Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Mimi namshangaa sana huyu Kenyan - Tanzanian kwa kum support Raila katika njama zake za kuigawa Kenya. Kibaki anaweza kuwa mkabila lakini huyu Raila ni muuaji ana organise watu wake waenda kuua wakikuyu kanisani! jamani hata Kanisani? Hii ni hatari sana, we are carried away na hizi events zinazojiri Kenya na lakini hatari iliyopo mbele yetu ni Kenya wanaweza kumtoa mkabila Kibaki na kumuingiza muuaji Raila.

Raila kama unaona aliyekunyima urais ni Kibaki chonde chonde waache in peace wakikuyu kuendelea kulazimisha wauawe hakukusaidii, hivi utakapo ingia huko Ikulu utatawala waluo na wakalenjin tu?

Kenyan - Tanzanian naomba nikupe polite ombi pamoja na hamasa na ufurukutwa wako kwa Raila nakuhakikishia huyu mtu hana heri na Kenya, mwanzoni hata mimi nilikuwa nina sympathize nae lakini as the days goes on the man is showing his true colour hawafai wakenya na hatufai wa east africa.

All said and done si support foul alizofanya Kibaki (if any) lakini ndugu zangu wa Kenya yasije yakawakuta ya Wazambia walipomtupia virago mzee Kaunda na kumuingiza Chiluba what happened next kila mtu anajua....

Mungu Ibariki Kenya

Masatu,

Mmmhhhh!! ndio umeandika hayo juu? Ukitaka kuwa mkweli hapa duniani lazima u respect the will of the people na kwa hili la Kenya sioni kwanini umlaumu victim badala ya yule aliyesababisha hayo mambo yatokee kwa kuwatumia wafuasi wake kuiba kura.

Afrika lazima tuwang'oe watu KIbaki kama tunataka angalau watoto wetu waje wawe na nafuu kuliko sisi. Najua hata CCM wanaangalia hili maana viongozi wetu wengi hawana tofauti na Kibaki kwenye uwizi wa kura na kukataa kuunda tume huru.
 
Bad for business

Kenya's currency fell to 68 shillings against the US dollar from 63.50 on 24 December, the last day of trading before the new year.

ACI Kenya, the body representing local money market makers, said it had discussed delaying currency trading with the country's central bank.

It wanted to give commercial banks time to talk with clients and assess their currency requirements, and possible demand levels for the US dollar.

"With no clear cut election result, there is a lot of uncertainty and the market is looking shaky," said ACI chairman Bryan Muigai.

Many investors will be looking to buy dollars as they are seen as a safer investment and asset than the Kenyan shilling in times of turmoil.

The country's benchmark index NSE-20 share index fell 5.1% to 5,167.18.

Stock traders also sold shares in major Kenyan firms, with Barclays Bank of Kenya shedding 5% to 75 shillings, and Kenya Commercial Bank declining 6% to 26 shillings, according to a Nairobi Stock Exchange official.

Business leaders have warned that the government will lose about 2bn shillings ($31m) a day in tax revenues for every day companies have to stay closed due to the
 
Sio kweli raila kaahirisha! amezidiwa nguvu kipigo kilianza jana usiku mathare, Raila anavinjari nrb na gari lake la kifahari aina ya hammer, anasalimia wagonjwa hospitalini, katembelea mochwari, niraisi asiyekuwa na ikulu. anasema hawezi kutoa nusukaputi wakenya wabakwe, mshari mkubwa. anastahili kwenda ICC haraka.
 
Quote: Masatu
Mimi namshangaa sana huyu Kenyan - Tanzanian kwa kum support Raila katika njama zake za kuigawa Kenya. Kibaki anaweza kuwa mkabila lakini huyu Raila ni muuaji ana organise watu wake waenda kuua wakikuyu kanisani! jamani hata Kanisani? Hii ni hatari sana, we are carried away na hizi events zinazojiri Kenya na lakini hatari iliyopo mbele yetu ni Kenya wanaweza kumtoa mkabila Kibaki na kumuingiza muuaji Raila.

Its seems this person has very limited knowledge of Kenya. Mombasa Kuna riots (makabila ni wagiriama,digo,duruma,chonyi,wakambe, wakauma, waribe, warabai, wajumvu, waswahili, wagunya kidogo, waarabu pia, watu wa Frere Town (kina Leornard Mambo Mbotela), wataita na wabara kidogo e.t.c)Riftvalley kuna riots na pia ni makabila ya wakalenjin ikiwemo la Moi Elgeyo.

sasa wewe hauoni kuwa hii sio vita ya wajaluo pekee. Na mimi pia namuunga mkono Raila pia mimi ni Mjuluo

WEWE!!!!!!
 
