Kenya haina Jesh la kazi wala Vikosi vya kiusalama vya shuguli

Kenya haina Jesh la kazi wala Vikosi vya kiusalama vya shuguli

hahahaha Watanzania bana, wenzenyu tunahuzunika tumepoteza familia na rafiki nanyi mnawaongelea security agencies wetu vibaya licha ya kazi kubwa sana walioifanya ya kuokoa hostages walio baki with minimal casualties. Learn to give credit where its due, we have commandos trained in Israel and the states but considering the hostage situation they had to tread carefully, there was also speculation that some of the hostage takers had strapped themselves with explosives, so it wasn't an easy task as some fruits here are trying to insinuate.

We are together, Kenyans!, we understand and feel it! BUT....frankly you late me down!, don't understand what your commandos are doing for such long! Hopped 12 hours was far enough to exercise due care to complete the operation. Maybe you want more international attention!
 
hahahaha Watanzania bana, wenzenyu tunahuzunika tumepoteza familia na rafiki nanyi mnawaongelea security agencies wetu vibaya licha ya kazi kubwa sana walioifanya ya kuokoa hostages walio baki with minimal casualties. Learn to give credit where its due, we have commandos trained in Israel and the states but considering the hostage situation they had to tread carefully, there was also speculation that some of the hostage takers had strapped themselves with explosives, so it wasn't an easy task as some fruits here are trying to insinuate.
u
Kwakweli nyie wakenya ni noma afrika mashariki na kati, watu kumi na tano, jeshi zima kuanzia jumamosi leo jumanne
 
hahahaha ngoja nicheke na haya mawazo yenu...kiufupi hata tanzania tupo nyuma zaidi,uliishawahi kujiuliza watu wanaingia kariakoo benki na wanakaa robo saa bila kukamatwa na wanatoka na gari mbili?
Hapa lingetokea tanzania ndio ungejuta na umburula huu wa jeshi la polisi.....eti lwakatare gaidi???!!!!!vipi wangekumbatana na mziki huu unadhani ingekuwaje??????
Kwanza ujue kabisa hizi nchi zetu ni tofauti na za wengine ambapo hao wengine wameingiza mitaa hadi majengo kwenye electronic sytem ambapo wanaweza kuangalia jengo kwa ndani kwa kutumia transmitters za nje ya jengo na wakaweza kuona kila kinachoendelea ambapo ni tofauti na sisi ambao mpaka tulipue moto ili moshi uwe mwingi ndipo tupite!!!!!
Hatuna jeshi wala vikoshi vyenye akili ya kitaalamu na uwezo wa kutumia mifumo ya kompyuta kuweza kuchunguza maeneo.
Kipindi fulani cha nyuma kdg waliiba nbc bank moshi mida ya jioni wakati wanafunga,wakakamata wafanyakazi wakawafungia ndani kwenye strong room halafu wakachukua vyakwao wakasepa halafu wakajifanya kama bado wapo ndani na kuwapigia simu polisi,polisi walipofika wakazingira jengo huku wakiogopa kuingia ndani kwa takribani masaa 2 kimya ndipo wakaamua kurusha mabomu (kama walivyofanya kenya) ili moshi uzidi waingie na wakafankiwa kuingia wakakuta hakuna majambazi bali wafanyakazi wamefungiwa strong room na ndipo walipoambiwa kuwa majambazi waliondoka muda mrefu sana.Sasa km wangekuwa na vifaa wangeweza kuangaliaq ndani mapema na kuchukua uamuzi.

Tusijidanganye kabisa,sisi tunajua kuwabambikia kesi akina Lwakatare tu na kutanganza kuwa tumekamata gaidi....-------
 
tatizo la ugaidi na ujambazi wa kawaida unazungumzia level mbili tofauti za kiusalama..
 
The only thing they provided is just advisory but the boots on ground are all Kenyan, that building has over 80 stores with banks, restaurants, movie theaters, boutiques, supermarkets and anything you can think of its a highly mordanised Mall thats why foreigners frequent it, it is so big, a tricky situation considering the hostages held up. the main aim is to save as many lives as possible since most of them are young kids like you don't already know there was a children event going on that fateful day. no explosives can be employed.

Hata kama utaonesha vipi how modern the malls are!! The fact will remain......the defensive forces shown weaknesses! evacuation can't take that longer where you already have the target!!!!
 
TPDF,CDO wangepewa masaa 3 tu,mission ingekua accomplished ,kingefuata tu kuwang'oa kucha na meno hadi waseme wametumwa na nani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Seriously?

