Kenya 'faster than America for mobile internet'

tujipeni hongera kwa kupiga hatua za kweli, ni jambo la kutia moyo. ila seala nyeti ni wazee wa makinikia wametinga namba ngapi hapo kwenye list, maana najua na kauli zao za jaza ujazwe lazma hali sio nzuri..shikamooni waswahili mpo?[emoji3] [emoji3] [emoji109] [emoji90] [emoji191]
 
povu gani? unaweza kumzidi ubora mtengenezaji?
Tuliza. Hiyo sio repoti kutoka Kenya imesema hivyo.
Kama hiyo ripoti sio sahihi, basi waeleze walioiandika.

Ni kwanini mataifa mengine yasiweze kuwapiku wamerika kwa vitu walivyobuni hawa wenyewe?
 
Weka link maana ata gazeti la theeastafrican halijawai andika hiyo habari maana wenyewe ndo uandika kila la Kenya popote pale na kila siku lazima nilisome
 
Spidi ya internet bila kuleta mapinduzi au mabadiliko katika maisha ya Mkenya ni upuuzi kujigamba.

Nchi zilizoendelea wamefaidika na internet zaidi ktk sekta mbalimbali kuliko nchi zisizoendelea ambazo sana sana wanatumia katika ''twitter wars'' ku-google vitu visivyosaidia ktk kujinasua toka hali ya kuwa nchi yenye raia wengi masikini wa kutupwa, huduma za afya duni na elimu isiyokuwa na impact katika nchi husika.
 
Iyo sentensi aina tofauti na World Bank [emoji542] wanasema uchumi wa Tanzania utakuwa na wakati mvua sehemu nyingi hazijanyesa vizuri na madini yanaibiwa sana
 
Guys hivi AK47 was invented in Arab countries!?..πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
os i see/believe they use it wisely compared to any place else!πŸ˜€.
 
Vitu vingi uongo,Alaf albino issue unavyoipenda as if it's we msafi sana,pang'ang'a tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…