KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

Anataka serikali ya Mseto awe Waziri Mkuu kama ilivyokuwa awali...Kipindi cha Mwai Kibaki
This move might turn sour and endanger all his political ambitions. After all he is very old by African standards
 
Ngoja tuone akishaapishwa anaenda wapi maana hata mgambo hakuna.
 
Saa hii anajiapisha ila naona ni kihunihuni hivi maana kafika tu na kunyanyua kitabu na kuanza kuapa.
 
This move might turn sour and endanger all his political ambitions. After all he is very old by African standards
Ana umati mkubwa wa watu unamuunga mkono...Leo hata Polisi wameshindwa kuwazuia Watu na RAO kutekeleza ‘kiapo’ chao...

Kitendo cha kumkamata RAO au kumchukulia hatua yoyote kitaiingiza Kenya kwenye machafuko makubwa sana..Wafuasi wake naona kama wamechanganyikiwa hivi..

Kosa kubwa sana limefanyika kumruhusu atekeleze hicho ‘kiapo’ chake maana uchaguzi anaodai alishinda ulifutwa kisheria na Mahakama..Hivyo hata hayo matokeo anayojitamba nayo hayatambuliki kisheria...
 
Reactions: Lee
uraisi na kashaapishwa kuwa raisi wa watu 😀😀😀😀😀😳 so kenya ina raisi wa nchi na wa watu wa kenya kikikiki
Hajaapishwa, kafika pale uwanjani na note book akainyajua mwenyewe akajiapisha akaenda nyumbani kwake. Rais gani anacheza ma watoto nyumbani kwake hakuna hata mgambo wa kumlinda?
 
Mkuu hivi bado una [emoji342] ya JVC na inapiga kazi!?
Inapiga mzigo mkuu afu inakimbiza dstv premium, hapo sasa tv ya milioni 5, afu unatumia STARTIME na mimi JVC but ina dstv premium..!
 
Reactions: Lee
Inapiga mzigo mkuu afu inakimbiza dstv premium, hapo sasa tv ya 15, afu huna dstv na mimi jvc but ina dstv premium..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
=================================================================
 
Waliotoa povu vyombo kupigwa fine kwa kurusha habari za Bisimba&Co ndiyo hao hao wanaokenua vyombo kuzimwa Kenya.

Wabongo kwa unafiki!!
 
Funga bakuli lako kwa muda kwanza!
Jikite kwenye hoja kwanza
 
Wapinzani wa Tanzania kama SIGARA KALI, hawaeleweki , wanaichukia nyama ya nguruwe alafu mchuzi wake wanaunywa, full unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…