Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Waheshimiwa,

Nashkuru sana shukran zenu. Sifai hizo shukran ila ahsanteni sana.

Haya data hizi hapa. Bonyeza tu

http://politics.nationmedia.com/

na

makala ya standard hii

http://www.eastandard.net/


SAA SITA NA DAKIKA MBILI USIKU, MATOKEO UPDATES: mujib wa KTN

Kibaki - 80104

Raila - 84259

Hii itakuwa mbio ya masafa marefu yaan marathon...mshindi atajulikana baada ya makilometa yaani...
 
Hadi kufikia saa 7:16 usiku Raila ana kula 55% dhidi ya 41% ya Kibaki(according tonational media)
 
Hadi kufikia saa 7:16 usiku Raila ana kula 55% dhidi ya 41% ya Kibaki(according to national media)
 
Mkenya-Mtanzania,

Inaonekana kwamba watu walio kwenda kupiga kura wame mwagika kwa wingi sana, unadhani ni kwanini? Hiyo turn up ya over 70% unadhani inaweza kuwa na advantage kwa Raila Omondi Odinga? Do u have actual population figure of Central Province? Maana naona hiyo inatisha kidogo.
 
KT,
Mbona kura za North Eastern Province haziko kwenye website ya Nation Media? Au bado hawajaanza kupokea results kutoka huko?
 
Kwa mujibu wa reuters

By Wangui Kanina and Andrew Cawthorne
2 hours, 51 minutes ago



An early exit poll gave Kenya's President Mwai Kibaki a narrow lead in Thursday's vote, praised by observers as a smooth exercise despite delays, sporadic violence and rigging charges from both sides.

The Institute for Education in Democracy (IED), a respected non-governmental organization, gave Kibaki 51.3 percent versus 39.6 for opposition leader Raila Odinga -- but the figures were based on 273 polling stations out of a total 27,000.

Kibaki's Party of National Unity (PNU), which believes sound economic record of 5 percent annual average growth will earn him a second term, was delighted. "We expect a much higher tally," spokeswoman Ngari Gituku said.

But an aide for Odinga, who led pre-vote opinion polls, dismissed the IED: "People, especially in rural areas, are not keen to say how they have voted because they fear the power of the state," Salim Lone said.

Odinga, 62, is determined to realize a long-held dream of leading the region's top economy. Kibaki, 76, wants a second term before retiring to his highland farmstead after a political career spanning Kenya's post-independence history.

After voters across the east African country's humid Indian Ocean coast, shantytowns and lush highlands finished casting their ballots, counting began immediately on Thursday evening. Official results were expected on Friday.

PNU late on Thursday complained of incidences of alleged election fraud and intimidation, and urged the Electoral Commission of Kenya (ECK) to investigate.

The complaint joined Odinga's weeks of fraud accusations, which he raised again on Thursday claiming his name was missing from the voter rolls in his constituency. The government said he had gone to the wrong voting booth.

'LARGELY PEACEFUL'

ECK Chairman Samuel Kivuitu said there had been some technical problems but that "none of these have been for rigging purposes ... ECK is run by humans and it is bound to err."

Kibaki, who became Kenya's third president in 2002 and ended 39 years of one-party rule, was narrowly behind in opinion polls heading into the vote despite a sound economic record and the backing of his Kikuyu tribe, the country's largest.

If he lost, he would be Kenya's first sitting president to be ousted at the ballot box. Diplomats consider this vote to be the country's only second truly democratic election.

Voting in Kenya largely goes along tribal and geographical lines, and analysts said it was too early to call the tightest electoral contest since independence from Britain in 1963.

Foreign observers praised the process as broadly successful.

"The day has fulfilled our hopes in that it has been conducted in a peaceful atmosphere with no intimidation," chief EU election observer Alexander Graf Lambsdorff told Reuters.

U.S. ambassador Michael Ranneberger agreed: "Overall the elections have been a largely peaceful and positive process."

Nonetheless, there were reports of violence, a regular feature at Kenya's elections despite its reputation for stability in a turbulent region.

Near Nairobi's vast Kibera slum, gunmen shot dead one man and wounded two others near a polling station. Police called it "thuggery" but the opposition said the attack was on its agents.

In the opposition heartland of Nyanza in west Kenya, police said a mob beat a man to death in a politically-tinged dispute.

A security official said opposition men killed a rival party's agent by tossing him out of a moving car, accusing him of bribery.

Because of queues and opening delays, about a quarter of the polling stations were kept open after the 5 p.m. (9 a.m. EST) closing deadline, ECK said.

The delays stoked tensions in areas including Kuresoi and the northern town of Garissa where police fired teargas to chase away angry voters or those who arrived too late.

While Odinga's style contrasts with Kibaki's, both pledge to boost growth and provide free secondary education.

The candidate who receives more votes than his closest challenger, plus 25 percent in five of eight provinces will win.

(Additional reporting by Guled Mohamed in Kisumu, Florence Muchori and Bryson Hull in Othaya, Nicolo Gnecchi, George Obulutsa, Tim Cocks in Nairobi, editing by Bryson Hull and Ibon Villelabeitia)
 
Shukran Nimeiona. Ninahamia kuko huko sasa hivi....very interesting views ....inaonekana waTZ fulani wanampenda Kibaki kuliko Raila...diyo demokrasia eti.

ALL INCOMING UPDATES NTAZIPOST KWA HIO THREAD NYINGINE

not surprising ndugu, watz wengi wanapenda ku-maintain status quo, lakini tunazidi kujifunza tutafunguka ipo siku!
 
_44322154_gmaasai_afp416.jpg



Polls opened across Kenya at 0600 local time (0300 GMT)
after a vigorous and occasionally violent campaign.



_44322155_gmagadi_afp416.jpg



More than 14 million people are expected to cast their votes
at about 27,000 polling stations for a president
and 210 parliamentarians.




_44322975_jumpafp300.jpg


Turnout is reportedly high. This man jumped out of a classroom
window in Nairobi, as the doorway to the polling station
was blocked with waiting voters.




_44322152_gboard_afp416.jpg


Pollsters say it is one of Kenya's most closely contested
elections, with President Mwai Kibaki facing his toughest
challenge from his former ally, Raila Odinga.




_44322153_gkisumudark416.jpg



Many lined up before dawn. In Kisumu, in Nyanza Province,
most night clubs and pubs remained closed on Wednesday
night so voters would be sober ahead of polling.




_44322151_gnyanzaafp416.jpg



Violence broke out in the region on Tuesday, with at least three
policemen killed after Mr Odinga's supporters accused
them of planning to rig elections.




_44322913_classroom_afp416.jpg



In Mr Odinga's constituency in Kibera slum in the capital,
Nairobi, there was chaos as people tried to force their way
into a classroom to vote after being left off the voters' roll.




_44322463_boxes416.jpg



In Kibera, voting was delayed for several hours as some ballot
boxes were missing lids.




_44322906_odinga_afp416.jpg



Mr Odinga, whose name was missed off the voters' roll,
was eventually able to vote...




_44322261_416afppanga.jpg



There have been worries about violence after Mr Kibaki and
Mr Odinga's supporters clashed in the capital on Christmas Eve,
the last day of campaigning.




_44322960_kibaki_afp416.jpg



Mr Kibaki told his cheering supporters that he was confident
he would be given a second term in office.



Turnout inakisiwa 70%, tusubiri wanaohesabu na kama kuna vurugu zaidi zimetokea sehemu nyingine. Matokeo yakitangazwa nani ataanza kulia?
 
Kulingana na data zilizoko pale NationMedia, inaelekea kuwa Kibaki na Odinga wote wana nguvu katika majimbo mawili mawili tu. Kibaki ana nguvu sana Central na Eastern, wakati Odinga ana nguvu sana Nyanza na Rift Valley. Hayo ya Coast, Nairobi na Western yako kama fifty fifty tu.