Sio kweli raila kaahirisha! amezidiwa nguvu kipigo kilianza jana usiku mathare, Raila anavinjari nrb na gari lake la kifahari aina ya hammer, anasalimia wagonjwa hospitalini, katembelea mochwari, niraisi asiyekuwa na ikulu. anasema hawezi kutoa nusukaputi wakenya wabakwe, mshari mkubwa. anastahili kwenda ICC haraka.

Hiyo Mathare ina wakikuyu wengi kuliko makabila mengine na kuna uwezekano kwa makabila mengine yamekimbia slum ya Mathare. Hicho kipigo unachoongelea hapa ni kipi na kinahusiana vipi na haya ya Rally?

Raila anayeonekana kwenye media sasa hivi hatumii hammer labda mkuu unataka kuanzisha something hapa!
 
Its seems this person has very limited knowledge of Kenya. Mombasa Kuna riots (makabila ni wagiriama,digo,duruma,chonyi,wakambe, wakauma, waribe, warabai, waswahili, wagunya kidogo, waarabu pia, watu wa Frere Town (kina Leornard Mambo Mbotela), wataita na wabara kidogo)e.tc Riftvalley kuna riots na pia ni makabila ya wakalenjin ikiwemo la Moi Elgeyo.

sasa wewe hauoni kuwa hii sio vita ya wajaluo pekee. Na mimi pia namuunga mkono Raila pia mimi ni Mjuluo

WEWE!!!!!!

Waambie ndugu yangu maana propaganda ya western media imeanza kugusa kila mtu sasa hivi. Wajaluo ni sehemu kidogo tu ya ushindi wa Raila na fujo zinazoendelea Kenya. Westerners kama kawaida yao watafanya hii issue iwe ya kikabila badala ya wananchi dhidi ya serikali ya kidhalimu.

Wakati wananchi wa Ukraine na Yugoslavia na ulaya mashariki wanaandamana kupinga udikiteta, vyombo vya magharibi viliwaita wanamageuzi. Leo wakenya wakiandamana kupinga uonevu basi wazungu wanatafuta namna ya kudemonize ili waonekane kama wamevutiwa na ukabila na wala sio nia ya kujikomboa.

Surprisingly hata baadhi yetu waafrika tunaliona hili katika msingi wa western media.

Kibaki anapingwa na makabila zaidi ya 40. It is no longer Luo vs Kibaki, it is kenyans (soma Africans) against waonevu.
 
Kibaki speaks out against violence
By NATION Reporter
Last updated: 3 minutes ago

President Kibaki has spoken out against the violence rocking the country but insisted that those not satisfied with the election result should seek redress in the courts.

The President said the elections were free and fair, adding that his Government will deal firmly with any perpetrators of violence.

Speaking off-the-cuff, in Swahili, after reading his statement in English, President Kibaki said the elections were democratic, free and fair after which he was called and informed he had won.

He expressed willingness to dialogue with “concerned parties once the nation is calm and the political temperatures are lowered enough for constructive and productive engagement”.

Here is the full text of the President’s statement, excluding the remarks made in Swahili:

Fellow Kenyans, I am deeply disturbed by the senseless violence instigated by some leaders in pursuit of their personal political agendas. This is causing unnecessary loss of lives, destruction of property and displacement of innocent wananchi from their homes, especially women and children.

As your President, I want to assure all of you that the Government is doing everything possible to ensure the security of all Kenyans. Those who continue to violate the law will face its full force. I urge the public to remain calm as the Government continues with its efforts to restore law and order.

In the last few days, I have continuously appealed for peace and restraint. I wish to thank those who have heeded my call, and especially those who have taken the initiative to bring about peace and reconciliation in our country.

I want to remind leaders that you have an obligation to respect and uphold the constitution of this country, and its laws. You have an obligation to uphold and protect the right of every Kenyan to live, work, and own property anywhere in our country. It is your duty to ensure that these rights are protected and upheld throughout this nation.

As we seek avenues of bringing back peace and calm to this country, I am appealing to you to demonstrate your respect for this country and its institutions by restraining yourselves, and your supporters from engaging in unlawful activities.

In particular, I am appealing to all young people to reject any attempts to use them to harm their fellow Kenyans. This is your country too, and to harm your fellow citizens and wilfully destroy property is to destroy your own future.

