Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

MUJIBU:KTN

SAA: 10.30PM

KURA ZA KITAIFA

1. Raila - 3 557,085
2. Kibaki - 2,969,084

MIKOANI:

1. WESTERN PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 1, 564, 854 Mill.

a) Raila - 614, 079
b) Kibaki - 249, 255

2. EASTERN PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 2,388, 765 Mill.

a) Raila - 305, 737
b) Kibaki - 441, 806

3. NORTH EASTERN PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 315, 664

a) Raila - 64, 704
b) Kibaki - 58,808

4. NYANZA PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 2, 041, 686 Mill.

a) Raila - 1, 115, 338
b) Kibaki - 14, 2750

5. CENTRAL PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 2,186, 315 Mill.

a) Raila - 7, 079
b) Kibaki - 1, 329,914

6. RIFT VALLEY PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 3, 358, 285 Mill.

a) Raila - 1, 258, 671
b) Kibaki - 601, 390

7. COAST: TOTAL NUMBER OF VOTES: 1, 178, 319 Mill.

a) Raila - 205, 048
b) Kibaki - 115, 669

Nairobi haijawekwa kwenye release hii. Tusubiri.

______________________________

1. Tokea sasa nitapost tu results za Kbaki na Raila.
2. Bado kuna kura nyingi za raila huko kwao Nyanza na hata pia za Kbaki huko kwao Central. Alafu pia kuna kura nyingi za Raila huko Rift Valley kama mnavyoona kwa hizi results hapo juu. Alaf Eastern pia inaweza mpatia Kibaki kura zaidi kwasababu bado nyingi eneo hilo.
3. Rais Kibaki sasa ameanza kusonga mbele na anamkaribia Raila sana.
4. Hii itakuwa uchaguzi wa karibu sana. Mshindi anaeza mshinda mwenzake kwa kura kama 200, 000.
 
Kenyan-Tanzania uko wapi na matokeo?

Bora utuambie kinachoendelea maana kadri navyosoma anachoandika hapo juu mwendapole nashindwa kuamini kama nasoma JF au gazeti la uhuru na kusikiliza redio tanzania vile!

Polepole dadangu utanivunja mbavu, kwamba unasikiliza RTD au unasoma UHURU sina mbavu mwenzako!
 
Katika threads zako kabla ya hili umefanya exactly what you say hufanyi. Unachukua sana standard ya juu mapema hivyo. Soma tena ulichoandika hapa uone vile uko cheap na ubishi unaouita wa kijinga!

Mbona kazi unayo! Hapa unapata exactly what you do, ukileta pumba utapata pumba na ukiwa na point zipo tu za kumwaga pia na subira tu ndiyo itaamua kama nitalost au nitakuwa nimejaa tele hapa JF kwa miaka mingi sana ijayo as longer as niko alive na JF iko hewani.

...yawn....yawn...yawn....
 
MUJIBU:KTN

SAA: 10.30PM

KURA ZA KITAIFA

1. Raila - 3 557,085
2. Kibaki - 2,969,084

MIKOANI:

1. WESTERN PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 1, 564, 854 Mill.

a) Raila - 614, 079
b) Kibaki - 249, 255

2. EASTERN PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 2,388, 765 Mill.

a) Raila - 305, 737
b) Kibaki - 441, 806

3. NORTH EASTERN PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 315, 664

a) Raila - 64, 704
b) Kibaki - 58,808

4. NYANZA PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 2, 041, 686 Mill.

a) Raila - 1, 115, 338
b) Kibaki - 14, 2750

5. CENTRAL PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 2,186, 315 Mill.

a) Raila - 7, 079
b) Kibaki - 1, 329,914

6. RIFT VALLEY PROVINCE: TOTAL NUMBER OF VOTES: 3, 358, 285 Mill.

a) Raila - 1, 258, 671
b) Kibaki - 601, 390

7. COAST: TOTAL NUMBER OF VOTES: 1, 178, 319 Mill.

a) Raila - 205, 048
b) Kibaki - 115, 669

Nairobi haijawekwa kwenye release hii. Tusubiri.

______________________________

1. Tokea sasa nitapost tu results za Kbaki na Raila.
2. Bado kuna kura nyingi za raila huko kwao Nyanza na hata pia za Kbaki huko kwao Central. Alafu pia kuna kura nyingi za Raila huko Rift Valley kama mnavyoona kwa hizi results hapo juu. Alaf Eastern pia inaweza mpatia Kibaki kura zaidi kwasababu bado nyingi eneo hilo.
3. Rais Kibaki sasa ameanza kusonga mbele na anamkaribia Raila sana.
4. Hii itakuwa uchaguzi wa karibu sana. Mshindi anaeza mshinda mwenzake kwa kura kama 200, 000.

Asante K-T,

Haya ndio mambo, Raila kama akipata kura nyingi za Rift Valley anaweza ku-offset za central na Eastern.

