Kenya has 4 times the number of cars in Tanzania.

We ya kwako iko wap apo!au unasifia gari za wanaume wanao kuweka mjini
 
Those data are invalid. Eti Tanzania ina magari laki tatu na themanini kwa takwimu za mwaka 2015! Wakati nanunua gari mwaka 2014, gari yangu ilikuwa na kadi namba ya 2,500,000. Yani takwimu za TRA, zilionesha kuwa gari yangu ilikuwa ya milioni mbili na nusu by yr 2014, hapo ukiwa umeondoa gari ambazo zimesajiliwa kwa namba za serikali, mashirika ya uma, mashirika yasio ya kiserikali, nk...
If by 2015 kenya, had 1,381,473, then Tanzania had twice the number of vehicles than Kenya... By that rate, now Tanzania may have 3.5M to 4.5 million cars...
Mtu ambaye amenunua gari hivi karibuni atuwekee card no yake tuone magari yamefikia mangapi!
 
Huyu jamaa sijui nimwite mjinga au pumbafu au ile ya kwao ya nyang'au.

Kwani idadi ya magari kwenye nchi inaamuliwa na picha? Muda wa jam na barabara vinatofautiana.

Leta takwimu sio huo upuuzi
 
Both graphs are of the total number of vehicles registered sasa mbona unajumuisha za Tanzania na za Kenya hujumuishi? Shida zenu masomo yenu ni duni, those figures are cummulative. Google the word cummulative.
Thats where a data problem is. Aleyeingiza hizo data kwa Tanzania, ameweka yearly data, while in Kenya ameweka cumulative data...
 
Thats where a data problem is. Aleyeingiza hizo data kwa Tanzania, ameweka yearly data, while in Kenya ameweka cumulative data...
Kakwambia hivo ama umeitoa matakoni mwako? Ninachoona those are exactly the same graphs for both countries kwa hivo ukifanya cummulative, fanya hivo for both countries na ukifanya yearly registration pia fanya hivo for both countries.
 
To get a correct data from Tanzania, tafuta mtu aliyeregister gari hivi karibuni. Kila card ina show cumulative cars registered in Tz. Sasa hivi huenda imefika milioni nne. Sijaangalia recent data kwa kuwa sija import gari recently. But I will find out...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…