Kenya General Service Unit(GSU) vs Tanzania Soldiers

sijui ka unaongea kuhusu size ya bendera ama parachute anyway, a bigger parachute like the one in the above picture will make it easier to land safely due to slower descent which caused by viscous drag, this allows the soldier to land very gently. The big parachutes however are not designed to take a load any greater than the weight of the parachutist himself.
Now compare that to the kdfs military-grade parachutes which can carry more weight and where the soldier has to rely on taught technique to absorb the impact of the landing.
 
Hizo bendera zenu huoni kwamba ukubwa wake unaongeza ukinzani wa upepo
 
Na hiyo ni science ya wapi kwamba parachute dogo linakuwezesha kubeba uzito mkubwa? Na parachute kubwa iwe vice versa
 
Paratroopers was Kenya

Instead of engaging in sideshows, I wish you would at least have put a video of TPDF paratroopers,btw apart from a few units which have basic training on paratrooping sidhani TPDF wana airborne battalion. Meanwhile kdf has two airborne battalions ( 20th Parachute Battalion na 30th Special Operations Battalion)
 
hahaha ...bendera hufuata upepo .Here is even a bigger flag
Wanachoweza ni kutua beach..kwenye open fields..na hata huyo ametua vibaya...kuna makosa amefanya..ukiwaambia watue uwanjani wanatua kwa migongo
 
Enyewe tanzanians can be petty fools, if you think sky diving is risky try static line jump, the latter you have no control of your shute, unagonga chini kama mawe, you cant even stand
 
Enyewe tanzanians can be petty fools, if you think sky diving is risky try static line jump, the latter you have no control of your shute, unagonga chini kama mawe, you cant even stand
No excuse plz
 
Paratrooper wa UAE huyo.... Mnajiona wenye akili sana??? Utopolo tu, na hamna lolote! 🀣 🀣 🀣 🀣 Bendera au kitambaa chochote chenye maandishi maalum hupeperushwa hivyo na wenye training za maana wanaojua wanafanya nini! Zinaitwa Jumbo Flags!
πŸ‡¦πŸ‡ͺ

πŸ‡°πŸ‡ͺ
 
Wanatuonyesha picha, watupe video kamili tuangalie show hata sisi! 🀣 🀣
 
Enyewe tanzanians can be petty fools, if you think sky diving is risky try static line jump, the latter you have no control of your shute, unagonga chini kama mawe, you cant even stand
Facts, mfano mzuri those static line jumps wanazofanya wanajeshi wa US wakitumia C-17 Globemaster, waweza cheka, most of them huanguka kwa makalio... πŸ˜‚ Alafu unasikia mtu anajimwambify hapa wakati hata sijaskia Battalion ya paratroopers kwao, na ka iko haizidi moja. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nyinyi kule somali mnasaidiwa na nani!!!!US na bado mnakamuliwa.
Tulivamia wenyewe kuanzia angani, land forces hadi baharini wenyewe bila msaada wowote, US wako Somali toka kitambo wakifanya yao ya drone strikes on specific targets! Tukawakombolea hadi 'bandari' lao, unasema nini wewe! Sahi tuko AU huko huko!
Mlisaidiwa nyinyi, hiyo ndio fact na haitafutika!!! 🀣 🀣 🀣
 
So na nyie mkaiga...mkaangukia pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…