I have said before that I will personally lead this nation in healing and reconciliation. I have opened my office to all Kenyans of goodwill whose desire is to have a united, peaceful, and stable Kenya.

I am ready to have dialogue with concerned parties once the nation is calm and the political temperatures are lowered enough for constructive and productive engagement.

I am directing the Police Commissioner to increase the number of police hotlines for the wananchi to report any suspicious activities that may lead to acts of lawlessness. I am also directing our security services to be vigilant and deal firmly with all perpetrators of criminal activities.

The Government is providing food and other humanitarian requirements to all those displaced by the violence. The military has been entrusted with the execution of this important responsibility. I convey my deepest condolences and sympathies to the relatives of all the innocent persons who have lost their lives.

I will soon be visiting the affected areas to join fellow Kenyans in the healing and reconciliation process. Once again, fellow Kenyans, I want to reiterate my commitment and duty to protect the lives and property of all Kenyans, and to ensure that this country is governed by the rule of law that applies to all of us, irrespective of our status.

My fellow Kenyans, let us work together as brothers and sisters to seek lasting peace and unity for our country.

Thank You and God Bless Kenya.
 
Wakuu,

Hivi Kibaki anaweza kwenda hospitali kusalimia na kuwaona wagonjwa?

Kwenye PR naona anacheza mchezo wake vibaya, lakini huenda akienda na akazomewa itakuwa mbaya hata zaidi.
 
Wakuu,

Hivi Kibaki anaweza kwenda hospitali kusalimia na kuwaona wagonjwa?

Kwenye PR naona anacheza mchezo wake vibaya, lakini huenda akienda na akazomewa itakuwa mbaya hata zaidi.

Kibaki hajali kabisa kinachotokea kenya sasa hivi as longer viongozi kama kina museveni wameanza kuitambua serikali yake
 
hapana jamani kibaki anajali na hafurahishwi kabisa na yanayotokea.

huenda na yeye kalazimishwa aukubali urais kama alivyolazimishwa mkuu wa tume kumtangaza.

tumpeni right of dought.

mungu ilinde kenya mungu walinde wakenya na mungu ipe amani afrika
 
Nashangaa sijapata habari yoyote kuhusu Mkutano wa RAILA jana alifanya Mkutano lakini vyombo vya habari vinasema umehairishwa.

Vile vile hili gogoro wakenya wasipomlazimisha KIbaki akatoka IKULU ujue Demokrasia itakuwa ndo mwisho Kenya vile vile wengine katka Africa wataiga.

Tutakuwa tumezika Demokrasia kwa ujumla ningefurahi pamoja na kwamba naulumia matatizo yawapatayo wakenya lakini nafikiri wanapigania demokrasia ktk bara lote la Africa.

Mimi nafikiri wale marais watakao pongeza tuwaangalie kwa macho mawili na wao wanaweza kufanya hivyo siku za usoni
 
Mkuu Kibaki hawezi kulazimishwa, kwa nini mpaka sasa hajajiuzulu hiyo nafasi?

Mimi nafikiri huyu ni FISADI tu ni KIbaka tu hakuna lolote
 
Nashangaa sijapata habari yoyote kuhusu Mkutano wa RAILA jana alifanya Mkutano lakini vyombo vya habari vinasema umehairishwa.

Vile vile hili gogoro wakenya wasipomlazimisha KIbaki akatoka IKULU ujue Demokrasia itakuwa ndo mwisho Kenya vile vile wengine katka Africa wataiga.

Tutakuwa tumezika Demokrasia kwa ujumla ningefurahi pamoja na kwamba naulumia matatizo yawapatayo wakenya lakini nafikiri wanapigania demokrasia ktk bara lote la Africa.

Mimi nafikiri wale marais watakao pongeza tuwaangalie kwa macho mawili na wao wanaweza kufanya hivyo siku za usoni

Kweli kabisa hili wimbi la mabadiliko lazima liishie kwenye ushindi ili madikteta wengine Afrika wajifunze ama sivyo ndiyo tutakuwa tumesema goodbye to democracy in Afrika.

-Wembe
 
Raila si mkabila maana ukiangalia kura alizopata na wabunge aliowapata ni kutoka makabila mbalimbali.
Kuna habari kuwa CCM walienda Kenya kuwafundisha namna ya kuiba kura.Kama habari hii ni ya kweli basi JK hawezi kuwa msuluhishi na labda ndiyo maana amekaa kimya sana.
Katika hali hiyo, aliyesababisha yote hayo ni CCM - wanadhani wakenya ni kama waTZ ambao ukiwaibia kura ukamwapisha rais, basi yamekwisha!
 