Sasa kulingana na sensor ya mwaka 1999, inaelekea kuwa population katika hayo majimbo manne ya battlgeraound ni kama ifuatavyo:

Central ina watu wapatao 3,791,194 wakati Eastern ina watu wapatao 5,782,593; hivyo majimbo ambamo Kibaki anatamba yana watu wapatao 9,573,787.

Kwa upande wa Odinga, jimbo la Nyanza lina watu wapato 4,493,217 wakati jimbo la Rift Valley lina watu wapatao 7,231,582 na hivyo kufanya idadi ya watu katika stronghold ya Odinga kuwa 11,724,799.

Uwiano wa nguvu ni kama 1.22:1 kwa Odinga dhidi ya Kibaki. Hata hivyo tunaona kama vile jimbo la Central wamemkaa Odinga kabisa wakati Kibaki anapata kura za kujaza kiganja katika stronghold ya Odinga pia. Kwa hiyo matokeo haya bado ni magumu yanaweza kwenda popote, siyo kwa Odiga siyo kwa Kibaki. Sasa hivi ni saa 2 za usiko US Central time; ngoja nisubiri hadi saa 6 usiku nione.
 
Waheshimiwa,

Mambo bado mchakamchaka lakini Raila ameanza kupanua ushindi wake kwa muda huu.

Yupo mbele kwa kura kama laki moja.

Bonyeza hapa upate mukhtasari

http://politics.nationmedia.com/


Ingawaje hii ni habari nzuri bado kuna kura nyingi tuu huko nje. Tusianze kunywa wine mapema lakini nunua wine wazee hiii kali!
 
Kenyan-Tanzania
You are should call your self Tanzania-Kenyan, roho yako inaonekana ni ya Kitanzania zaidi. Thanks for updates tunafuatilia sana, keep us updated!
 
Waheshimiwa,

Mambo bado mchakamchaka lakini Raila ameanza kupanua ushindi wake kwa muda huu.

Yupo mbele kwa kura kama laki moja.

Bonyeza hapa upate mukhtasari

http://politics.nationmedia.com/


Ingawaje hii ni habari nzuri bado kuna kura nyingi tuu huko nje. Tusianze kunywa wine mapema lakini nunua wine wazee hiii kali!

Hivi Mzazi wako mmoja ni Mtanzania na mwingine ni Mkenya? Thanks for your good work to update us with the latest results.
 
Mkenya-Mtanzania,

Inaonekana kwamba watu walio kwenda kupiga kura wame mwagika kwa wingi sana, unadhani ni kwanini? Hiyo turn up ya over 70% unadhani inaweza kuwa na advantage kwa Raila Omondi Odinga? Do u have actual population figure of Central Province? Maana naona hiyo inatisha kidogo.

Mh. Keil,

Wengi walijitokeza kuvoti kura kwajili ya mambo mawili:

1. in 2002, baada ya kutumia kura kuiondoa Serikali ya Chama kilichopigania Uhuru yaan KANU na Moi, waKenya wengi walianza kuelewa kwamba kura ni fimbo kali dhidi ya wanasiasa wakorofi...iite Voter/Civic awareness iliapanuka sana. Halafu in 2005 wakatumia tena kura hio hio kuikataa katiba pendekezi ambaye ilikuwa imeletwa kwa debe na serikali ya Kibaki. Waliposhinda dhidi ya serikali na serikali ikakubali kushindwa basi hii civi awareness and voter confidence in the rule of the majority and the people through ballot iliwekwa motisha sana. ECK ya huku chini ya chairman wake Samuel Kivuitu inaaminika sana. Ingawaje Kibaki aliwavuta kazi makemishana 29 na kuandika wapya wiki mbili kabla ya election. Kwa mfano naibu wa Kivuitu sasa ni Mkikuyu toka kwa akina Kibaki yaani mkoa wa kati. Kivuiti anatoka mkoa wa estern na ni mkali sana. Yeye ni mkamba. Wengi wanasema ilikuwa ni njama ya kuiba kura. Kina Raila walipiga kelele sana na hata akina EU na Marekani wakasema lazima Kivuitu abaki jili ana experiens tokea 1992, 1997, 2002, 2005 referendum, na sasa 2007.


