swalehe shiza
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,616
- 2,386
Poleni Sana wakenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahau in Tz
Mbona mnachanganya picha na hata story ili kuchanganya watu......Mambo magumu na hatari kuelekea 2017
Hii ni ijumaa tatu ya Leo tar 06
![]()
![]()
Mwanafunzi kajikuta ktk wakati mgumu
![]()
Kina mama hawako nyuma
Kweli Kenya nchi ya Laana
![]()
![]()
![]()
Kama ingekua kenya maandamano yangeanzia pale serikali na sheria ilikataa upinzani kwenda mahakamani, ilhali uchaguzi ni wa kidemocrasia ambampo mpinzani ana haki ya kupinga majibu ya kura ...hata haingehaingefika mambo ya Zanzibar.Najaribu kuwaza nini kingetokea Kenya iwapo Isaak angefuta uchaguzi kama alivofanya Jecha Zanzibar............
Anapo tupa changamoto inatusaidia kufahamu makosa na matatizo yetu kwa jicho la pembenisahau in Tz