Rift valley wametoa statement kubwa sana ya kumtoa Biwott na watoto wa Moi na so far inaonekana Raila atapata sana huko!
 
Polepole dadangu utanivunja mbavu, kwamba unasikiliza RTD au unasoma UHURU sina mbavu mwenzako!

Nakuambia Kitila,

ukisoma alichokuwa anaandika mwendapole kabla ya kuanza kujibizana na mimi unaweza kuamini kabisa kuwa unamsikiliza Kingunge mwenyewe huku ukitamani kunywa lemon or something usijetapika kwenye computer bure!
 
Hii itakuwa uchaguzi wa karibu sana. Mshindi anaeza mshinda mwenzake kwa kura kama 200, 000.

Ni kweli kabisa. Napata wasiwasi kuwa Kibaki atashinda, kwa ukweli au kurig. Upper Eastern kura zikianza kuripotiwa itakata gap hii. Hata hivyo sisi tunaotaka mabadiliko ya kweli na uhuru wa kweli kwa wakenya tunacross our fingers ili Agwambo ashinde.
 
Haya hii hapa ya Joe Nyagah wa ODM huko Gachoka, mkoa wa Eastern

1.AMEPOTEZA HICHO KITI KWA PASTA MUTAVA MUSYIMI WA PNU. NILIVOSEMA AWALI HANGEKUWA NA CHANCE NZURI JILI AKILKO HUKO NI NGOME YA KIBAKI. YEYE NDIYE KIGOGO WA ODM PEKEE AMBAYE WAJULIKANAO KAMA THE ODM PENTAGON KUANGUKA KURA.(Raila, Rutto, Ngilu, Mudavadi, Balala ndio wengine memba wa organ hio kuu zaidi ya chama cha ODM).

2. WAMPENDAO MSIWE NA WASIWASI NAWAHAKIKISHIA KABISA KWAMBA HUYU TAYARI ATAPATA SITI YA BUNGE KAMA NOMINATED MP.
 
Mwafrika wa kike!

Kama una BWANA amekuoa namwonea sana huruma- maaana unamburuza na kumziba mdomo kisawasawa!

Mara ingine akina dada kama Mwafrika wa Kike huwa hawaolewi! huwa tu senior sisters! Na kuzaa tu mtoto na Mme wa mtu basi!

Hii ndo hali halisi!

Kama kuna refarii hapa anapaswa kukukata point, maana hapo unapiga "below the belt" au "low punch". Issue za bwana wake zinatoka wapi hapa. Kwa taarifa yako kuna wenzio tunapenda wanawake imara, maana hiyo inanipa feeling of gratification, victory, yaani najisikia mie ndio kidume hasa nikiwa na mwanamke wa hivyo, napita mtaani kifua mbele (na hadithi ya nungunungu, licha ya miiba yake.....!). Wanaume wanaomwogopa huyo wao ndio dhaifu, na mie namwambia kama kweli yuko hivyo, don't go for weak men, they will frustrate you! Na zaidi ni kwamba kwangu (na wengine wengi, naamini) firmness on issues is the number one qualification for my woman! Mama Mwafrika nina hakika huyu jamaa hajakubabaisha lolote, ila naongezea tu kukupa encouragement.

Na wewe Mzalendohalisi, nakemea tabia yako hii, acha mara moja!
 
Mwafrika wa kike!

Kama una BWANA amekuoa namwonea sana huruma- maaana unamburuza na kumziba mdomo kisawasawa!

Mara ingine akina dada kama Mwafrika wa Kike huwa hawaolewi! huwa tu senior sisters! Na kuzaa tu mtoto na Mme wa mtu basi!

Hii ndo hali halisi!

Sasa hii soo, inaonekana uvumilivu wenu ni mdogo sana and what you say here is tantamount to sexual abuse, which we are not ready to buy it here, find another forum for this, please give us a break-we are following Kenyan election results.
 
Tatizo tu ni ukabila. Lakini huku kwetu pia watu wanapiga kura kwa ukabila. Kumbukeni mwaka 1995 Mrema alibeba kura zote za Chagaland ie 87%. Mkapa nae huko Mtwara it was to the last man. Cheyo alipata kura za kutosha Lake Zone.

Nadhani inabidi kurithink political strategies zetu. Inawezekana kabisa kuitoa CCM. Kama hatutaitoa tunaweza kuwa na wabunge wengi zaidi ya CCM na kisha kuwa na Waziri Mkuu. Inawezekana!

Mh. Zitto (MB), hili la ukabila mimi niseme kwamba sidhani kama Tanzania itawahi kuongozwa na raisi wa kutoka kabila kubwa lolote! Siku hiyo ikitokea utaona ukabila utauona vizuri hapa bongo, mimi natokea Kilimanjaro lakini sioti kuona raisi miaka karibuni atatokea hu.ko, unajua waweza wewe kama Rais usiwe mkabila lakini watu wa kabila lako wakakufanya uonekane wewe ni mkabila! mifano ipo. Kikwete si mdini hata kidogo lakini wapo wanasema anateua kwa udini!,
moja ya mbinu ya ushindi kwenye ngazi ya urais, count chagga, sukuma, nyakyusa any other big tribe out!
Mh. kumbe katiba ya sasa inaruhusu Raisi kutoka chama kingine waziri mkuu chama kingine? dependeng on number of MPs?
 
