Kenya: Four schools on fire now, Langata Boys High school in Nairobi...

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
#BreakingNews Four schools on fire now, Langata Boys High school in Nairobi, Ndanai Girls Secondary school, Kijabe High school and Ruiga Girls High School in Kiambu county.

Who will tame this arsonist in our schools?
FB_IMG_1469385789536.jpg
 
shambulio la kigaidi or something else? leta updates
 
Matian'gi angeruhusu wizi wa mtihani uendelee tu, hawa wapuzi uwoga umewazidi na kuwa wajinga. Waziri amebuni mbinu za kuziba wizi wa mitihani hadi wamepanic washenzi. Halafu kuna cartels ambazo zilinufaika na huo wizi, pia watakua wanachangia pakubwa.
 
Kumbe ufaulu wenu ni wa mashaka kiasi hiki???

Jirani Zibeni mianya kadri muwezavyo.
 
Nampongeza Matiang'i as a matter of fact all culprits should be arrested n charged before Alshaababs join the frey!
 
Unampongeza Matiang'i kama nani?Matiang'i si ni waziri wa elimu KENYA?Siunawachukia wakenya.Jishughlishe na waziri wa elimu wa tz,umbea wa kizaramo pereka huuko!
 
Kumbe ufaulu wenu ni wa mashaka kiasi hiki???

Jirani Zibeni mianya kadri muwezavyo.

Ufaulu wetu na nani, tumia akili unapojadili hoja, hili tatizo la wizi wa mitihani lipo kwingi, Bongo ndio hata usipime. Juzi polisi wamepata taarifa kwamba wengi mnatamba na vyeti feki, mkifuatwa utashangaa linagusa hadi kwenye nyanja za juu serikalini. Wakati mtaanza kufuatwa, yaani Bongo patachimbika maana mtaumbuliwa karibu nchi yote. Bora Kenya wanachoma mashule tu.

Waziri wetu wa elimu amebuni mikakati ya kuzuia wizi wa mitihani halafu cartels waliokua wananufaika wameamua kuharibu. Hapa itabidi alegeze au akomae hadi kieleweke, wachome shule lakini mtihani wataufanya tu, tena waziri aagize ulinzi wa hali ya juu kwenye papers.
 
Wameamua kuharibu miundo mbinu ya elimu magaidi hovyoooo
 
Ulichokosea ni kudhani nimejadili bila kutumia akili, mengine umeeleweka.
 
Samahani naomba nieleweshe vizuri, ni mbinu gani hiyo ya kuzuia wizi wa mitihani ambayo wanafunzi hawaipendi ? Je hao wanafunzi malalamiko yao au mahitaji yao ni nini hadi wafikie kuchoma shule ?
 
wamefutilia mbali mid term ya 3rd terms nchi yote pia wametoa visiting days zote tatu,pia wametoa academic days pia wamechuja prayer day ya class 8 and form 4.......so August holiday ikiisha the next time you see your parents or relatives itakuwa December 1st ......it's essentially a prison with no visitation!!!!..... kama ni second term na kumethoka hivi third term kutakuwaje?
 
Asante , ulikuwa ni uamuzi wa Bunge au ni waziri mmoja tu kaamua hiyo kitu ?
 
Kuna kundi la watu walikua wanapiga hela sana kwenye kuwapa wanafunzi maswali ya kutarajiwa kwenye mtihani.
Sasa hapa kila mtu amepanic, wanafunzi wale wazembe na hao walimu na wafanyi kazi wa idara husika waliokua wananufaika.

Hatua za waziri zinaungwa mkono na kila Mkenya, yaani piga ua, lazima heshima irudi kwenye mfumo wetu wa elimu. Ukipita na kupata cheti, inakua ni kwa jitihada zako na sio kwa kununua mitihani. Kuna baadhi yetu tulihangaika sana kusoma kwa bidii wakati wenzetu walipata fursa bora vyuoni kiulaini tu.
 
Back
Top Bottom