Kenya has confirmed 123 new Covid-19 infections marking the country’s highest number of infections recorded within 24 hours

Kenya has confirmed 123 new Covid-19 infections marking the country’s highest number of infections recorded within 24 hours

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Kenya has confirmed 123 new Covid-19 infections marking the country’s highest number of infections recorded within 24 hours.

The new cases were recorded following the testing of 3,077 samples which is the largest sample size tested in the country since the outbreak of the disease, pushing the total number of cases to 1,471.

Out of the 123 cases, the bulk of the infections was recorded in Nairobi at 85 cases followed by Mombasa which registered 24 cases and Kiambu at 4.

In a press briefing on Wednesday, Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe noted that Nairobi’s Mathare and Kibra areas had registered alarming numbers at 33 and 14 respectively.

Embakasi North had 12 cases while Embakasi Central had four cases followed by other regions.

At the same time, three more patients have succumbed to the coronavirus disease raising the total number of fatalities in the country to 55.

Two of the three deceased persons were suffering from diabetes while the other was battling breast cancer.

Of the 123 new patients, the youngest is one-year old.

The Health CS in now appealing on Kenyans to volunteer for testing in the ongoing mass testing exercises even as he appeals on the public to strictly adhere to the recommended protective measures.
 
Itabidi wajifungie kabisa ndani 24hrs maana curfew haifui dafu.
 
Ohooo... Kama imefika Mathare na kibra bhas namba ya kesho itasoma mia mbili plus
 
Kenya Wana Mass Screening. Huku kwetu hatuna Mass Screening halafu Eti Ugonjwa Umetoweka Ghafla..
Sasa hata kama hatuna hiyo mass test inamaana wagonjwa wanapotelea wapi baada ya kuambukizana? Ndiyo maana tunasema korona imeshatii kwa Tanzania maana kama tuna ugonjwa na hatuumwi tunapona wenyewe majumbani, hapo tumia akili inakuwa kuwaje mbona hatufi kwa maelfu.
 
Sasa hata kama hatuma hiyo mass test inamaana wagonjwa wanapotelea wapi baada ya kuambukizana ? Ndiyo maana tunasema korona imeshatii kwa tz maana kama tuna ugonjwa na hatuumwi tunapona wenyewe majumbani ,, hapo tumia akili inakuwa kuwaje mbona hatufi kwa maelfu
Most of the patients are asymptomatic..mtu anakuwa mzima lakini ukimpima anatest positive.......most patients are asymptomatic.
 
Sasa hata kama hatuma hiyo mass test inamaana wagonjwa wanapotelea wapi baada ya kuambukizana ? Ndiyo maana tunasema korona imeshatii kwa tz maana kama tuna ugonjwa na hatuumwi tunapona wenyewe majumbani ,, hapo tumia akili inakuwa kuwaje mbona hatufi kwa maelfu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Binafsi mimi sina mtu nayemjua ambaye amekufa au ana covid19 ambaye naweza nikamtolea ushahidi kwa uhakika kabisa ila nabaki kusikia tu huku na kule...

Kama una ndugu, jamaa au rafiki aliyekufa au ana covid19 ambaye ni mtu wako wa karibu naomba nikupe pole.

ila kama na wewe katika watu ambao wamekuzunguka huna mtu wa karibu ambaye unamjua kwa 100% kua ana covid19 au amekufa kwa covid19 unabaki kusikia tu huku na kule kua mtu flani jana alianguka kwa corona ila hukumushuhudia kwa macho yako wala humfahamu basi fikiria mara mbili mbili.
 
binafsi mimi sina mtu nayemjua ambaye amekufa au ana covid19 ambaye naweza nikamtolea ushahidi kwa uhakika kabisa ila nabaki kusikia tu huku na kule...
Wengi tunasikia tu ndiyo maana juzi tulijazana coco beach kama tungeshuhudia kwa watu waliotuzunguka tungeufyata siku ile
 
Most of the patients are asymptomatic..mtu anakuwa mzima lakini ukimpima anatest positive, most patients are asymptomatic.
Kama umelijua ilo kwa tz sasa tatizo ni gani korona kwetu imekuwa dhaifu na hicho ndiyo tunajivunia kama tunaumwa hadi kupona bila kujijua sasa tuangaike kwanini
 
Sa wakishapimwa ndo wanapona?
Hapo sasa [emoji23][emoji23] korona limekuwa fumbo gumu sana kwa hao vichwa panzi ,wenzao watz miili yetu inazidi kutengeneza kinga maana ugonjwa unadhidi kuwa dhahifu miili yetu imesha pata kinga hadi WHO wamekili kuwa korona imeonyesha udhaifu Africa hasa tz na kutoa fedha ili uchunguzi Wa kisayansi ufanyike ili kujua ni kwanini soon dunia hitaitumia tz kama kielelezo cha msingi kuhusu kudhoofu kwa korona pasipo lockdown.
 
Madhari wahazidiwi mpaka kufa haina shida ,sio mashindano haya ya kupima Sana
Most of the patients are asymptomatic..mtu anakuwa mzima lakini ukimpima anatest positive.......most patients are asymptomatic.
 
Umeongea point Sana hiyo mada tushawahi kuulizana kazin mwezi mmoja na nusu uliopita, Mimi sijawahi kusikia ninaemjua hata mmoja
Binafsi mimi sina mtu nayemjua ambaye amekufa au ana covid19 ambaye naweza nikamtolea ushahidi kwa uhakika kabisa ila nabaki kusikia tu huku na kule..
 
Wakenya eti wanasema wataungana na wataalam wenzao kufanyia majaribio dawa iliotengenezwa uingereza Sasa c waseme tu wamekubali kutumika kwa majaribio, Kenya ni taifa dhaifu Sana Yani nchi inatengeneza dawa yake huko majaribio Kenya na vifo tu vya uingereza vya corona ni sawasawa na maambukiz ya bara zima la Africa uzidishe mara kumi
 
Mm binafsi huu ugonjwa nimeshauchukulia ni wa ki mkakati sana maana nikifikiria ulivyoenezwa dunia nzima nashindwa kupata majibu.

Hata mm kwa kweli sina ndugu/mtu ambaye kwa dhati na kwa ushahidi kuwa anaumwa Corona au aliyekufa ninayemjua japo kuna mmama mmoja kibongeeeee sana nilikuwa namjua tumemzika kama mwezi umepita ila sijui amekufa kwa nn japo siku ya kuchukuliwa maiti mochuari watu wote walivaa barakoa ila alizikwa na umati km kawaida.

Sasa muda mwingine nashindwa kuusema upo au haupo, yaani nipo njia panda tu na kunawa mikono nimeshaacha.

"First impression,Last conclusion"
 
Kenya Wana Mass Screening. Huku kwetu hatuna Mass Screening halafu Eti Ugonjwa Umetoweka Ghafla..
Mass screening ya kufikia watu chini ya 2000 kwa siku tena Nairobi yenye watu milioni nne?Okay mmewascreen watu wangapi out of watu wote wa Nairobi au Kenya yote?Itawachukua miaka 300 kuscreen Kenya yote huku maambukizi yakiwagonga watu.
 
Kenya ufukara nao inachangia na njaa.

Sasa mtu kupata mlo wa kawaida ni vita hiyo kinga ya mwili ya kupambana na kicorona anapata wapi?
 
Back
Top Bottom