joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wale wanaosifia uhuru wa mahakama na demokrasia Kenya tunaomba maoni yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wanaosifia uhuru wa mahakama na demokrasia Kenya tunaomba maoni yenu.
Wamejificha siku hizi, husikii hata mmoja akizungumzia kuhusu Kenya.Sasa mbona Antipas Lissu anasema tuige mfano mzuri wa Kenya?
Wale wanaosifia uhuru wa mahakama na demokrasia Kenya tunaomba maoni yenu.
Wewe ndio wale wale wenye kushikiwa akili, kelele za wakenya za kujisifia zomekufumba macho kabisa, haya endelea kujifunza.Ukweli ni kuwa bado kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka Kenya, ukisoma vitabu vingi vya mageuzi yaliyoleta maendeleo kwa binadamu, jamii kama ya wa Kenya ndiyo ilitoboa....[emoji4][emoji4] Tanzania bado tuna shida nyingi na jamii yetu bado ni duni hasa kwa mtazamo na kanuni za kileo....jamii yetu haijazoea 'challenge' mtu anaye 'challenge' huonekana kama vile si mstaarabu na hafai, hii ipo mpaka makazini kwetu, mitazamo ya wa Tanzania wengi wanao changia humu JF ni kuwa Kenya ni failed state....[emoji16][emoji16] Lakini ukija katika 'arguments' zinapofanyika kwa 'facts and evidence' huwa wanabwagwa mbali kabisa, mfano mzuri wa kulinganisha Kenya na Tanzania ni kama vile ndege aliyeko tawini kwa kuogopa kuruka anamcheka ndege aliyethubutu kuruka anapambana na mawimbi hewani, hii inachangiwa kwa kuwa nchi yetu imebarikiwa sana katika rasilimali, ukiangalia mfumo wa Kenya wamejikita zaidi kuendeleza rasilimali watu...hivyo Kenya unafundishwa kuvua samaki....ndoano na chambo utajua mwenyewe utakako pata....ilhali Tz tunasubiri zaidi tuletewe samaki.....[emoji4][emoji4]
Ukweli ni kuwa bado kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka Kenya, ukisoma vitabu vingi vya mageuzi yaliyoleta maendeleo kwa binadamu, jamii kama ya wa Kenya ndiyo ilitoboa....[emoji4][emoji4] Tanzania bado tuna shida nyingi na jamii yetu bado ni duni hasa kwa mtazamo na kanuni za kileo....jamii yetu haijazoea 'challenge' mtu anaye 'challenge' huonekana kama vile si mstaarabu na hafai, hii ipo mpaka makazini kwetu, mitazamo ya wa Tanzania wengi wanao changia humu JF ni kuwa Kenya ni failed state....[emoji16][emoji16] Lakini ukija katika 'arguments' zinapofanyika kwa 'facts and evidence' huwa wanabwagwa mbali kabisa, mfano mzuri wa kulinganisha Kenya na Tanzania ni kama vile ndege aliyeko tawini kwa kuogopa kuruka anamcheka ndege aliyethubutu kuruka anapambana na mawimbi hewani, hii inachangiwa kwa kuwa nchi yetu imebarikiwa sana katika rasilimali, ukiangalia mfumo wa Kenya wamejikita zaidi kuendeleza rasilimali watu...hivyo Kenya unafundishwa kuvua samaki....ndoano na chambo utajua mwenyewe utakako pata....ilhali Tz tunasubiri zaidi tuletewe samaki.....[emoji4][emoji4]
Wewe endelea kuimba na kukariri Kama KasukuUkweli ni kuwa bado kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka Kenya, ukisoma vitabu vingi vya mageuzi yaliyoleta maendeleo kwa binadamu, jamii kama ya wa Kenya ndiyo ilitoboa....[emoji4][emoji4] Tanzania bado tuna shida nyingi na jamii yetu bado ni duni hasa kwa mtazamo na kanuni za kileo....jamii yetu haijazoea 'challenge' mtu anaye 'challenge' huonekana kama vile si mstaarabu na hafai, hii ipo mpaka makazini kwetu, mitazamo ya wa Tanzania wengi wanao changia humu JF ni kuwa Kenya ni failed state....[emoji16][emoji16] Lakini ukija katika 'arguments' zinapofanyika kwa 'facts and evidence' huwa wanabwagwa mbali kabisa, mfano mzuri wa kulinganisha Kenya na Tanzania ni kama vile ndege aliyeko tawini kwa kuogopa kuruka anamcheka ndege aliyethubutu kuruka anapambana na mawimbi hewani, hii inachangiwa kwa kuwa nchi yetu imebarikiwa sana katika rasilimali, ukiangalia mfumo wa Kenya wamejikita zaidi kuendeleza rasilimali watu...hivyo Kenya unafundishwa kuvua samaki....ndoano na chambo utajua mwenyewe utakako pata....ilhali Tz tunasubiri zaidi tuletewe samaki.....[emoji4][emoji4]
Huku kazi tunaifanya siku tatu kwa wiki kisa maandamano ya kipuzi kupora Mali ya watu ili viongozi kadhaa wapati kuingia serikalini. Tundu Lissu akileta upuzi kama huo awekwe ndani mara moja sababu ikiwa anatumika na wazungu na vibaraka wao kuisambaratisha Nchi za Afrika.Wamejificha siku hizi, husikii hata mmoja akizungumzia kuhusu Kenya.
