Kenya has 4 times the number of cars in Tanzania.

Kenya has 4 times the number of cars in Tanzania.

Japo kuna jambo fulani hauja angalia kwa hesabu zako.
KE kuna wizi mkubwa sana wa double registration..Utapata Number kama KCM 888M ipo mara mbili au tatu[emoji16][emoji16]
We have nothing to argue based on statistics for that matter.
 
Also Tanzania has excess food 100 times than kenya
 
Pia kenya hawana unga na mchele wakati watanzania unga na mchele tunagawia nguruwe
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Pia kenya ardhi inamilikiwa na watu wachache huku Tanzania kila mwananchi anaruhusiwa kumiliki ardhi bila tatizo
 
Pia kenya mlichinjana kisa uchaguzi mkauana kama paka na panya hadi watanzania tukafika kuwasuruhisha
 
Pia tanzania imekomesha maziwa yenu maana tunayo yakwetu pia
 
Huu ni uongo wa mchana kweupe. Kwa ukubwa wa Dar es Salaam pekee,na magari yaliyopo,hicho kitu hakiwezekani.
Tuanze analysis hapa.
Mfumo wetu wa usajili magari upo kama hivi
1. Private:T...AAA mpaka T ....ZZZ.
Kwa sasa tupo T.... DQJ.
Kila herufi ina gari kuanzia 100-999=magari 899
Kwa hesabu za permutation/combination utapata ni magari kiasi gani
2. Namba za Serikali STJ,STK,STL,SU,DFP,PT,UT,TRC,JWTZ,STA,MT.
Dar es salaam pekee yake inakisiwa kuwa na wastani wa magari kama 500,000 mpaka 1,000,000.
Kumbuka pia Zanzibar ni Tanzania,hapo sijaweka SLS,SMZ na Z..AA mpaka Z....ZZ.
Nitakuja kufanya permutation/combination baadae nikija kuboresha ili kupata wastani wa magari kwa muktadha wa hesabu kwa mfumo wa sasa.
The actual figure say otherwise so hizo longolongo zako hazisaidii kitu. Dar es Salaam kuwa na magari mengi haimaanishi Nairobi haina mengi zaidi.
 
data form any website says it all. you have less vehicles than kenya had in 2004
We ni mpmbv # 1

Ova
 
Acha kutafuta kichaka wewe bojo
Magari binafsi ni 98% barabarani
Ilo ni jam la km 4 gari zimejaa hakuna hata moja ya serikal hapo na ni mfano mdogo tuView attachment 1119896View attachment 1119898
Tunajua hii ndio barabara pekee kutoka cbd,so sio maajabu kua na gari nyingi.lakini ukija Nairobi kuna more than five highways zinazoelekea cbd kutokea mikoani na bado zinabeba gari mob kuliko hii barabara
 
Hiyo ni barabara moja tu Ally Hassan Mwinyi.
Kuna barabara zingine kubwa za kutoka CBD ambazo ni Morogoro road, Nyerere road, Kilwa raod, ..., n.k.
 
Tunajua hii ndio barabara pekee kutoka cbd,so sio maajabu kua na gari nyingi.lakini ukija Nairobi kuna more than five highways zinazoelekea cbd kutokea mikoani na bado zinabeba gari mob kuliko hii barabara
Barabara kubwa zinazoingia mjn Ni morogoro road,kilwa road,Nyerere road na sio Bagamoyo road pekeyake
IMG_0273.jpg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
More cars more more pollution by the way
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom