anaekuja kwa kupita kila mji na sasa Nyoka yupo kenya !!!Tuanze kupakaa vichwa maji.Mimi nitafuata na kuiga jambo moja tu .lile la kuzurura zurura karibu na mashoping centre wakati wa kumtangaza mshindi nitakuwa sichezi mbali.
 
...kumuomba Kibaki ajiuzulu mara moja hili kura ziesabiwe upya.
Forget about kurudia kuhesabu kura ili haki ipatikane, this time kurudia kuhesabu will be on favor of Kibaka. Muda wote waliokaa kimya wameutumia kurekebisha kura zote. I'm telling you the truth soon Kibaki atakubali kura zirudiwe kuhesabiwa kisha utajionea madudu.

1. Wameshaanza ku'publicize' kuwa ODM walipanga massacre hata kabla ya uchaguzi, due to this wanadai ECK walishawishika kutangaza ili vurugu zilizokuwa zimeanza tangu alhamisi zisiende kubaya zaidi.

2. Wameshaanza kuchezea figure zilizotangazwa na ECK (za sehemu ambazo ODM ilishinda) wakidai huko nako kulikuwa na utata lakini wao,kama wapenda amani, wakakaa kimya.

YAANI NI UHUNI WA HAJABU. Usione Kyuks wamekaa kimya, kuna mchezo unaochezwa utaomchafua Raila kiasi akimbie Nchi kisha waprove kwamba only wao ndio wanafaa. Hawa jamaa wanahangaika mkuu!
===================
 
Nasikia JK anakwenda Kampala kushauriana na M7 ili kujua hatima ya Kenya. Mimi nafikiri wote hawana la maan la kushauri kwani wote wameingia kwa kama Kibaki na Kibaki anajua hilo. So JK ni kutumia pesa ya walipa kodi bure
 
Ushauri wangu kwa Kenya:

(a)Kuhesabu kura hakutasaidia lolote, kianchitakiwa ni kurudia uchaguzi wa Rais.

(b)Kutokana na vurugu za hivi karibuni, uchaguzi wa Rais usifanyike chini ya miezi miwili ili watu wajisahaulisha na haya.

(c) Katika kipindi hiki, Kibaki aachie madaraka. Iundwe serikali ya mpito ikihusisha vyama vyote.
 
K-T Hivi huyu jamaa michuki minister wa security kenya does he really have that powers to be in office at this juncture maana. i find it ironical for him to be ordering while he was voted out in his constituency. does he have a scandal that he is protecting at any cost maana he is very active to ensure that everything settles.

He is doing so illegaly. All the ministers currently issuing press conferences in their former capacities are doing so contrary to the Law. Mandate yao iliisha pindi walipovunja Bunge au uchaguzi ulipofanyika. Lakini ODMers dont want to tackle this now and distract attention from the issue on the table. President anatakikana afanye kazi na ma PS au atengeze Baraza la Mawaziri lingine chapuchapu


Huyo unayomzungumzia alikuwa voted in huko Kangema

Prof. Nyong'o amenukuliwa na media akisema this man is of the watu Kivuitu anadai walimweka kitanzi afanye uamuzi halahala.

He is a former colonial DO aliwasaidia wabeberu kuwaponda akina Dedan Kimathi na MAU MAU

Conclusion: Some say he is the one ruling actually, especially when unakumbuka that his "ministry" is directing the security operation taking place all over the country at the moment.

Niliona mazungumzo hapo juu kuhusu zile viti zaidi 12 za Ubunge au Nominated MPS. Huwa kawaida zinagawanywa hivi: Winning party nominates 6, Wapili nominates 3, halafu wanaofuata nominates namba 2, moja, namba nne 1. Swali nikwamba is it ODM or PNU iliyo the winning party?


Kesho wanaODM Uhuru Park
_________________________________________________________

BEI YA UHALIFU WA UCHAGUZI 2007,KENYA YAZIDI KUWA GHALI...


news_010108.jpg


0101081536_m_010108_kenya7.jpg


Wakimbizi wa ndani ya nchi yao: IDPs

pic_020108_05.jpg


pic_020108_05.jpg


0101081243_m_010108_kenya1.jpg


21314199.JPG


1_236780_1_5.jpg


pica_020108_02.jpg


1. Walikochomwa kanisani
_______________________________________

0101081106_m_010108_kenya01.jpg


pic_020108_02.jpg


0101081106_m_010108_kenya02.jpg


pica_020108_01.jpg


31kenya-600.jpg

pica_020108_05.jpg


b266ff68-6703-44ce-82de-13536131a2fa-big.jpg


_44327773_kibera_residents_getty1.jpg


_44327791_nairobi_ap1.jpg


21315349.jpg


r2776343980.jpg


_44329753_mathare_afp4161.jpg


21314627.jpg


21308995.jpg

________________________________________

DUNIANI SHEREHE ZISHAISHA, KAZI SASA ...... LAKINI NAIROBI,JANUARY 3, 2008 JE?


