Nyahende Thomas
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 211
- 104
These OCAMPO guys are Mafioso. Waliizidi ujanja IEBC navyoona
Wasiwasi wangu ni kama majaji wataweza kutoa hukumu ya haki.
Tayari Uhuru Kenyatta amekwishaanza kuwapiga mkwara majaji hao sita pamoja na kujaribu kuomba radhi lakini alichokisema alikimaanisha.
Hatahivyo kesi hii ni jaribio/mtihani mkubwa sana na mgumu sana kwao kwani uamuzi wa hii kesi unaipa mahakama nafasi ya kwanza ya kujijengea kuaminiwa na wakenya ama kujiondolea uaminifu miongoni mwa wakenya.