2. Hii sababu ya kwanza na ile ya pili zipo pamoja. Hili la pili ni imani wakenya walio nayo dhidi ndani ya upinzani. After many years of opposing the rotten KANU government walijenga imani ndani ya upinzani. Na hii ndio sababu KIbaki alishinda jili alikuwa kwa upinzani. Raila na grup yake walishinda kura ya maoni juu ya katiba jili walikuwa kwa opposishen. Hata hivi sasa watashinda jili wamekuwa kwa opposition. Siasa za Kenya ni za Kikabila sana yaan sana. Kwa hivyo what kina Raila wamemanej kufanya ni kujenga coalishen ambaye imejumlisha makabila mengi nchini kama 37 hivi na kum isolate au kumfanya asipendeze Kibaki kwa mikoa 6 out of 8. Wakati kina Kibaki waliwatumua kina Raila toka kwa muungano wao NARC na serekalini 2006, Kina Raila walipata nafasi nzuri kujenga support mashinane huku kina Kibaki wakikazana na kazi ya serikali. Mesej ya ODM na akina Raila ilikuwa moja.Wembe uliomnyoa Moi na kuikataa Kibaki katiba ndio huo huo utakaowanyoa kina Kibaki. Argument yao ilikuwa simple. KIbaki anapanga njama na Moi arejee miaka mingine mitano halaf wamwachie Uhuru Kenyatta ambaye ni mkikuyu ifikapo 2012! Yaani iwe tuu wakikuyu na familia ya Moi state house eti! Sasa hii iliongeza ule umbeya au propaganda na kina Kibaki wakachukiwa sana kama wakabila na makabila mengi tuu ambayo yaliona kina Raila wako organized. Yaan ODM ina makabila na madini karibu yote nchini. Ina mvuto mpana ndio maana unaona Raila anapata sapot kwa mikoa zenye kabila yake haiishi huko. Youths nao ambao ni wengi walijitokeza on the basis that wamekuwa wakiambiwa wao ni leaders of teh future tokea 1964 mpaka sasa basi leo wamedai eti hiyo future imewadia. Kwajili kulikuwa na farasi mbili yaani ODM na PNU ya Kibaki mbele kwenye resi hii wengi wa Youth wamepigia akina Raila wakisema eti image yao ipo more representative of Kenyan ethnic diversity kuliko PNU iliyo na wazee wengi na inatawaliwa na kabila moja yaani wakikuyu. Raila akishinda ina maana waKenya wamekubali kuongozwa kwa siasa ya majimbo au federalism jili hii ndio ilikuwa kizingiti ya campaign zake. Kila Kabila au majimbo ndani ya mikoa yajitawale na yeye atawale majimbo haya akiwa na mamlaka madogo. the man in a hero in the making. Sio sifa ila mtaona wenyewe.

3. North Eastern ni eneo lililo pana na ni semi desert basi itachukua muda kabla zao ziingie lakin hakuna noma zitafika tu. Wao ni Raila. Ni waislam na waislam walipiga kura kidini. Walipigia Raila jili Kibaki amewanyanyasa chini ya Terrorism Law na kusafirisha vijana wakisomali kadhaa ambao wanaishi mkoa huu hadi Guantanamo Bay eti kwamba wao walishiriki na vita dhidi ya mahakama za kisomali kama terrorists.


-ktn-latest-

6.15 am

Kura za vituo ambazo zimemaliza kuhesabu sasa kwajumla zinaonyesha ifuatavyo:

