Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
Quran na biblia akimaanisha yuko tayar kumpigania saa yoyote ili mama watoto awe salamaTumeshuhudia Harusi hii iliyotikisa afrika mashariki kwa Tv ikiwa mubashara,Mume akiwa mtanzania nimejiuliza utamaduni ule wa visu Na majambia ni wa kabila lipi hapa Tanzania?