_44327820_nairobi_center_ap1.jpg



__________________________________________________________________________


TAZAMA VIDEO HAPA KWENYE GAZETI HILI LA TELEGRAPH

http://www.telegraph.co.uk/news/mai...WAVCBQUIV0?xml=/news/2008/01/02/wkenya202.xml
 
Nimeanza kuona kuwa sasa kweli Kibaki amerudi and he is there to stay. Watu wameanza kuizoea hali na kidogokidogo wanaikubali, hata hapa kwenye forum wanaonesha hivyo. Hasira zimepungua. Punde mambo mengine kama mahitaji ya kimaisha (chakula, huduma mbalimbali) yatachukua nafasi, na watu watarudi kuwatafutia watoto wao nafasi za shule, ni januari hii. Chuma kinaelekea kupoa, hakitapondeka tena. Raila na wenzie wamesahau msemo huu "strike the iron while it's still hot". Bw Odinga, chuma chapoa hicho, kallaghabaho!
Mambo haya yapo sana kwetu. Ukipata taarifa za msiba unajitupa chini na kujigalagaza huku ukiangua kilio, unachafuka kila mahali. Ajabu siku ya mazishi unaonekana na suti mpya nyeusi, tena nyote na nduguzo kama sare, hata tunashangaa mlipataje muda wa kufikiria sare kama mlikuwa na uchungu kiasi hicho. Baada ya maziko, siku hiyohiyo inafuata pilau, ndizi mbivu na vinywaji. Wale waliokuwa wanajigaragaza chini tunawaona wanacheza karata na kutaniana! Kila kitu kinasahaulika, maisha yanaendelea! Ndivyo tunavyosahau msiba, na ndiko Raila na wenzie wanakoelekea, hivi punde watasahau yote, kama mwendo ndio huu wa kusuasua. Yetu macho!

Mh. Kithuku tulia, ndio yanaanza mambo.Hii itakuwa mbio ya masafa marefu. Fuatilia yanayojiri kwa makini tokea kesho. Wanaomfahamu Raila na historia yake ya kisiasa wanajua plan A yake ikifeli...

Network yake imesambaa sana especially Africa Mashariki na Great Lakes Region. Katika hili la Kenya leo kuna mengi macho yanaona, hayajaona na yataona kadri siku zitakavyozidi kusonga mbele bila yeye kupata haki yake. Mh. Semanao tulia.

Nasikia JK anakwenda Kampala kushauriana na M7 ili kujua hatima ya Kenya. Mimi nafikiri wote hawana la maan la kushauri kwani wote wameingia kwa kama Kibaki na Kibaki anajua hilo. So JK ni kutumia pesa ya walipa kodi bure
 
Kuna habari nimeiona inasema kuwa Samuel Kiviutu (head of Electoral Commission of Kenya) amekaririwa akisema hajui kama Kibaki alishinda uchaguzi.

Anasema alilazimishwa na wakubwa kutangaza mapema matokeo.

http://uk.news.yahoo.com/rtrs/20080102/tts-uk-kenya-2c15123_1.html
Kweli nimeona...Adding to the chaos, Kenya's electoral commission head Samuel Kivuitu said: "I do not know" when asked if Kibaki won the vote. The comment by Kivuitu, who pronounced Kibaki victor on Sunday, stunned Kenya and cast further doubt on the result.[/B]..what a shame?? Ni aibu tupu! mtu mizima na akili timamu?? Kuweweseka na kutoa majibu ya aina hii!!Kama si wizi na kusutwa na damu inayomwagika kote nchini kenya ni nini??
 
Mkuu K-T

Nakubaliana na wewe nasikia wanaomjua Raila wanasema huyu jamaa ni mtu mwingine kabisa yeye akiamua jambo kufeli kwake huwa ni asilimia ndogo sana.

Huyu jamaa pamoja na kwamba ni Komandoo ndio maana Moi alikimbia haraka sana anaweza kutokea pale ambapo hutegemei kabisa.

Na anaweza kutumia akiri mbaya sana ambayo mtu yeyote hawezi kuamini tusubiri kama K-T anavyosema lakini pia nafikiri Kibaki mwenyewe anamjua fika.

Pamoja na kwamba Kibaki amekaa Ikulu anajua fika yuko katika hali ngumu sana.
 
Kweli nimeona...Adding to the chaos, Kenya's electoral commission head Samuel Kivuitu said: "I do not know" when asked if Kibaki won the vote. The comment by Kivuitu, who pronounced Kibaki victor on Sunday, stunned Kenya and cast further doubt on the result.[/B]..what a shame?? Ni aibu tupu! mtu mizima na akili timamu?? Kuweweseka na kutoa majibu ya aina hii!!Kama si wizi na kusutwa na damu inayomwagika kote nchini kenya ni nini??


Mkuu ukifuatilia sana huyu Kivuitu huyu jamaa mimi naweza kumuita Tapeli, huyu anachota akiri za watu.

Unakumbuka alisema kura alizoletewa ni asilimia 115, lakini gafla akaweka kwenye hesabu hali akijua kuwa si za kweli?

Mimi nikimwangalia sasa hivi anajenga hoja ambapo atafikia wakati na kusema kura zirudiwe kuhesabiwa. ambapo pia serikali itakuwa imeisha fanya mchezo wote na umeisha kwisha.

Wakikubali kuhesabu tu watakuta kila kitu ni sawa naye atakuwa amejikosha na Kibaki pia.

Yote anayoyasema sasa aliyajua na sasa ni UFISADI anafanya.
 
JF we are wasting time na vision yetu ni duni! We are all arguing below the belt!

1. No way Kibaki ataachia ngazi- he is the president of Kenya currently as per Kivuitu na ameashaapishwa tayari!

2. We just need a National reconciliation- na masikinilizano kati ya Raila Na Kibaki!

3. JF tuache wishful thinking- let us be realists!


I am soryy to say this!
 
Back
Top Bottom