Ni kweli kabisa. Napata wasiwasi kuwa Kibaki atashinda, kwa ukweli au kurig. Upper Eastern kura zikianza kuripotiwa itakata gap hii. Hata hivyo sisi tunaotaka mabadiliko ya kweli na uhuru wa kweli kwa wakenya tunacross our fingers ili Agwambo ashinde.

Oooh ooh, inaogopesha! ngoja tukunje vidole.
 
HIvi Kibaki na Raila wame satisfy requirement ya kupata 5 per cent ya kura zote kwa kila jimbo tayari?
 
HIvi Kibaki na Raila wame satisfy requirement ya kupata 5 per cent ya kura zote kwa kila jimbo tayari?

Kama sikosei ni 25% ya vote katika majimbo matano (niko tayari kusahihishwa kwa hili), zitto au K-Tanzania mnajua hili?
 
NATIONAL VOTE

MUJIB: KTN

SAA: 11.11PM

MAENEO BUNGE 124 Zimeshahesabiwa. Jumla kuna maeneo bunge 210. Tunasubiri kura za constituencies 86.

1. Raila Odinga - 3, 571, 158 Mill.
2. Kibaki Mwai - 3, 043, 921 Mill.

Wakuu: Kibaki ameamuka sasa na anakuja kwa kasi za farasi! Halafu wote wawili wamekwisha fululiza kondisheni mbili za kuchaguliwa rais bado hio ya tatu: Kondishen zenyewi ni hizi: Ili atangazwe kama Rais, mgombeaji Rais lazima

a)Achaguliwe kama muwakilishi wa eneo bunge moja nchini.
b)Apate 25% of the votes kwa majimbo tano au zaidi.
c)Apate kura zaidi kuliko wapinzani wake nchini nzima (majority vote win)

Haya hii hapa ya Joe Nyagah wa ODM huko Gachoka, mkoa wa Eastern

1.AMEPOTEZA HICHO KITI KWA PASTA MUTAVA MUSYIMI WA PNU. NILIVOSEMA AWALI HANGEKUWA NA CHANCE NZURI JILI AKILKO HUKO NI NGOME YA KIBAKI. YEYE NDIYE KIGOGO WA ODM PEKEE AMBAYE WAJULIKANAO KAMA THE ODM PENTAGON KUANGUKA KURA.(Raila, Rutto, Ngilu, Mudavadi, Balala ndio wengine memba wa organ hio kuu zaidi ya chama cha ODM).

2. WAMPENDAO MSIWE NA WASIWASI NAWAHAKIKISHIA KABISA KWAMBA HUYU TAYARI ATAPATA SITI YA BUNGE KAMA NOMINATED MP.

Bad news kwa Nyaga lakini hata hivyo historia itamuinua kama mtu aliyekataa ukabila na kupigania kweli.

Natumaini atapata nafasi zaidi ya kuleta mwanga afrika yote na asiishie Kenya tu.
 
NATIONAL VOTE

MUJIB: KTN

SAA: 11.11PM

MAENEO BUNGE 124 Zimeshahesabiwa. Jumla kuna maeneo bunge 210.

1. Raila Odinga - 3, 571, 158 Mill.
2. Kibaki Mwai - 3, 043, 921 Mill.

Wakuu: Kibaki ameamuka sasa na anakuja kwa kasi za farasi!

Asante Mkuu,

vipi kura za western na Rift valley ngapi zimehesabiwa?
 
NATIONAL VOTE

MUJIB: KTN

SAA: 11.11PM

MAENEO BUNGE 124 Zimeshahesabiwa. Jumla kuna maeneo bunge 210. Tunasubiri kura za constituencies 86.

1. Raila Odinga - 3, 571, 158 Mill.
2. Kibaki Mwai - 3, 043, 921 Mill.

Wakuu: Kibaki ameamuka sasa na anakuja kwa kasi za farasi!

Duh! the gap is becoming narrower by the minute!
 
Mwafrika wa kike!

Kama una BWANA amekuoa namwonea sana huruma- maaana unamburuza na kumziba mdomo kisawasawa!

Mara ingine akina dada kama Mwafrika wa Kike huwa hawaolewi! huwa tu senior sisters! Na kuzaa tu mtoto na Mme wa mtu basi!

Hii ndo hali halisi!

Halafu unasema 'Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa! '

Nakuomba tafadhali mtu wake usielekee huko wewe pamoja na huyo mwafrika wa kike maaan tuna penda kusikia hoja toka kwenu sio kushambnuliana

Hope sasa hekima itatawala
 
Back
Top Bottom