Kenya fourth in Africa as billionaires hit 356

*It's a shame. China feeds it's 1.4B people and still finds some to feed a country of 45M unthinking humans who can't even find the ingenuity to feed themselves for their own survival
!!( KOT)*

Kenyans on Twitter are spitting fire , these Kenyan fools on JF are praising each and everything, perhaps they are beneficiaries of the plastic rice donated in Kenya !!.
 
Good life ya kupewa misaada ya chakula kisa uzembe wenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni bitting truth coz kuwa na ardhi kubwa ambayo haikusaidii kuondoa umaskini na ni less productive ni ujinga bora uwe na plot na bizness yenye inakufanya uishi good life
Huku Tzn watu wanadai wana ardhi lakini hakuna inachosaidia
 
Hahahaha achana na hizi fool za JF
 
Wakora wengi wapo kenya ndo maana wanapewa hadi misaada ya chakula na siku zote wakenya wameshazoea kusaidiwa kila kitu na ipo siku mtasaidiwa vitu ambavyo havifai kusaidiwa.

Yan mnayo ardhi lakini bado mnapewa misaada ya chakula mnatia aibu jirekebisheni.
 
Na ni faida zipi mnazozipata...

Wakati pesa za maendelea mnaenda kutembeza bakuli nchi za nje... kwa nini hao mabillioner wasiwekeze au wasiikopeshe serikali...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…