Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 677
Haya simplemind, Ab-Titchaz mmeshuhudia uozo wa matokeo ya Scrutiny? I said and i still believe,Uhuru hakuwa na uwezo wa kushinda in round one. Habari ndo hiyo!Parties to pick up results of fresh tallying this morning at 8 am. Results are significant as they will determine which way judges rule. Watch social media!
Haya simplemind, Ab-Titchaz mmeshuhudia uozo wa matokeo ya Scrutiny? I said and i still believe,Uhuru hakuwa na uwezo wa kushinda in round one. Habari ndo hiyo!
Well, unakumbuka Supreme Court ilitoa order ku-Scrutinize forms 34s and 36s? Pia re-tallying of suspicious 22 polling stations? Sasa imedhihirika leo asubuhi Mahakamani kuwa in those 22 polling stations Uhuru aliongezewa 6,000 votes na Raila alipunguziwa 11,000 Votes. Mind you its only in 22 polling centres. (What if in 33,000 polling centres?). Haya Forms 34 ambazo ndizo zinakuwa na results kutoka counties mbalimbali, imegundulika 10 hazipo. Je yale matokeo yaliyotangazwa (including results from those missing 34 forms) yalitoka wapi? were they complete? Haya kuna duplication of form 36.....so ....interesting!Tuko mbali na tV WENGINE MO DETAILS TAFADHALI
Haya simplemind, Ab-Titchaz mmeshuhudia uozo wa matokeo ya Scrutiny? I said and i still believe,Uhuru hakuwa na uwezo wa kushinda in round one. Habari ndo hiyo!
Lawyers: Vote re-tallying results reveal discrepancies
By Standard Digital Reporter
Nairobi, Kenya: The results of re-tallying of votes from 22 polling stations and audit of all Forms 36 used in the March 4 election were on Friday revealed before the Supreme Court.
Lawyers representing petitioners said the scrutiny revealed there were no Forms 34 for 10 constituencies and there were errors in Forms 36.
Lawyer Kethi Kilonzo representing Africog said the scrutiny showed the Forms 34 were missing in 10 constituencies.
"Presidential results from Laikipia West cannot be verified," she said.
She said if the Forms 34 were missing, then the Returning Officer presidential results made a final decision without complete tallying from all polling stations.
Lawyer George Oraro representing Prime Minister Raila Odinga said there were grave errors in Forms 36 from seven constituencies.
He said in some instances, there were two Forms 36.
He said there were huge discrepancies in the Forms 36 used in the final tally of presidential results and added Uhuru Kenyatta could not have garnered the 50 percent plus one basing on the errors.
But the Independent Electoral and Boundaries Commission through lawyer Nani Mungai said the discrepancies in Forms 34 and Forms 36 were explained by Returning Officers in affidavits filed in the case.
Lawyer Fred Ngatia for Uhuru Kenyatta said there were clerical errors across the country but added they were not substantial.
"Voting, counting and tallying of the presidential election was done to a substantial degree of accuracy," he said.
Standard Digital News - Kenya : Lawyers: Vote re-tallying results reveal discrepancies
Well, unakumbuka Supreme Court ilitoa order ku-Scrutinize forms 34s and 36s? Pia re-tallying of suspicious 22 polling stations? Sasa imedhihirika leo asubuhi Mahakamani kuwa in those 22 polling stations Uhuru aliongezewa 6,000 votes na Raila alipunguziwa 11,000 Votes. Mind you its only in 22 polling centres. (What if in 33,000 polling centres?). Haya Forms 34 ambazo ndizo zinakuwa na results kutoka counties mbalimbali, imegundulika 10 hazipo. Je yale matokeo yaliyotangazwa (including results from those missing 34 forms) yalitoka wapi? were they complete? Haya kuna duplication of form 36.....so ....interesting!
Vote recount shows anomalies- lawyers - Politics - nation.co.keUnaweza kutuwekea source ya hizo idadi za 6,000 na 11,000?
Well, unakumbuka Supreme Court ilitoa order ku-Scrutinize forms 34s and 36s? Pia re-tallying of suspicious 22 polling stations? Sasa imedhihirika leo asubuhi Mahakamani kuwa in those 22 polling stations Uhuru aliongezewa 6,000 votes na Raila alipunguziwa 11,000 Votes. Mind you its only in 22 polling centres. (What if in 33,000 polling centres?). Haya Forms 34 ambazo ndizo zinakuwa na results kutoka counties mbalimbali, imegundulika 10 hazipo. Je yale matokeo yaliyotangazwa (including results from those missing 34 forms) yalitoka wapi? were they complete? Haya kuna duplication of form 36.....so ....interesting!
Hapana, they had a common plan!These OCAMPO guys are Mafioso. Waliizidi ujanja IEBC navyoona
aaaaah wapi, hapa Jubilee na IEBC yao wamekamatika na hawana pa kutokea. Na hii source ya habari ni ya mashaka sana coz haijabalance kabisa stori.
yaano hapa IEBC na Jubilee hawachomoki ndugu. Swali la kujiuliza ni kwamba uchaguzi utarudiwa kwa style ipi? ya kutumia hizo hizo voter registers au itabidi mchakato uanze upya tena
- Vp kuhusu kupunguza zaidi ya kura 12,000 ya RAO na wakati huo huo kura zaidi ya 6,000 kuongezewa Uhuru? Na hii imedhihirika only in 22 sampled constituencies, that is to say if re-count was done in all constituencies it means that makubwa tungeyaona zaidi ya haya hapa
- Vp kuhusu missing form 34? they found at least 10 forms missing? zimeenda wapi? sasa returing officer wa kura za rais, Bwana Hassa ametengazaje matokeo bila form zote kuwepo?
- Vipi kura za Laikipia West kama sikosei zimeenda wapi? coz hata baada ya order ya mahakama ya 'kileleni' kuamuru kuhesabiwa upya kwa kura ina bado hawajaweza kuleta hizo kura
Then, see the comment of one person below, and see if it make any sense. To me I think this comment make sense in regard to what is going on in Kenya on Odinga petition at the SC.
`The moment the Supreme Court judges ordered for a recount, I immediately came to the conclusion that their final decision will be based on the findings of the scrutiny. The question that they are already asking themselves is: are the discrepancies in the recount large enough to disqualify the election? Of course, what they are doing now is to find the constitutional basis to support the answer to the above mentioned question. Their answer will not come as a surprise to anyone who cares to be objective and non-partisan`.