MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Huko tatizo usalama. Hata mjenge barabara nzuri vipi. Nakumbuka last time i was there you had to pay for police escort. Polisi anakuambia 'kijana kanyanga mafuta twende hapa si sehemu muzuri' hahahaa huku anaangaza macho side to side
Ushauri wako nini, tusijenge barabara kisa kuna matatizo ya kiusalama. Hivyo tulale au vipi.
Fahamu ukosefu wa usalama huchochewa sana na upungufu wa miundo mbinu.