KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

January 30, 2018
Nairobi, Kenya

Raila Odinga speech after swearing-in at Nairobi's Uhuru Park
After days of anxiety and a postponement in December 12, 2017, Raila Odinga has taken ‘oath’ as the President of the Republic of Kenya.

Holding a green Bible to his right arm and sandwiched by his former aide Miguna Miguna and Siaya Senator James Orengo, Raila recited his ‘oath of office’ before thousands of his supporters at Uhuru Park, Nairobi.

“I Raila Amolo Odinga in full realisation of the high calling to assume the office of the people’s president of the Republic of Kenya, do swear that I will be faithful and bear true allegiance to the people and the Republic of Kenya; that I will preserve, protect and defend the Constitution of Kenya, as by law established, and all other laws of the Republic as adopted by the people of Kenya; that I will protect and uphold sovereignty, integrity and dignity of the people of Kenya. So help me God.” he carefully said.

The 90-word long oath was administered by Ruaraka Member of Parliament TJ Kajwang and former Raila aide Miguna Miguna.

Hon. T.J Kajwang (Ruaraka MP) had the honour to administer the oath
 
Nakumbuka kauli ya lisu "kosa kubwa tz ni uchochezi" naona na huko yamewabadilikia vyombo vyao vya habari vimekuwa vichochezi! ha ha ha.. kila mtu apambane na hali yake bhana tusileteane dharau wkt wote ni mashit-ho-l..! watz waliopo kenya warudi nyumbani haraka bado tunawapenda.
 
kama ulivyoona habari mkuu, yani Raila na yeye anajiapisha kuwa raisi wa Kenya, sasa vyombo vya habari vimezuia kurusha live, hivyo basi NTV na Citizen wakajitia kiherehere na hivyo wameshut down hayo matangazo kuwa hayataonyeshwa wala kutangazwa, sasa hapa wajiandae kuchinjana manake hawa wafuasi wa raila lazima wauwashe
kwa hiyo mkuu kurusha matukio live kama haya ni kiherehere
 
Kweli Tundu Lisu noma, kila anachogusa kinapata matatizo, hawa si ndo walirusha habari za Tundu Lisu kuitukana nchi yetu? Sasa Payback time!

Halafu tukisema Demokrasia ina mipaka tunachekwa na kukebehiwa, watu wanamuita Raisi wetu ,,Dikteta” haya sasa Mwanademokrasia wenu Namba Moja Afrika, Uhuru Kenya kafungia Vituo vya TV!

Nilikuwa Jomo Kenyatta International airport on my transit to another country. Wakati nikiwa pale, nilipata kuwa na mazungumzo na Mdada wa Kikenya. Aliniambia kuwa TZ muwe makini na mabadiliko ya katiba. Sisi Kenya tunajuta kufanya mabadiliko yenye kuleta uhuru mkubwa sana kwa raia. Rais wetu hana madaraka makubwa sana kama ilivyokuwa zamani hivyo hana uwezo wa kuingilia au kuzuia baadhi ya mambo hata kama kwa interest ya Taifa kwakuwa nguvu hizo hana. Hii kitu inatukosti sana kiasi kwamba watu waweza kufanya chochote kile na wakaangaliwa tu. Alienda kuwa uhuru usio na mipaka kama walionao wao una gharama zake.
Nakumbuka pia niipokuwa nyumbani TZ kuna mtu aliniambia yeye kama yeye hataki mabadiliko ya katiba, anataka katiba hii ya sasa. Nilipomuuliza kwanini, akaniambia katiba iliyopo inampa madaraka makubwa Magufuli kufanya mabadiliko yanahitajika sasa hivi hata kama watu hawayapendi. Yeye anaamini kuwa nguvu alizonazo Magufuli katika kushughulikia uozo uliopo unatokana na katiba iliyopo, hivyo ikibadilishwa na kuwa vinginevyo lengo la Magufuli kufumua mfumo uzo unaweza usifanikiwe, huyo ni yeye. Nini maono yako juu ya comments za dada wa Kenya na huyu Mtanzania mwenzetu
 
Huu si ndo uhaini au ni kitu gani kinaendelea ila acha nae ajiite rais walau kwa masaa kadhaa ingekuwa bongo Odinga angekuwa ameshakamatwa kitambo kwa jaribio la kihaini
 
unaongea na vibaraka wa serikali ungetaka utarifiwe nini! Hamna anayeshikilia mamlaka africa anatamani mageuzi na katiba nzuri. Hapa kenya katiba nzuri lakini ni kikwazo kwa udikteta. wanaikiuka katiba kila uchao sababu wanaiona kama kizingiti kwao!!!
 
