Kenya fourth in Africa as billionaires hit 356

Kenya fourth in Africa as billionaires hit 356

[emoji23][emoji23][emoji23] endelea kujipa matumaini hapo gorokocho slum,
Masikini wa Tanzania ana chakula cha kutosha na ana maisha mazuri kuliko mkenya wa kawaida,
Failed state ninyi,


Dar is slum.
The biggest slum in the world.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Naona umehamisha magoli,
Nairobi ni makao makuu ya slum duniani,
Kenya kila county ina slums za kutosha,
Nairobi pekee zipo zaidi ya 10,

Dar is slum.
The biggest slum in the world.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeua mzee...wao wanataka kila mtu awe mkulima...
Watu wanpigania kujijenga kiuchumi na kuishi maisha simple na freshy tu
Majority of the developed world live in Urban areas.
They only land they own is the small piece their houses are on.

The large majority of the productive land is owned by large corporations or rich familes, for plantations.

Kenya and other MDCs are moving that way.
Tanzania and other LDCs are stuckin the old way.
 
Unamaanisha wahindi na waarabu..
Tanzania hakuna njaa kwa sababu haina wazembe wajinga kama nyie ambao ardhi inamililikiwa na wachache,
Kama hujui masikini wa Tanzania ana chakula cha kutosha na anaishi vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahidi ni yule journalist wenu,
Hayo mauaji ni past tense wakati hapo kwenu ukabila na njaa ni current news,
Ushawahi ona karne hii Tanzania ikipewa misaada ya chakula.
 
Hta wamarekani pia huiponda nchi yao...
Sasa mnatafuta nini humu na hizo uzi about Tz mnazofungua daily humu ni za kazi gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ingia kwenye hii tweet kasome comment za wakenya wenye akili sio poyoyo kama nyie mnaoneza chuki hapa JF


 
Kenyan news inakuhusu na nn...sasa mjinga ni nani km unajua hku kumetengewa wakenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu soma nyuzi za hili jukwaa uone nyuzi zinazoletwa na wakunyaji kuhusu Tz zilivyo nyingi,
Nyie hamna akili Kabisa maana mlifunguliwa hili jukwaa maalum kwa mambo ya kenya ila kwa sababu nyie ni wajinga mkaona muwe mnapost habari za Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
 
So who owns the other 44.2% ?
Ujinga ujinga tu. Hamuwezi kuacha ku lease maana hata GoK ina 48% ya umiliki wa KQ. Na ndio mna struggle ku nationalize saiv hilo shirika.

Halafu mmeshindwa kupata CEO hapo hadi muazime?

KQ ilikufa hapa, soma link

View attachment 1212008
 
So who owns the other 44.2% ?
Fuatilia mkuu, hapo si kwenu?

GoK iko na 48.9% to date. Hiyo chart hapo chini ni ya 2018
Screenshot_20190920-160149~2.jpeg
 
SA its on its own league, Nigeria better watch out, we aunt that far, yet again we have trippled our noisy neighbours in the south.Alafu Kq hapo next is not really doing justice, proves a bitter point thoView attachment 1211837

This number of billionaires should be seen and reflected on wellbeing of the people. It's useless to have a big number of them, while the number of people who dying for hunger is on rising.
 
Kenya has a vibrant media. Tanzania ni kama Ethiopia na North Korea tu.
Hata habari za mauaji ya albino tunazisoma CNN na BBC.

Ile njaa na umaskini uko huko bongolala, Kenya labda tuitwe first world country.
Hzo past stories achana nazo tuongee current issues.
 
Kwa the Kq lenders company, 2 of the insitutions are owned by Gok, alafu mnasemanga kenya ni wazungu, owned country, see a kenyan representing
Kuwa serious, KQ ni public-private company. KQ ako na hizo 49% the rest share ni private own. KQ lenders ni consortium of banks ambao wamewekeza huko.

Hizo banks ndio utajua ni za wakenya au uchumi umeshikwa na wakenya.
 
A Kenyan teacher, doctor, worker gets paid double or triple a Tanzanian.
Poor Kenyans would automatically become middle class in Tanzania.

Tanzania may be more inclusive, but you are all included in poverty. 99% of Tanzanian earn very little.

Kenya has very rich people, and then many poor people (who are middle class by TZ standards) - Unequal
In Tanzania everyone is poor - Inclusive.
Acha kelele nyingi
IMG-20190827-WA0006.jpg
 
Kati ya hizo banks, ngapi are government owned?
Kuwa serious, KQ ni public-private company. KQ ako na hizo 49% the rest share ni private own. KQ lenders ni consortium of banks ambao wamewekeza huko.

Hizo banks ndio utajua ni za wakenya au uchumi umeshikwa na wakenya.
 
Majority of the developed world live in Urban areas.
They only land they own is the small piece their houses are on.

The large majority of the productive land is owned by large corporations or rich familes, for plantations.

Kenya and other MDCs are moving that way.
Tanzania and other LDCs are stuckin the old way.
Huu ni bitting truth coz kuwa na ardhi kubwa ambayo haikusaidii kuondoa umaskini na ni less productive ni ujinga bora uwe na plot na bizness yenye inakufanya uishi good life
Huku Tzn watu wanadai wana ardhi lakini hakuna inachosaidia
 
Average food consumption ya Kenya iko juu kuliko Tanzania.
Na hii ni across all categories. Beef, poultry, cereals, fruits. etc.. Mpaka Turkana ikijumuishwa, Kenya iko juu kwa kg consumed per person per year.

80% of Tanzanians are malnourished.
Na hii hakuna wa kubisha maana kimo na thinking capacity vinaonesha na ambavyo takwimu tofauti na za gvt hazitoki ni dhahiri hali ni mbaya sana huko bongolala
 
Back
Top Bottom