Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Nani amewapa majaji hiyo statement ya kusoma?
 

Some of us love ideals more than personalities.

Wale watu zaidi ya 1,000 waliopoteza maisha yao nawasikitikia sana maana mwishowe haki wanaweza wasitendewe kwa jinsi ambavyo kesi dhidi ya hao watuhumiwa inavyosambaratika.

Na sina hakika hata kama kuna mtu mmoja jela ambaye alihusika na hizo ghasia. Kama yupo basi itakuwa ni moja ya wale vidagaa lakini mapapa na nyangumi bado wanafurahia uhuru wao uraiani.
 

ungwana ni vitendo.mkuu huyo wakili wa marekani hiyo rufaa ataikatia wapi na itasikilizwa wapi?supreme court ndo mwisho.majaji wametumia common sense ila kulikuwa na mapungufu mengi
 
... kheri kwa Rais Kikwete (Abdulrahman Kinana), Kibaki, Omar Al-Bashir (Najib Balala), Moi, Ruto na Uhuru!!!!!!!!!!!
 
Uamuzi wa Supreme Court ndio wa mwisho. Hakuna rufaa.
Oginga sasa alie tu.

Macinkus
 

odinga urais aliuuza kwa kibaki na kuwatoa kafala walokuwa nyuma yake,acha aishie hapo hapo,jeramogi naye mpaka amezikwa analilia urais..!
 
Ukabila ni dhambi. Anayesema Uhuru atajaribu kukabiliana nao, hakika anajidanganya. Nani asiyejua kwamba Raila is far better than Uhuru lakini piga uwa wakikuyu kamwe wasingeweza kumpa kura Raila. Itachukua vizazi na vizazi kuondoa hali hii through affirmative actions from the top leader.
 
Hatimaye Mahakama kuu ya Kenya imeridhia ushindi wa Kenyatta kuwa ni wa halali na kutupilia mbali madai manne ya Odinga kupinga uchaguzi huo, hata hivyo Mh, Odinga amekubali hukumu ya mahakama na amempongeza mshindani wake Uhuru na amemtambua rasmi kama rais wa kenya..Hili ni funzo kwa wanasiasa wetu hapa nchini kuwa tayari kukubali kushindwa na kutambua mshindi.SOURCE: CHANNEL TEN
 
CDM,inabidi wajifunze kwa huyu raila,kwani ingawa roho inauma inabidi akubali tu.
Ili mwaka 2015,pasiwepo usumbufu

ungeongelea vyama vya siasa ungeeleweka vizuri lakini umejiaminisha chama cha siasa kilichobaki ni chadema ukisahau kuwa hata chama kilicho madarakani nacho hakina kinga katika hilo.
 
Ni kweli kabisa Kenya ni kinara wa demokrasia Afrika Mashariki na kwa kweli nafikiri ktk nchi zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara.Ndio maana binafsi napenda na kufuatilia sana siasa za Kenya.

Uko kama Mimi ndugu napenda sana siasa za kenya
 
Mkuu habari hii ni sahihi ila imekuja kwa muda usio muafaka na siyo jukwaa lake.
 
nipatie mifano kadhaa kuonyesha raila ni bora zaidi ya uhuru,na huo utafiti wako umefanya lini mkuu wangu?
 
Mkuu nikusahihishe kidogo, Willy Mutunga ni Jaji Mkuu wa Kenya.
 
CDM,inabidi wajifunze kwa huyu raila,kwani ingawa roho inauma inabidi akubali tu.
Ili mwaka 2015,pasiwepo usumbufu
mkuu utarejea CUF 2015 ama 2017 Jk akimaliza kipindi cha uongozi wa chama?
 

Una la kuongea na mahekaya ya abunuwasi ulokuwa unayamimina humu jukwaani....acha ushabiki kwenye mambo usiyoyajua dr wa vitumbua
 
ulitaka aiweke au kupost wapi?wasomi wetu jamani kazi kweli.
 
I don't think he has conceded defeat. He has accepted the decision of the court as he promised he will do.

That is quiet different from conceding. And I agree with him.

I don't think he lost fairly and I don't think Uhuru won fairly either.

You are right. He has chosen to respect The Supreme Court's Verdict
 
Mkuu habari hii ni sahihi ila imekuja kwa muda usio muafaka na siyo jukwaa lake.
umeeleza ukweli kabisa.machadema hayataipenda hii habari. subiria mapro-chadema watakavyorapu hapa. mara ikapanda mara ikashuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…