51dbda876732d75a97bdbd7d7004cb69.jpg

hii search result yako mkuu mbona imeshiba hivi njia ya kusimamisha niniiiii
 
hawa jamaa wakae wasikilizane, watauana bure kisa madaraka, wanataka kenya tena ianze machafuko, na kwetu wakija tutawafukuza, sasa wataenda wapi
Mkuu, na kinyume cha makubaliano ya kimataifa ya haki za binadamu kumfukuza au kumdhuru mtu anayekimbia kujiokoa kwenye machafuko, hata kama ni adui yako. Wahanga wa machafuko wanastahili kulindwa na kupewa hifadhi stahiki ili kulinda utu wao.
 
Huu si ndo uhaini au ni kitu gani kinaendelea ila acha nae ajiite rais walau kwa masaa kadhaa ingekuwa bongo Odinga angekuwa ameshakamatwa kitambo kwa jaribio la kihaini
Usitake kututoa nje ya reli, tunazungumzia kufungia vituo vya habari, hiyo ndiyo demokrasia gani?, eti na nyinyi mnajiita nchi yenye uhuru wa vyombo vya habari, Not yet Uhuru Kenya.
 
Ni ujinga sana nchi inapozidi demokrasia...yani huyu uhuru anaangalia mpaka raila ajiapisha na mpaka sasa amemuacha. sasa ameliingiza taifa kwenye matatizo makubwa zaidi.waafrika hatuiwezi demokrasia....
 
The Citizen TV and NTV shoutdown following to broadcast live the inauguration events of NASA candidate mr. Raila Odinga today.

Yestarday the authorities in kenya warned the Media in Kenya not to broadcast the event live. This saga has taken anorher trench after the reconciliation betwen the rivals sides, NASA and JUBILEE failed to bring political hope in Kenya.

View attachment 687429

MORE:

The Communications Authority of Kenya has switched off Citizen Television and Radio in most parts of the country over the coverage of the NASA ‘swearing-in’ plan.

This comes just a day after it emerged that the government had allegedly threatened to switch off and revoke licenses of the media houses that will cover the controversial swearing in ceremony.

In a statement by the chairman of the Kenya Editors Guild, Linus Kaikai, on Monday, January 29, the editors took issue with the summoning of media managers from the main media houses to State House, Nairobi last week where alleged threats of shutting down media houses if they cover the NASA event were issued.

“We have just learnt today that on Friday last week, a section of media managers and select editors from the main media houses were quietly summoned to a meeting at the State House, Nairobi,” said Mr. Kaikai.

“The brief meeting attended by President Uhuru Kenyatta, Deputy President William Ruto, Interior Cabinet Secretary Fred Matiang’i, ICT Secretary Joe Mucheru and AG Githu Muigai did not bode well for the freedom of expression and press in the country,” read the statement in part.

“At the meeting, President Kenyatta expressly threatened to shut down and revoke the licences of any media house that would broadcast live the planned purported swearing in of NASA leaders Raila Odinga and Kalonzo Musyoka on Tuesday. That direct threat has subsequently been echoed, off record by other senior members of government.”
==================

UPDATES:
Light goes off at NTV studios
View attachment 687539
Awa jamaa generator ,sola wala taa za kucharge hawana...
 
Thubutu yako, umuue Raila kutawaka moto Kenya! Alshababu wataungana na wajaruo ni hatari mno.
Nitafurahi sana, Kenya inatakiwa iingie kwy machafuko hakuna jinsi, sio kuogopa ogopa
 
Back
Top Bottom