KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

Wakuu,
Taarifa mpya niaje?
Raila tayari ameapishwa au bado I hope hapo Kenya sasa ni mchana sana!?
Around 12 to 13 hours!!

Mrejesho wajameni!

Au Kenyatta kesha sema "Raila kitu gani , ni mavi ya kuku"!??
KALA KONA HAJAONEKANA TANGU KUKUCHE NA RUTO NIMEONA RANGE YAKE IMETOKA NDUKI WANASEMA HAWAJUI ALIPOELEKEA YOU TUBE IPO LIVE STREAMING..............
 
Abs

Absolutely, and if Kenyatta believes that Odinga is breaking the laws(of which i believe he is), basi amburuze mahakamani. Hii kufungia vyombo ni muendelezo wa utamaduni wake wa kutokuheshimu katiba (rejea kauli zake za hovyo kuhusu majaji na tishio la kuibana zaidi mahakama). Asijikute anangia katiba mtego wa kisiasa wa kina Odinga wa kutamka atumie hatua za kibabe ambazo zitawacredit wao.
 
Wakuu,
Taarifa mpya niaje?
Raila tayari ameapishwa au bado I hope hapo Kenya sasa ni mchana sana!?
Around 12 to 13 hours!!

Mrejesho wajameni!

Au Kenyatta kesha sema "Raila kitu gani , ni mavi ya kuku"!??
Mpaka sasa kaingia mitini, naangalia Citizen Live youtube mtangazaji anasema hakuna Polisi sehemu yoyote na hakuna hata traffic polisi mmoja barabarani. Wamemwachia RAO waone kama atajiapisha na je atajiapisha kama nani?
 
Ajabu hii forums ya Wakenya lkn wamejaa Watanzania, na wanaumia kweli kweli kuliko hata Wakenya wenyewe, kweli ,,TZ iko obsessed na Kenya" kuliko kinyume chake, fikiria chadema wangejiapisha unafikiri kuna Mkenya angepoteza muda kufwatilia?

Sasa hivi TZ yote imesimama kufwatlia Kenya, Wakenya hawawezi kufanya huu ujinga kama ingekuwa ni TZ yetu chadema wamejiapisha!


,,TZ yetu iko obsssed na Kenya klk kinyume chake"!
 
Uko wapi? Kenya au TZ! Kenya siyo kama kwetu
Kufungia tu media tayari UK katumia mabavu, media haina makosa yoyote, kurusha habari ndo kazi yao

Kama hampeleki Raila mahakamani, kama waliweza kufuta uchaguzi basi hawashindwi kumshughulikia Raila, Basi atumie nguvu hiyo hiyo kumnyamazisha.
 
Kwani wewe kinakuuma nini
 
Hapa serikali ya Kenya inakosea kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Hizi vurugu za Odinga ni habari kubwa sana.
Sasa sijui huyu "baba demokrasia afrika" kawaje??
Je naye ataitwa dikteta??
 


Barbarosa,
Mkuu,
Hujui tu direct influx of refugees tutakao pokea hapo mikoa ya lake zone ni kiasi gani na.matatizo yake kwa nchi yetu.

Do you think that, Kenyans will seek refugee asylums in South Sudan, Sudan , Somalia, Uganda, Rwanda or Ethiopia!?

All of them they will bring their politics and chaos in Tanzania.

Tutapata "side effects" kubwa na nyingi sana hao wakenya wakitumbuana.
 


Hata Besigye wa Uganda alijiapisha pia, mbona hamkufwatili aUganda kama mnavyofwatlia Kenya, hata Burundi, na sasa Kongo ni hivyo hivyo wote hawa wanaleta Wakimbizi lkn hamfwatilii na kuleta breaking news hapa kama vile mnavyofwatilia Kenya, hivyo hiyo siyo sababu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…