KENYA GENERAL ELECTION 2017:harakati,kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,301
Reaction score
739
Mods ikiwezekana fanya hii thread iwe stick thread.
Kenya ni majirani zetu kwa zaid ya miaka kumi na tano nimekuwa mfatiliaji wa uchaguzi mkuu wa Kenya.
Nna uhakika member wengi wa jf wangependa kupata updates zote za uchaguzi huu!!!!!! MK254 na wenzako hebu tujuzeni yote yanayojiri mle ndani.
 
Uzi bomba sana.
Hivi kufikia leo, Uhuru alikuwa ametawazwa na vyama vinne muhimu sana katika uchaguzi uchao
Kanu




Maendeleo Chapchap (MCC)






NARK Kenya




Frontier Alliance Party


Na Chama chake sasa Jubilee


Sijui ana bahati huyu jamaa ana ni mipango yeye hupiga three steps before Raila, ikienda hivi, Raila amo taaban
 
Jamani, mwacheni tu UHURU atawale Kenya,
I like this man so much.
 
My advise to Kenyans don't go to polls tomorrow. Just stay home and kula ugali na maharage basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…