Michael Kiswaga
Member
- Sep 3, 2013
- 19
- 7
Naanza kuamini maneno ya Rais wa Uganda mzee Mseveni aliyowahi kuyasema kwamba Jeshi la Kenya ni la utaalamu yan mtu anaajiliwa kutokana na utaalamu wake na ni kazi kama kazi nyingine hazizingatii uzalendo wa mtu mmoja mmoja. Tukio linaloendelea Nairobi now ni uthibitisho kuwa Jeshi la Kenya na vikos vyake vya ulinzi sio wa taalamu. Leo wameamua kulipua moja ya duka mle ndani ili moshi uwe mwingi wapate nafasi ya kuwaokoa mateka. Kwa kitalamu ingelibidi wachukue Raman ya jengo thn wajue. Niwapi waasi wapo na mateka na kuivamia lakini cha kushangaza wamejaza vifaru nje na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kuingia ndani ya jengo na kujitolea muhanga kuwaokoa watu. Now ni siku ya tatu sasa tunakwenda hamna kipya. Kenya na serikali yake wanahaja ya kuangalia Jeshi lao upya pamoja na vikosi vyao vya ulinzi.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums


