joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ushindwe kabisa! SAITAN!Nitafurahi sana, Kenya inatakiwa iingie kwy machafuko hakuna jinsi, sio kuogopa ogopa
Wameambiwa watafute njia mbadala, za kutafuta hela. Hamna namna waanze tu kufuga kuku wa broiler kwenye studio zao. Ufugaji wa kuku una faida sana. 🙂Leo siku ya pili bado ntv, ktn na citizen bado vimefungiwa na waziri wa habari ameunda kamati kwa uchunguzi zaidi, kwa nini walikataa kutii agizo la serikali la kutokulirusha tukio hilo live (source BBC swahili)
Mimi piaHii comnt imenichekesha vibaya
unaongea na vibaraka wa serikali ungetaka utarifiwe nini! Hamna anayeshikilia mamlaka africa anatamani mageuzi na katiba nzuri. Hapa kenya katiba nzuri lakini ni kikwazo kwa udikteta. wanaikiuka katiba kila uchao sababu wanaiona kama kizingiti kwao!!!