joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Leo siku ya pili bado ntv, ktn na citizen bado vimefungiwa na waziri wa habari ameunda kamati kwa uchunguzi zaidi, kwa nini walikataa kutii agizo la serikali la kutokulirusha tukio hilo live (source BBC swahili)