Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Odinga hatakiwi kulegeza msimamo wake.Ili iwe fundisho kwa mafisadi wengine afrika.
Ila Mkapa ni bonge la mnafiki kwani hiyo ni kete yake ya kuonekana mtu asiye na makuu huku ametafuna mamilioni ya watanzania.Ngoja ya kwake yatafika kwani kwa ufisadi hatofautiani na Moi,hapo ni sawa na kumwambia Moi akasulihishe huo mgogoro kwani Mkapa na Moi ni mafisadi wastaafu wanaolindwa na walioko mamlakani.Damn!