Kenya GSU parade - fire

Ndio mlitoroka DRC baada ya kupewa kichapo cha mbwa kuingia msikitini na watoto waliojihami na panga. Walikata wanajeshi 17 wa TPDF na mmoja mpaka leo hajapatikana. Ilibidi majeshi ya nepal waje kuokoa tpdf kutoka kwa hilo genge la watoto.
Sasa ni bora hao kuliko wale waliopigwa na mujahdeen al harakati hadi wakafir*wa juu....duh aibu hii mjeshi afirw* na vijana wa kitanzania walio ktk kikosi cha mgambo cha mujahdeen al muslim
 
haya mazuzu yanaangali rangi na kushangiria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yenyewe yameona bunduki kwa movie za rambo na arnold basi na yenyewe yananunua,kumbe hawajui jamaa wanazi-market bunduki zao lakini ni za kijinga,sasa bunduki inachemka na kujam kweliii si unaweza kufa uwanja wa vita
 
There is a reason why Scars are rated among the best battle rifles.Infact it is the AK47 of the western world.
 
Hahaa ...kenya uses scar H chambered in 7.62x 51.Remember that Kenya also manufactures 7.62x 51 ammo.
 
Pumbavu!

Hakuna taasisi yeyete ya Usalama Tanzania inaajiri mtu asiye na mafunzo ya Kijeshi.

Wote ni wakufunzi wa JKT.
Jkt pia sio wanajeshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niwekee ushahidi hapa km jkt ni wanajeshi
Nyinyi mnajua vikwazo kweli vya kumfanya mtu mpka aitwe mwanajeshi[emoji1787]
 
Story za kujifariji, CIA wamedhibitisha kupitia cctv camera Westgate KDF wakiiba Jojo, milkshake, chocolates, biscuits, juice πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hiyo aibu haiondoki leo wala kesho
Aibu ni wewe uko nayo sio mwenye alipatikana akiiba.

Vitu zenye waliiba, ni vitu za maana na za pesa mingi lakini sio vitu za kiujinga ujinga kama zenye unasemea hapo.
 
Aibu ni wewe uko nayo sio mwenye alipatikana akiiba.

Vitu zenye waliiba, ni vitu za maana na za pesa mingi lakini sio vitu za kiujinga ujinga kama zenye unasemea hapo.

wewe mbuzi kweli[emoji28][emoji28]

polisi waibe bank sababu tu wanalinda pesa nyingi,sio 2 bob za manamba!!!

unajua maana ya dhamana wewe??
 
Aibu ni wewe uko nayo sio mwenye alipatikana akiiba.

Vitu zenye waliiba, ni vitu za maana na za pesa mingi lakini sio vitu za kiujinga ujinga kama zenye unasemea hapo.
Dah hiki ni kiswahili au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…