KENYA: Harusi ya Alikiba katika Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa

hakuna ukabila......kwani nyie kwenu mnafungaga ndoa kikabila???? kwanza swala la ndoa linaingiliana vp na utaifa au ukabila.....????
 
Sidhani kama ni suala kubwa sana ni maamuzi tu, kuna watu wanaoa wamevaa suti sijui nao wanachukua utamaduni wa wapi.. Mie nimepanga siku ya kuoa naenda nimevaa jinzi yangu tishet/shati chini nimetupia raba yangu kali, naenda kuchukua mke wangu namtia begani nampandisha ndan ya gar yangu nduki, dereva mwenyewe, hakuna cha bestman wala bibi yake na bestman, shereh sherehe sitaki, nawahi kutomba mie.
 
Lakini lini wa Tanzania tutakua serious na national issues kuna mambo muhimu ya kujadili unataka tupoteze akiri na mda kujadili ubishow wa mtu moja hilo litatusaidia nini......bado tutaburuzwa sana nawajanja nchi hii
Mkuu wacha kulia lia kwani kila mtu ana uhuru wake..
Kama ww unajiona mjanja kaishi uko unapoona walipo wenzio.Lkn kumbuka kuna maana kubwa ww kuzaliwa Tza
 
Tumeshuhudia Harusi hii iliyotikisa afrika mashariki kwa Tv ikiwa mubashara,Mume akiwa mtanzania nimejiuliza utamaduni ule wa visu Na majambia ni wa kabila lipi hapa Tanzania?

Nobody cares hata angevaa shoki kiunonii. Watajua wenyewe . Kila mtu na maisha yake
 
Kuvaa hivo imekua ni Tamaduni hasa hasa sehem walipoishi Sana waarabu utawakuta hata waswahili wakivaa hivo no kawaida tu
Kwa taarifa yako waswahili ni taifa na kiswahili ndiyo lugha yao. Nchi hii imeanzia kusini ya somalia na kuishia ngazija.
Nchi zote hizi zilikuwa zinamuingiliano mkubwa na waarabu na ndiyo maana wengi wao waliipokea dini ya kiislamu bila ya kulazimishwa kwani kwa kiasi fulani ilikuwa inaendana na mambo mengi ya mila kwenye eneo hili.
Lile vazi alilovaa Ali Saleh Kiba ni vazi rasmi la kiislamu wakati wa kuoa. Hivi sasa ingawa waislamu wengi wameathiriwa na mila za ughaibuni lakini bado kuna wengi hufanya kama alivyofanya kiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…