Acha ujinga, wana akili gani? Raisi aliyeko madarakani kachaguliwa na wa-Venezuela, kama wanabisha waruhusu Server za IEBC zikaguliwe, siku hiyo ndo mujua hawa watu wakoje....Ukweli ni kuwa bado kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka Kenya, ukisoma vitabu vingi vya mageuzi yaliyoleta maendeleo kwa binadamu, jamii kama ya wa Kenya ndiyo ilitoboa....[emoji4][emoji4] Tanzania bado tuna shida nyingi na jamii yetu bado ni duni hasa kwa mtazamo na kanuni za kileo....jamii yetu haijazoea 'challenge' mtu anaye 'challenge' huonekana kama vile si mstaarabu na hafai, hii ipo mpaka makazini kwetu, mitazamo ya wa Tanzania wengi wanao changia humu JF ni kuwa Kenya ni failed state....[emoji16][emoji16] Lakini ukija katika 'arguments' zinapofanyika kwa 'facts and evidence' huwa wanabwagwa mbali kabisa, mfano mzuri wa kulinganisha Kenya na Tanzania ni kama vile ndege aliyeko tawini kwa kuogopa kuruka anamcheka ndege aliyethubutu kuruka anapambana na mawimbi hewani, hii inachangiwa kwa kuwa nchi yetu imebarikiwa sana katika rasilimali, ukiangalia mfumo wa Kenya wamejikita zaidi kuendeleza rasilimali watu...hivyo Kenya unafundishwa kuvua samaki....ndoano na chambo utajua mwenyewe utakako pata....ilhali Tz tunasubiri zaidi tuletewe samaki.....[emoji4][emoji4]
Hata mkifanya kazi siku Moja kwa wiki, demokrasia haina mipaka kwani Katiba mpya mlipokua mkijisifu hamkujua matokeo yake?, Ninyi ni watu wapumbavu hamna akili kabisa.Huku kazi tunaifanya siku tatu kwa wiki kisa maandamano ya kipuzi kupora Mali ya watu ili viongozi kadhaa wapati kuingia serikalini. Tundu Lissu akileta upuzi kama huo awekwe ndani mara moja sababu ikiwa anatumika na wazungu na vibaraka wao kuisambaratisha Nchi za Afrika.
Kila nchi ina mapungufu yake, ila ya Tanzania sio mapungufu tena..ni ukoma uliotukukaHata mkifanya kazi siku Moja kwa wiki, demokrasia haina mipaka kwani Katiba mpya mlipokua mkijisifu hamkujua matokeo yake?, Ninyi ni watu wapumbavu hamna akili kabisa.
Jambo likifanywa na nchi zingine kwenu ni jambo baya, ila likifanyika Kenya mnakuja na sababu milioni Moja kuhalalisha ujinga wenu, hovyo sana ninyi.
Yani wewe mtu ovyo sana. Unafurahia kuwalamba matako hawa wenzako ili wakupende yet wanabaki wakikutusi tu. 🤣 🤣Huku kazi tunaifanya siku tatu kwa wiki kisa maandamano ya kipuzi kupora Mali ya watu ili viongozi kadhaa wapati kuingia serikalini. Tundu Lissu akileta upuzi kama huo awekwe ndani mara moja sababu ikiwa anatumika na wazungu na vibaraka wao kuisambaratisha Nchi za Afrika.
Hata mkifanya kazi siku Moja kwa wiki, demokrasia haina mipaka kwani Katiba mpya mlipokua mkijisifu hamkujua matokeo yake?, Ninyi ni watu wapumbavu hamna akili kabisa.
Jambo likifanywa na nchi zingine kwenu ni jambo baya, ila likifanyika Kenya mnakuja na sababu milioni Moja kuhalalisha ujinga wenu, hovyo sana ninyi.
Nchi yenu ni nchi ya hovyo sana, mahakama yenu haina faida yoyote kwa raia wa Kenya, serikali inadharau na kupuuza maamuzi ya mahakama na hakuna kitu mnafanya.Kila nchi ina mapungufu yake, ila ya Tanzania sio mapungufu tena..ni ukoma uliotukuka
Kwahyo Acha hasira kw vi video vyako hapa ku justify malengo yako .
Mbona hu post Yale mazuri yaliyofanywa na mahakama...
Sasa ngoja uone hao polisi waliobugi km hawatosumbuliwa, Ahmed Rashid sai amebaki pekeake..