Kitaifa


Raila - 404,738

Kibaki - 402,099




Provincial Count

Nyanza (counted 12%) of 2,041,686 registered voters

Raila - 236,330

Kibaki - 3,392

Western (counted 4.5%) of 1,564,854 registered voters

Raila - 34,763

Kibaki - 20,265

Rift Valley (counted 2%) of 3,358,285 registered voters

Raila - 46,489

Kibaki - 25,517

Coast (counted 2%) of 1,178,319 registered voters

Raila - 17,117

Kibaki - 6,840

North Eastern (counted 5.5%) of 315,664 registered voters

Raila - 9,339

Kibaki - 6,633

Nairobi (counted 9%) of 1,275,021 registered voters

Raila - 54,627

Kibaki - 39,353

Eastern (counted 2%) of 2,374,875 registered voters

Raila - 5,503

Kibaki - 23,643

Central (counted 13%) of 2,186,315 registered voters

Raila - 2,128

Kibaki - 277,411



ep_281207.jpg


Huyu mzee pia hakuwachwa nyuma ingawaje nywele zake zinatisha..kasema hajazinyoa kwa miaka mingi kama ishara yake dhidi ya ufisadi serikalini na kuibiwa kwa mali za walalahoi. Ila eti atazikata Raila akitangazwa mshindi.

Huko Kisumu East Eneo Bunge karibu na lake victoria na ngome la Raila mambo kali. Mhindi aitwaye Shakeel Shabir ameibuka mshindi! Ni mmojawapo wa kabila ya akina Richa Adhia yaan wahindi wazaliwa wa East Africa au ukipenda wahindi wetu. Amewashinda waafrika wa kawaida na hata wajaluo wa kabila ya raila yenyewe! Lakini unapaswa kufahamu kwamba yeye ni mjaluo ila ngozi tu, anaongea kijaluo na amekuwa kwenye siasa za chini au kata ndogo kwa miaka mingi na ni sapota mkali sana wa Raila.

HESABU ZA MAENEO BUNGE ZIMEANZA KUKAMILIKA

Shakeel Shabir - 41, 434 (ODM) - Kisumu East Constituency
James Orengo - 42, 892 (ODM) - Ugenya Constituency

 
KT,
Nimesikia kuna mawaziri 3 wa Kibaki wamepigwa mweleka, je ni mawaziri gani hao? Nimesikia habari hiyo toka BBC lakini hawakutaja majina ya hao mawaziri. May be ni kwa sababu wao si watangazaji wa matokeo ya uchaguzi.
 
Kenyan-Tanzanian.
Asante sana. Nafuatilia ripoti zako kwa makini sana. Raila is a friend of mine na nitafurahi kuwa na friend ndani ya State House Nairobi. Lakini cha zaidi nafurahi kuwa Raila ameweza kutumia coalition ya different tribes kuvunja the Kikuyu cabal katika siasa ya Kenya. Let's hope this trend continues and I wish the best for Kenya.
 
Kenyan-Tanzanian
Kuna kitu kimoja nimeshangaa sana kukiona. Hapa Tanzania CCM ilitumia trick ya kutumia Black ballot boxes to rig the elections, lakini watu walipotambua wakaanza kutumia transparent ballot boxes, huoni kama hilo huko Kenya linaweza kuleta tatizo, na likatoa wondow of opportunity ya ku-rig uchaguzi?
 
KT,
Nimesikia kuna mawaziri 3 wa Kibaki wamepigwa mweleka, je ni mawaziri gani hao? Nimesikia habari hiyo toka BBC lakini hawakutaja majina ya hao mawaziri. May be ni kwa sababu wao si watangazaji wa matokeo ya uchaguzi.

MAWAZIRI NDANI YA SERIKALI YA KIBAKI WAANGUSHWA NA WANA ODM
1. Moody Awori (PNU) – Makamu wa Rais –NJE!
2. Musikari Kombo (PNU) – Waziri wa Local Government – NJE!
3. Raphael Tuju (PNU) – Waziri wa Foreign Affairs –NJE!
4. Mutahi Kagwe (PNU) – Waziri wa Information – NJE!
5. Paul Sang (PNU) – Waziri wa Mali Asili – NJE!
6. Mukhisa Kitui (PNU) – Waziri wa Trade na Industry – NDANI! (Aponea chupuchupu)
7. Danson Mungatana (PNU) – Waziri Musaidizi Ofis ya Rais – NDANI!

Msibanduke hapo mlipo...ripoti zinaingia kama nini!
 
Back
Top Bottom