Mle ni mjengoni mkuu sio vichakani kuwa kila risasi inayorushwa inaweza 'ikambahatisha' adui....Wamejitahidi kadiri walivyoweza mkuu. Mimi nafikiri labda 'we have been watching too many movies', mwenyewe nilitamani sana nione zile za watu kushuka na kamba, kutanguliza vilipuzi vya moshi and the like....lakini naona may be ni majeshi machache yanayoweza shughuli hizo...
 
Kibaya zaidi ukiangalia watu walihusika kwenye tukio hili wakiwa wameandikishwa kundini na kufundishwa ugaidi na watu ambao walilipua sehemu mbalimbali Kenya wakakamatwa halafu wakaachiliwa kiutata na mtando huohuo ukalipua tena na tena! japokuwa sina wasiwasi na jeshi letu kwa ukakamavu na kujituma kwa sasa, suala la tindikali likiachwa litabadilika kuwa mabomu na tunaelekea huko huko! Kwa suala hili la Westgate jeshi la Kenya lingepuliza dawa ya usingizi tu mambo yakaisha kiulaini maana sioni hao watekaji kuvaa masks! na pia vitu lama helicopter zingetumika kushusha watu kwenye mapaa na kushambulia kutoka pande nne!
 
Mimi ngoja nianze kwa kusema hivi, Kenya ni taifa huru lenye mamlaka ya kufanya maamuzi yake kwa manufaa ya wananchi na wageni wao kwenye ardhi yake. Pia tutambue kuwa swala hili limechukua muda mrefu saana kulitafutia muhafaka kushinda hata lile la Mumbai. Ni dunia nzima imeathirika na tukio hili lakini kitendo cha Kenya kukataa msaada wa mataifa ya nje katika muda muafaka ambayo yana uwezo na vifaaa vya ku-neutralise matukio kama haya ni kibaya sana.

Kwa upande mwingine naweza kukubali kwanini walikataa msaada kutoka mataifa mengine sababu walitaka kutuma ujumbe mzito sana kwa Al-Shabaab kwamba sisi tunatosha kupambana na nyinyi. Hivyo hata mkija siku nyingine tuko tayari kupambana na nyinyi. Lakini kiukweli kabisa kwa jeshi la Kenya maji yalikuwa ya shingo.

Na ninaweza kukubaliana na mleta uzi, sababu kupambana na hawa watu si kuwa na helikopta, bunduki, risasi na wanajeshi. Inahitaji zaidi ya hapo ku-neutralise matukio kama haya na pia vifaa vya ziada ambavyo jeshi la Kenya halina. Na si jeshi la Kenya pekee bali hata la Tanzania, Uganda na Rwanda vile vile.

Pia kiukweli kabisa serikali ya Kenya na viongozi wake walitakiwa kukaa kimya au kutumia diplomasia kuongea na waandishi wa habari. Kitendo cha wao kuitisha mikutano na kutoa taarifa ambazo kimazingira zilikuwa zinaoneka ni za uongo wala hazina ukweli wowote kimelifedhesha taifa lao na uwezo wa jeshi lao la polisi na ulinzi pamoja na serikali yao.Unajua hivi vyombo vya habari huwa vina wataalamu wao wapo pembeni wanachambua kila kitu walichokuwa viongozi wa serikali ya Kenya wanachoongea na kuonyesha ni uongo mtupu.

Kwa mfano jana walisema ule moshi ni magodoro watalaamu wa moto walipinga kabisa wakasema magodoro hayawezi kutoa moshi mzito vilekwa mrefu vile, Pili walisema magodoro yamechomewa nakumat wakati ukitazama blue-print Nakumat iko upande mwingine kabisa na moshi ulipokuwa unatokea. Wakasema hata kama kungekuwa na upepo unaoingia mule ndani moshi ungekuwa na mwelekeo tofauti.

Pia wakasema kila mtu ameshaokolewa mpaka jana jioni. lakini red cross wanasema watu 65 walikuwa bado hawajapatikana. Waziri akasema wameshwa wauwa magaidi wote lakini Al-Shabab wakakanusha na kusema watu wao wapo hai na wanaendeleza mapambano. Wataalamu wa ugaidi wakasema wanaamini wanachosema Al-Shabab sababu hawana desturi ya kudanganya. Waziri wa nchi anasema hakuna mwanamke gaidi katika tukio lile, waziri wa mambo ya nje anasema yupo mwanamke mwenye asili ya Uingereza.

