Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ya kwako iko wap apo!au unasifia gari za wanaume wanao kuweka mjini
Habari ndio hiyo...
Wewe ni boya kweli, hivi unadhani hayo magari hayakui written off?Hizo ni takwimu za uingizwaji wa magari Tanzania. Just add magari yalioyoingia Tanzania from 2005 to 2015! (Figures in '000)
82+ 90+ 160+ 312+ 317+321+330+340+345+370+380= 3,047,000 vehcles...
View attachment 1119365
For Kenya. This is a TOTAL No of vehicles registered.
View attachment 1119376
Thats where a data problem is. Aleyeingiza hizo data kwa Tanzania, ameweka yearly data, while in Kenya ameweka cumulative data...Both graphs are of the total number of vehicles registered sasa mbona unajumuisha za Tanzania na za Kenya hujumuishi? Shida zenu masomo yenu ni duni, those figures are cummulative. Google the word cummulative.
Kakwambia hivo ama umeitoa matakoni mwako? Ninachoona those are exactly the same graphs for both countries kwa hivo ukifanya cummulative, fanya hivo for both countries na ukifanya yearly registration pia fanya hivo for both countries.Thats where a data problem is. Aleyeingiza hizo data kwa Tanzania, ameweka yearly data, while in Kenya ameweka cumulative data...
To get a correct data from Tanzania, tafuta mtu aliyeregister gari hivi karibuni. Kila card ina show cumulative cars registered in Tz. Sasa hivi huenda imefika milioni nne. Sijaangalia recent data kwa kuwa sija import gari recently. But I will find out...Kakwambia hivo ama umeitoa matakoni mwako? Ninachoona those are exactly the same graphs for both countries kwa hivo ukifanya cummulative, fanya hivo for both countries na ukifanya yearly registration pia fanya hivo for both countries.