Mimi nawashangaa sana watu wanaomuita Raila muuaji, ooh wajaluo wanaua wakikuyu, hivi wanakurupuka kutoka wapi na kusema haya? si m- reason kabla ya kuongea? kw hiyo mnafurahia sana mtu kunyanganywa haki yake alihangaika kuitafuta akizunguka kenya nzima, pengine bila kulala na pia katumia pesa yake nyingi tofauti na kibaka ambaye katumia resources za serikali. We Masatu na Eddy ebu kuweni serious, hakuna anayependa damu imwagigike ila kama ni for the better tommorow be it. Na sielewi kwa nini watu wana insist kuwa wakikuyu ndo wanaokufa, hivi mnajua kama kisumu ndo inaongoza kwa vifo vingi tene vya wajaluo? hata idadi inayotolewa si sahihi. Pia kuna habari kuwa ni jeshi la Uganda ndo limemwagwa kisumu kuuwa watu. mtabaki ooh ukabila na real issue mnaiacha. unadhani yeye raila anapenda kuona wajaluo wanauwawa na government kiasi hicho? Mbaya zaidi nimeongea na askari mmoja huko ana uchungu na kibaki na anachosema ni kwamba there is no other way but wataingia msituni. I was thinking and wishing kwamba haya mawazo yasiwe ya askari wengi maana jeshi likipasuka tu kazi ipo. What else can we expect from people like museveni, the guy is a corn.
 
Raila si mkabila maana ukiangalia kura alizopata na wabunge aliowapata ni kutoka makabila mbalimbali.
Kuna habari kuwa CCM walienda Kenya kuwafundisha namna ya kuiba kura.Kama habari hii ni ya kweli basi JK hawezi kuwa msuluhishi na labda ndiyo maana amekaa kimya sana.
Katika hali hiyo, aliyesababisha yote hayo ni CCM - wanadhani wakenya ni kama waTZ ambao ukiwaibia kura ukamwapisha rais, basi yamekwisha!

Toa source ya hiyo habari, otherwise ni upuuzi mtupu!!! Wizi wa kuiba kura pia unaendana na mahali na jamii, uzoefu wa TZ hauwezi fanya kazi Kenya...

In fact Tanzania kuiba kura ni Rahisi zaidi kuliko huenda nchi nyingine yeyote!!! Kwa nini nasema hivi? Kama unavitua say 30% ambavyo havina mashahidi ya vyama vya upinzani wa kuangalia kura zao zisiibiwe... hapa si ndio unafanya unalotaka?

Tuwe wa kweli, tusijechafua hiki chombo chetu cha Habari ambacho siku hizi ni source ya information ya vyombo vya habari vya TZ
 
Kilitime, you discredit Kamakabuzi comment but then elaborate how possible the same crime can be achieved in Tanzania by the ruling party...

Don't you see that this is some sort of self incrimination?... and you know we like to believe 'someone is guilty unless proven otherwise'... would you prove the otherwise then, pls?!

SteveD.
 
Toa source ya hiyo habari, otherwise ni upuuzi mtupu!!! Wizi wa kuiba kura pia unaendana na mahali na jamii, uzoefu wa TZ hauwezi fanya kazi Kenya...

In fact Tanzania kuiba kura ni Rahisi zaidi kuliko huenda nchi nyingine yeyote!!! Kwa nini nasema hivi? Kama unavitua say 30% ambavyo havina mashahidi ya vyama vya upinzani wa kuangalia kura zao zisiibiwe... hapa si ndio unafanya unalotaka?

Tuwe wa kweli, tusijechafua hiki chombo chetu cha Habari ambacho siku hizi ni source ya information ya vyombo vya habari vya TZ

Hii habari ilisikika na baadhi wakatoa hata majina lakini nafikiri ni mambo tu ya mitaani hayana ushaidi wowote, labda mwenye ushaidi anaweza kutupa taharifa zaidi. Hila lilisemwa sana.
 
JOTO LIWE HILI HILI kibaki IS BEGINNING TO FEEL THE HEAT

Mkuu nashangaa wanaoongea na Kibaki na kumbembeleza wakati wakijua ameiba kura, huyu jamaa wanapaswa kumwambia aondoke madarakani hakuchaguliwa lakini wanasahau kitu kimoja tu

"Ukitaka kumuua Nyani usimwangalie usoni" Kibaki hatakiwi kuangaliwa usoni
 
Back
Top Bottom