Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Israel Napo,joto lilipoanza tu,idadi ya maambukizi ikashuka Sana,hata jirani zetu Qatar,Iraq pia maambukizi yako chiniHapo sasa [emoji23][emoji23] korona limekuwa fumbo gumu sana kwa hao vichwa panzi ,wenzao watz miili yetu inazidi kutengeneza kinga maana ugonjwa unadhidi kuwa dhahifu miili yetu imesha pata kinga hadi WHO wamekili kuwa korona imeonyesha udhaifu Africa hasa tz na kutoa fedha ili uchunguzi Wa kisayansi ufanyike ili kujua ni kwanini soon dunia hitaitumia tz kama kielelezo cha msingi kuhusu kudhoofu kwa korona pasipo lockdown.