Kenya Election 2007: Outcomes

Odinga hatakiwi kulegeza msimamo wake.Ili iwe fundisho kwa mafisadi wengine afrika.

Ila Mkapa ni bonge la mnafiki kwani hiyo ni kete yake ya kuonekana mtu asiye na makuu huku ametafuna mamilioni ya watanzania.Ngoja ya kwake yatafika kwani kwa ufisadi hatofautiani na Moi,hapo ni sawa na kumwambia Moi akasulihishe huo mgogoro kwani Mkapa na Moi ni mafisadi wastaafu wanaolindwa na walioko mamlakani.Damn!
 
January 14th, 2008 at 9:00

NAIROBI (AFP) - The Kenyan government on Monday rejected a mediation mission by former UN chief Kofi Annan to try to end political unrest and sent a stern warning to the opposition ahead of nationwide protests. Two weeks after President Mwai’s Kibaki contested re-election sparked violence that has left more than 700 dead, Annan was due in Nairobi on Tuesday, his office said.

But Kibaki’s government again rejected international mediation of the crisis, which has also left a quarter of a million displaced.

“If Kofi Annan is coming, he is not coming at our invitation,” Roads and Public Works Minister John Michuki, a hardline member of Kibaki’s new cabinet, told reporters.

“We won the elections so we do not see the point for anyone coming to mediate power-sharing,” he added.



What next??
 
Hivi Michuki sii ndo yule Waziri wa Ndani?

Ndo msemaji wa Serikali ya Kenya? Je msimamo wa Michuki ndo wa serikali? Dr. Mtua vipi?
 
Huyu Michuki namfananisha na yule comedian minister for information wa Sadam wakati Iraq ilipovamiwa na na majeshi ya washirika wa US. Namkumbuka yule minister(nimemsahau jina) ulikuwa ukimsikiliza ni kama vile majeshi ya America yanashindwa in the next few hours, kumbe ndo Sadam alikuwa ndo anakwenda hivyo. Sasa huyu Michuki naye nafikiri ni comedian fulani hivi, na akiendelea na ujinga wake huu atajikuta hayupo hapo alipo na boss wake yupo the Hague.
 
Hivi Michuki sii ndo yule Waziri wa Ndani?

Ndo msemaji wa Serikali ya Kenya? Je msimamo wa Michuki ndo wa serikali? Dr. Mtua vipi?

Michuki awamu iliyopita alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, sasa hivi amepelekwa Wizara ya Barabara na Public Works.

Tatizo la Michuki nadhani ni most corrupt leader kwa kuwa amekuwa serikalini kwa miaka mingi sana, kwa hiyo yuko pale kufunika kila kitu. Huyu jamaa aliwahi kuwaleta wale mamluki kutoka Armemia na wakawa wanatumia magari ya serikali na kupata access ya kila kona. Kwa hiyo wala sishangai nikisikia Majeshi ya Uganda yako ndani ya Kenya maana wanaweza kuwa wameitwa na Michuki + Kibaki ili waendelee kulinda utawala wao ambao ni batili!

Dr. Mutua nae hana maana yoyote maana anatoa statement zinazoji--contradict kila kukicha. Michuki nadhani ana mamlaka zaidi ya Kibaki mwenyewe.
 

Timu hii iogope:
Kibaki
Michuki
Karua (Yule mwanamke kama dume)
Kimunya

Yaani hawa ndio timu A, na wote ni kutoka Central.

Hayo anayoyasema hapo Michuki ni kujiridhisha tu; Annan atakuja na watafute njia nyingine tu ya kuendelea kuwa madarakani.

Wakimkatalia Annan na timu yake watakuwa wamejimaliza wenyewe. Sasa hivi usuruhishi ni kwa faida yao, sio faida ya ODM tena.
 
EAC executive members warudishe pesa za walipa kodi walizokwenda kutumia vibaya kwenye uchaguzi wa Kenya baada ya kuogopa kutoa hukumu ya kile kilichotokea kwenye uchaguzi huo. kwa kuamua kukaa on the fence ni ishara ya woga wa kupindukia na wasijiingize tena katika maswala ya siasa. Kwa ukweli hawana kazi yoyote ya maana bali kutetea Uozo na Uvundo katika serikali zote za EAC.
 
...martha karua is ugly ugly ..oomh....you need a million dollors..just to ...

i watched her[him] on bbc hard talk..walahi even her statement were ugly and so contraversial...especially pale alipoishiwa point akaaza kumwambia yule balozi ..if kenya was that bad ..why he rushed to buy a property in kenya ..balozi clay denied...
 
KBC leo wameshikwa na kiwewe wanaogopa kwenda kurusha matangazo LIVE kutoka Bungeni? Maana sasa ni zaidi ya masaa 3 naona wanarusha vitu vya ajabu ajabu, wakati Ofisi ya Bunge ilitoa mwaliko kwa vyombo vyote vya habari kwenda Bungeni kurusha matangazo LIVE.

Tunataka kuona uchaguzi wa Spika na Naibu. Nadhani hili ndiyo la muhimu sana kwa siku ya leo!
 
Hata mimi ninawashangaa, hii ni TV ya taifa kweli?

Mambo yanaendeleaje huko bungeni?
 
Hapa inabidi kusubiri mpaka uchaguzi uishe ndipo tutajua nani kashinda.
 
Hapa inabidi kusubiri mpaka uchaguzi uishe ndipo tutajua nani kashinda.

Nimesoma sehemu kwamba wamepiga marufuku tena kutangaza live events. Hii imesemwa leo na waziri wa habari. Nafikiri ndio maana KBC hawaonyeshi.

Nilikuwa nategemea hata BBC waonyeshe japo kidogo, lakini hakuna kitu.
 
KBC wameanza kuonyesha live, kwa wale wanaoipata KBC angalieni. Wabunge wanapiga kura sasa.
 
Mtanzania,

Unapitia jumptv ama? Kama unapitia route nyingine naomba nipe link!
 
Naona ndani kuna utulivu, ila watu wako tense, yaani kuna watu walitaka wawe wanachungulia kuangaliambunge amepigaji kura yake.

Hapa kutakuwa na maajabu, kuna wabunge watasaliti upande wao.

Wanaitwa mmoja mmoja, na bado wanapiga kura.
 
Naona huyu mama Ngillu ni babu kubwa. Kapiga kura yake wazi kiasi kwamba waliokuwa karibu waliweza kuona. Mpaka wabunge wakacheka. Angekuwa mwingine wangeshapiga kelele kwamba hapana ni kura ya siri. Lakini nafikiri hata wanaume wanamuogopa huyu mama. She is Kenyan Iron lady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…