kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
[emoji23][emoji23][emoji23] endelea kujipa matumaini hapo gorokocho slum,
Masikini wa Tanzania ana chakula cha kutosha na ana maisha mazuri kuliko mkenya wa kawaida,
Failed state ninyi,
Dar is slum.
The biggest slum in the world.
Majority of the developed world live in Urban areas.
They only land they own is the small piece their houses are on.
The large majority of the productive land is owned by large corporations or rich familes, for plantations.
Kenya and other MDCs are moving that way.
Tanzania and other LDCs are stuckin the old way.
Tanzania hakuna njaa kwa sababu haina wazembe wajinga kama nyie ambao ardhi inamililikiwa na wachache,
Kama hujui masikini wa Tanzania ana chakula cha kutosha na anaishi vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahidi ni yule journalist wenu,
Hayo mauaji ni past tense wakati hapo kwenu ukabila na njaa ni current news,
Ushawahi ona karne hii Tanzania ikipewa misaada ya chakula.
Sasa mnatafuta nini humu na hizo uzi about Tz mnazofungua daily humu ni za kazi gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ingia kwenye hii tweet kasome comment za wakenya wenye akili sio poyoyo kama nyie mnaoneza chuki hapa JF
Embu soma nyuzi za hili jukwaa uone nyuzi zinazoletwa na wakunyaji kuhusu Tz zilivyo nyingi,
Nyie hamna akili Kabisa maana mlifunguliwa hili jukwaa maalum kwa mambo ya kenya ila kwa sababu nyie ni wajinga mkaona muwe mnapost habari za Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga ujinga tu. Hamuwezi kuacha ku lease maana hata GoK ina 48% ya umiliki wa KQ. Na ndio mna struggle ku nationalize saiv hilo shirika.
Halafu mmeshindwa kupata CEO hapo hadi muazime?
KQ ilikufa hapa, soma link
View attachment 1212008Audit: How KQ bought two planes at Sh2b — only to sell them at a throw-away Sh210m : The Standard
Kenya Airways (KQ) bought two planes at Sh2 billion from KLM Dutch Airlines, its largest shareholder, and later sold them off at Sh210 million.www.standardmedia.co.ke
Fuatilia mkuu, hapo si kwenu?So who owns the other 44.2% ?
SA its on its own league, Nigeria better watch out, we aunt that far, yet again we have trippled our noisy neighbours in the south.Alafu Kq hapo next is not really doing justice, proves a bitter point thoView attachment 1211837
Fuatilia mkuu, hapo si kwenu?
GoK iko na 48.9% to date. Hiyo chart hapo chini ni ya 2018View attachment 1212187
Acha uzwazwa ww.Matatizo yote yaliyo Kenya, Tanzania yako mara tatu.
Hii mpaka wapishi data za CCM wanafahamu.
Hzo past stories achana nazo tuongee current issues.Kenya has a vibrant media. Tanzania ni kama Ethiopia na North Korea tu.
Hata habari za mauaji ya albino tunazisoma CNN na BBC.
Ile njaa na umaskini uko huko bongolala, Kenya labda tuitwe first world country.
Kuwa serious, KQ ni public-private company. KQ ako na hizo 49% the rest share ni private own. KQ lenders ni consortium of banks ambao wamewekeza huko.Kwa the Kq lenders company, 2 of the insitutions are owned by Gok, alafu mnasemanga kenya ni wazungu, owned country, see a kenyan representing
Acha kelele nyingiA Kenyan teacher, doctor, worker gets paid double or triple a Tanzanian.
Poor Kenyans would automatically become middle class in Tanzania.
Tanzania may be more inclusive, but you are all included in poverty. 99% of Tanzanian earn very little.
Kenya has very rich people, and then many poor people (who are middle class by TZ standards) - Unequal
In Tanzania everyone is poor - Inclusive.
Acha kelele nyingiView attachment 1212394
Kuwa serious, KQ ni public-private company. KQ ako na hizo 49% the rest share ni private own. KQ lenders ni consortium of banks ambao wamewekeza huko.
Hizo banks ndio utajua ni za wakenya au uchumi umeshikwa na wakenya.
Hahahaah daah aseee hii hatari chapati na K vant.Acha kelele nyingiView attachment 1212394
Huu ni bitting truth coz kuwa na ardhi kubwa ambayo haikusaidii kuondoa umaskini na ni less productive ni ujinga bora uwe na plot na bizness yenye inakufanya uishi good lifeMajority of the developed world live in Urban areas.
They only land they own is the small piece their houses are on.
The large majority of the productive land is owned by large corporations or rich familes, for plantations.
Kenya and other MDCs are moving that way.
Tanzania and other LDCs are stuckin the old way.
Na hii hakuna wa kubisha maana kimo na thinking capacity vinaonesha na ambavyo takwimu tofauti na za gvt hazitoki ni dhahiri hali ni mbaya sana huko bongolalaAverage food consumption ya Kenya iko juu kuliko Tanzania.
Na hii ni across all categories. Beef, poultry, cereals, fruits. etc.. Mpaka Turkana ikijumuishwa, Kenya iko juu kwa kg consumed per person per year.
80% of Tanzanians are malnourished.