Inasikitisha sana jinsi hili tukio zima lilivyoenda.

huu haukua muda sahihi wa kutuma ujumbe, kutuma ujumbe ilikua watoe policy kama ya bushi wakati anaivamia Iraq, wangemaliza haya halafu waanzishe full scale war huko Somalia against al shabaab huo ndo ungekuwa ujumbe mzito.

ila kwa siraha za kisasa kweli wako vizuri sana sisi watanzania bunduki zetu zikitolewa unaona ni zile zilizotumika kwenye vita ya uganda na zile ambazo security companies wanazotumia kufanya uliniz wakati wa kusafirisha hela zenye magazini kama kibuyu kinachopachoikwa. lakini yote kwa yote tz wa ngeshamaliza kazi hapo
 
Hiyo ramani wanayo na wanaisoma sana. Halafu kumbuka wanasaidiwa ushauri na wataalamu kutoka kila pembe ya dunia (incl. Israel, UK, US ..). Zile helcopter zinazoruka zinafuatilia in real-time yanayoendelea mle ndani. Hadi kufikia hatua ya kulipua hilo duka watakuwa wamenotice kitu ndani..
sasa baada ya dhahama hii kama ni kampuni binafsi atafidiwa kweli au ndiyo imetoka
 
hahahaha Watanzania bana, wenzenyu tunahuzunika tumepoteza familia na rafiki nanyi mnawaongelea security agencies wetu vibaya licha ya kazi kubwa sana walioifanya ya kuokoa hostages walio baki with minimal casualties. Learn to give credit where its due, we have commandos trained in Israel and the states but considering the hostage situation they had to tread carefully, there was also speculation that some of the hostage takers had strapped themselves with explosives, so it wasn't an easy task as some fruits here are trying to insinuate.
kama vikosi hivi vilipata mafunzo israel basi wakenya ni wagumu kuelewa!
Mmezoea propaganda sana and now you are faced with a real field scenario.
 
Kuna wale waliotoa ushauri kwamba itumike "Sleeping Gas" ili wote "Mpunga na mchele" walale uchambuzi uwe rahisi. Niliiunga mkono kauli hii lakini waka opt kutumia nguvu. Usalama waliotumia wazee wetu kama Chifu Mkwawa ambaye alihusisha ulinzi hata kwa watoto ambapo mgeni aliyefika akauliza waliko wazazi wake mtoto alimuongoza sehemu nyingine kabisa kama vile kwenye njia ambayo ilikuwa imechimbwa shimo refu ambalo mhanga huyu aliweza kutumbukia humo na kuweza kamatwa kirahisi. Mbinu kama hizi ni suala la kuziboresha tu.

The gas is very lethal if administered without Doses, plus have you seen the Mall? it is so big, the roof is open and has more than 80 large room, tell me how can Gas such a place??? Let me give you an account of Moscow 2002....
The Moscow theater hostage crisis, also known as the 2002 Nord-Ost siege, was the seizure of the crowded Dubrovka Theater on 23 October 2002 by some 40 to 50 armed Chechens who claimed allegiance to the Islamist militant separatist movement in Chechnya.[SUP][1][/SUP] They took 850 hostages and demanded the withdrawal of Russian forces from Chechnya and an end to the Second Chechen War. The siege was officially led by Movsar Barayev. After a two-and-a-half day siege, Russian Alpha Group forces pumped an unknown chemical agent into the building's ventilation system and raided it.[SUP][1][/SUP]
During the raid, all 40 of the attackers were killed by Russian forces, and about 130 hostages died due to adverse reactions to the gas (including nine foreigners).[SUP][2][/SUP] All but two of the hostages who died during the siege were killed by the toxic substance pumped into the theater to subdue the militants.[SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP] The use of the gas was widely condemned as heavy-handed, but Moscow insisted it had little room for maneuver, as they were faced with the prospect of 50 heavily armed rebels prepared to kill themselves and their hostages
 
