Jidulamabambase
Member
- Nov 28, 2010
- 31
- 5
Tayari majaji 6 wako tayari kusomahukumu kwa kifupi, kuna mengi ya kujifunza, Supreme coart inaonekana kuwa iko makini! Bado dakika 7!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaa nicheeke kwanza! Nakuru Hebu sasa fanya fasta utundike detailed judgementNina imani kubwa na supreme court ya kenya na kutokana na kasoro na wizi kwenye uchaguzi ushindi wa uhuru utaondolewa na mahakama