Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
- Thread starter
- #21
Sijakataa kuongelea sababu, na ndio kiini cha hoja hii. Na kwenye masuala kama haya sababu lazima zitakuwa ni nyingi, katu haiwezi kuwa moja.Hayo yote niliyoyaongelea yako interrelated, kuongelea exports from kenya to tz pekee bila kuongelea sababu na kwanini kulingana na evidence itakua ni upuzi...
Kwa mfano, wewe kulingana na wewe umeamua kwamba kupungua kwa exports to tz ni kutokana na ban tuliyopigwa kwasababu ya ujeuri...hio inaeza ikawa ni ukweli au si ukweli, sababu nyengine inaeza kua hizo nilizo ongelea hapo awali, sababu nyengine inaeza kua Tz imeanza kujenga viwanda vinavyotengeneza products ambazo kenya ilikua ikiwaletea... The only way kujua hivyo ni kuangalia exports za Tz to Kenya kama imepanda au kushuka na ni bidhaa gani zimeongezeka au pungua, tukienda kihivyo ndo tutajua kweli kama sababu kuu ilikua ghani haswaa
Nilichosema kuwa siwezi kufanya ni kuleta data za tz, wewe unaweza kuzileta lakini mimi uzi wangu haulengi huko.