Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Huyo Mama ni Kiboko cha Polisi. Maana sijui kama mtu huwa anamuogopa.
 
mtz

vp zee lao kibaka nalo lipo hapo?

Kibaki yupo, wameanza kuonyesha baadaye sana. Hawakuonyesha wakati wanaanza. Niliangalia kidogo Aljzeer na ni kama mwanzoni kulikuwa na kashi kashi nyingi.

Wabunge wote 207 wapo.

ODM wako karibu na ile sehemu ya kupigia kura, hivi government huwa wanakaa wapi? Sina uhakika kama ODM wamefanikiwa kukaa sehemu ya serikali.
 
ODM wako karibu na ile sehemu ya kupigia kura, hivi government huwa wanakaa wapi? Sina uhakika kama ODM wamefanikiwa kukaa sehemu ya serikali.

BBC wanasema Raila alipoingia alikaa sehemu ya upinzani moja kwa moja. Pamoja na hayo inasemekana kwamba Katibu wa Bunge aliwaambia kwamba wakati wa uchaguzi wa Spika leo wanaweza kukaa upande wowote kwa kuwa bado halijawa Bunge Rasmi. Litakuwa Bunge Rasmi mara baada ya kumpata Spika na wote kula kiapo.
 
Wanahesabu kura na KBC wameondoa matangazo. Nitasikiliza kwenye radio, wacha
niende safari.
 
The counting is over.

Marende: 104

Kaparo: 99

Kalembe: 2

others: 0

ODM WINS FIRST ROUND
 
Jamani Kibaka hajaanza ku-panic kwa wale mnaoangalia LIVE?
 
Je, hii ni dalili ya ushindi kwa ODM? Maana naona hizo namba ni za kama vile za ODM + NARC vs PNU/ODM-K/SPPG
 
Ilipaswa ili kushinda kwa round ya kwanza mshindi apate 2 third ya kura zote ambazo ni 144.

Round ya pili pia inapaswa mshindi apate hizo, ikishindikana hapo itarudiwa round ya tatu ambapo mshindi anapatikana kwa simple majority, yaani mwenye kura nyingi ndo mshindi.
 
Kwa hiyo kwa hesabu za harakaharaka ODM wanaweza chukua kama hawatasalitiana, au mnasemaje?
 
Yeah! uwezekano ni mkubwa.

Ila du vyama vyote ni kama viko Against ODM except Narc tu.

Hivi wengine wote hawaoni kuna wizi uliofanyika?
 
Habari zinasema duru ya pili mwana ODM kashinda tena.

Bado round ya mwisho inayoamua nani atakuwa speaker!
 
Yeah! uwezekano ni mkubwa.

Ila du vyama vyote ni kama viko Against ODM except Narc tu.

Hivi wengine wote hawaoni kuna wizi uliofanyika?


But why? au wanataka uwaziri uliobaki maana wenzetu wakenya kwa madaraka hawajambo! Ndio maana jamaa aliamua kuteua wachache kwanza ili awapate.
 
Back
Top Bottom