Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,288
humu ndani wengi wenu mko pro govt na haswa kipindi hiki cha Kikwete sijui amewaahidi nini? uchumi unadidimia classes zinakuwa wakati marginalization is becoming order of the day! wizi unapaa na madeni yanazidi ila hamuoni hayo zaidi ya kutaka kulinda maslahi yenu! Unaulizia uhalali wa petition ya RAO na kuilinganisha na kulinda tumbo lake wakati tunao wengi wenu kwenye serikali ya CCM haswa makatibu wakuu na hamna chochote kinachofanyika zaidi ya wizi na bado mnaikumbatia serikali dhalimu hii tuliyonayo! Ipi mliyoenda nyie kukosa uwezo wa kupambanua pumba na mchele? Ndo maana mko nyuma kimaendeleo pamoja na elimu yenu ya kukariri shuleni, na
kushindwa kufikiri! Unaweza kuiita hiyo shule? ajua mnamchukia RAO kwa vile ata-set precedence for the rest of the EA countries on how to make a right choice!
- :bounce:
Mkuu mbona unatoka povu hivyo? mwenzio ana discuss issue at hand wee umekazania ukabila, what a pity!!!