Naanza kuamini maneno ya Rais wa Uganda mzee Mseveni aliyowahi kuyasema kwamba Jeshi la Kenya ni la utaalamu yan mtu anaajiliwa kutokana na utaalamu wake na ni kazi kama kazi nyingine hazizingatii uzalendo wa mtu mmoja mmoja. Tukio linaloendelea Nairobi now ni uthibitisho kuwa Jeshi la Kenya na vikos vyake vya ulinzi sio wa taalamu. Leo wameamua kulipua moja ya duka mle ndani ili moshi uwe mwingi wapate nafasi ya kuwaokoa mateka. Kwa kitalamu ingelibidi wachukue Raman ya jengo thn wajue. Niwapi waasi wapo na mateka na kuivamia lakini cha kushangaza wamejaza vifaru nje na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kuingia ndani ya jengo na kujitolea muhanga kuwaokoa watu. Now ni siku ya tatu sasa tunakwenda hamna kipya. Kenya na serikali yake wanahaja ya kuangalia Jeshi lao upya pamoja na vikosi vyao vya ulinzi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Naweza nisipinge sana kuhusu weledi wa majeshi ya kenya.ila hilo ni debatable ktk dhana ingine.Ila hapo ktk red sikubaliani na wewe.Kwanza lazima wmajeshi yawe na profession nyingine ktk dunia ya leo ambayo majeshi yanahitaji madaktari, ma engineer, ICT experts, Chemists, ..watu wa maelezo na habari, wana deiplomasia etc...na hizi mara nyingine pia makomando wanahitaji kuw ana huo weledi ili wawezi kwenda ktk mission tofauti..Inawezekana kabisa wakenye walikuwa cught by surprise hawakuwana information ya kutosha..kwani nairobi kwa muda mrefu wamekuwa wkaipekuwa na ku scan watu....ndio maana jamaa walipokuja walikuja kwa vurugu na mabomu hahivyo ulinzi w akawaida tuu usingeweza kabiliana na pia hapakuwa na sababu ya kuweka ulinzi wa kijeshi sehemu za raia .Biashara isingefanyika kwa hofu ya wateja.

Vifaru ,fire etc ni vitu vinavyohitajika kutokana ukweli kuwa matukio km hayao yanaweza kuwa na sura tofauti sana kadiri muda unavyokwenda..Mara ya kwanza watu walidhani ni majambazi, baade ni magaidi..what if ilikuwa nia chambo ya wapindua nchi kuanza kazi?

Mabomu ya moshi ni km ya machozi....waliochoma magodoro ni magaidi ili kuweka moshi ,wasionekane baad ay akuona hali imekuwa mbaya, na wao ndio walikuwa wakipiga mabomu....pia hujui km walishajifunga mabomu ya kujilipua hali ikiw angumu ili wafe na watu waliowateka..na ikatokea kuwa wakijipua ktk nguzo za jengo.

Si lazima mwanajeshi au kikosi maalumu kujitolea muhanga ktk operation,kujitoa mhanga ni hatua y amiwhso panapokosekana option, na hivyo kuhitajika mtu kurisk ktk kufanya kitu.Hatuendi uwa wataalamuw etu w akivita hata siku moja ,ndio maana tunawlainda viongozi na makomandoo wetu...disposable..ni Re Usable.

Kuwa fair..hembu tuambie ingekuwe Mlimani City au Quality Plaza ingekweje?
 
Hahaa Museveni?? muulize huyo Museveni Ugandan Casualties in Somalia ni wangapi kwanza. Poleni lakin Tanzania Somalia hamuwezi ng'o! afadhali Uganda mara mia.
wewe mujahidina unaona raha watu kufa????? kweli uislam ni dini ya amani!!!
 
Please have the facts before talking, Kenya is surrounded by volatile neighbors, Sudan, Southern Ethiopia, Somalia and nothern Uganda and thus our Forces are more equipped and active than any other in East Africa You should Probably check African Military rankings. Hao ambao uliona ni plain cloth detectives most of whom were off duty considering it was a Saturday and were first to respondView attachment 113370 on the scene. Details ndo hizi hapa. . .
View attachment 113369
View attachment 113367View attachment 113368

Hawa waliovaa kiraia hawa walisababisha operation isiende vizuri maana hata magaidi walivaa kama hawa.
 
Hata kama utaonesha vipi how modern the malls are!! The fact will remain......the defensive forces shown weaknesses! evacuation can't take that longer where you already have the target!!!!

walipeleka vifaru,ndege za jeshi,magari ya kijeshi,wanajeshi kibao kupambana na watu kumi,nilijiuliza sikupata jibu.KDF wajipange sawasawa
 
ni ukweli kwamba,tatizo limetokea tusilaumu wakenya,kitu kimetokea ghafla ila kwa magaidi si ghafla kwa kua wamejipanga,kuwa makini katika kuleta mada na uwe neutral ndio maana ya kuleta mada ili upate mawazo
 
Back
Top Bottom