KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Haina maana kama kuna slum's njaa hakuna ardhi maisha magumu....Ata mgeshika nafasi ya kwanza kwa mabilionea kwa hayo matatizo mliyo nayo haileti maana
Ni Sawa kujikubali lakini economic gap kati ya matajiri na masikini unaionaje? 70%ya ardhi imehodhiwa na familia nne, na ardhi ndio msingi wa uzalishaji, its clear to say Mafisadi na wazungu wa ukoloni 300 are dominant na mabilionea, kujilinganisha SA ni Sawa sababu politicians ndo wanaochochea kufukuza majirani na wafrica wenzao ilihali mchawi mnamjua vema
Haina maana kama kuna slum's njaa hakuna ardhi maisha magumu....Ata mgeshika nafasi ya kwanza kwa mabilionea kwa hayo matatizo mliyo nayo haileti maana
Ushawahi kutana na hii kitu Tz [emoji23][emoji23][emoji23]Majority of the developed world live in Urban areas.
They only land they own is the small piece their houses are on.
The large majority of the productive land is owned by large corporations or rich familes, for plantations.
Kenya and other MDCs are moving that way.
Tanzania and other LDCs are stuckin the old way.
Matatizo yote yaliyo Kenya, Tanzania yako mara tatu.
Hii mpaka wapishi data za CCM wanafahamu.
Data mpike nyie alafu mseme Tz wanapika[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi kutana na hii kitu Tz [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya has a vibrant media. Tanzania ni kama Ethiopia na North Korea tu.
Hata habari za mauaji ya albino tunazisoma CNN na BBC.
Ile njaa na umaskini uko huko bongolala, Kenya labda tuitwe first world country.
We don't bother following Tanzanian news.
Anayekufuata ni yule anataka kuwa kama wewe.
Na wewe ni bilionea wa ngapi hpo KenyaFor the nonsensical tanzanians, do you realise if we categorized millionaires and other sectors too we would quadruple your numbers respectively
Sasa mnatafuta nini humu na hizo uzi about Tz mnazofungua daily humu ni za kazi gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ingia kwenye hii tweet kasome comment za wakenya wenye akili sio poyoyo kama nyie mnaoneza chuki hapa JF
Tanzania hakuna njaa kwa sababu haina wazembe wajinga kama nyie ambao ardhi inamililikiwa na wachache,
Kama hujui masikini wa Tanzania ana chakula cha kutosha na anaishi vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahidi ni yule journalist wenu,
Hayo mauaji ni past tense wakati hapo kwenu ukabila na njaa ni current news,
Ushawahi ona karne hii Tanzania ikipewa misaada ya chakula.
Lol.
This is the Kenyan section.
Wanaoleta thread za TZ hapa ni nyinyi tu bongolala.
Bad news sells faster, especially where there is a vibrant media.
Most of the time, the bad news affects 0.00001% of the population.
If Tanzania had a vibrant media, you would be getting relief food from even Rwanda and Burundi.