Kenya: Graphics photos from the latest demonstration over IEBC

Najaribu kuwaza nini kingetokea Kenya iwapo Isaak angefuta uchaguzi kama alivofanya Jecha Zanzibar............
 
Mambo magumu na hatari kuelekea 2017
Hii ni ijumaa tatu ya Leo tar 06


Mwanafunzi kajikuta ktk wakati mgumu

Kina mama hawako nyuma
Kweli Kenya nchi ya Laana
Mbona mnachanganya picha na hata story ili kuchanganya watu......

Hayo mambo ya bodaboda na dumping of bodies haihusiani na mabo ya IEBC, alafu maandamano umechanganya pia, picha zengine hata si za leo, huyo mwanafunzi alipigiwa picha out of context, alukua anapita mbio hapo kando ya tairi lilokua la chomeka baada ya mambo kutulia, hata baadae polisi walionekana wakipeana maji yao kwa wanafunzi waliokua wametoka shule kwani bado moshi wa teargas ulikuweko kwa hewa, lakini picha kama hizo hauezi ziona kwa media...... violence ya kiaina inafanyika katika haya maandamano, kutoka kwa wananchi ambao badala ya kuandamana wanaleta gasia na kutupa mawe na kuvurugha mali za watu na pia kutoka kwa polisi wanaochukua hatua mikononi mwa kinyume cha sheria.... lakini muache kuchanganya watu na picha za kitambo.

Baada ya hiyo picha ya huyo mwanafunzi akipita mbio hapo karibu na hilo tairi huko kibera,



Hizi ni picha za wiki moja au mbili zilizo pita
 
Najaribu kuwaza nini kingetokea Kenya iwapo Isaak angefuta uchaguzi kama alivofanya Jecha Zanzibar............
Kama ingekua kenya maandamano yangeanzia pale serikali na sheria ilikataa upinzani kwenda mahakamani, ilhali uchaguzi ni wa kidemocrasia ambampo mpinzani ana haki ya kupinga majibu ya kura ...hata haingehaingefika mambo ya Zanzibar.

Vurugu la 2007 lilianza pale Raila alipokataa majibu na kudai kura ziliibiwa na akakataa kwenda kotini maanake wakati huo koti zilikua haziaminiki kutoa mwingozo mbao unakinga serikali... hivyo ikawa yeye hana suluhisho ila kufanya maandamano, yalipoanza mambo ika get out of control na ikawa ghasia......... ndo maana baadaye wakenya wakapitisha katiba mpya ambayo ilikua inapatia mahakama 'independence" ya kufanya maamuzi, ndo maana hata unaona juzi mahakama imekataa kuzuluia maandamano ya CORD kwani ni haki yao kuandamana kwa amani...hadi pale serikali itatoa evidence kwamba CORD yenyewe ndo inaleta vurughu..... kwasasa serikali iko "on its own", watakacho fanya kuzulia maandamano ni hao ndo watajibu sikumoja..... kwasasa, there is no winning side..... this is kenya, everyone has his own passionate views about politicts..... and things can get messy sometimes...everyone wants their rights
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…