Kenya has got only 2 Neurosurgeons, while Tanzania has 16 of them

Nilitaka nishangae kwenye mambo ya kitaaluma Tanzania iishinde kenya? kenya ligi zake anaachwa na nigeria na south wengine anafukuzana nao tu, hapa hata ije list ya wahandisi au wanasheria kenya wako mbali mno walitoka ujinga mapema sana na MOI alifanya kazi kubwa kwenye elimu yao ndio maana wakenya wanajiamini sana
 
More production halafu mnakufa na njaa . Lady week imetokea ajali Mombasa mkawa mnaenda iba unga. Baada ya kusaidia majeruhi
 
By the way usiwe una andika Dr. Hii itumiwe only kwa PhD holders only hao wengine wa binadamu/wanyama tafadhali tumia Dkt..........
 
Yanaanguka lakini yale yanayobaki ni mengi kushinda ya kwenu na marefu kushinda ya kwenu na hadi ya kwenu mnachukua professionals Wakenya wambunie.
Yanayobaki ni mengi? Una takwimu za maghorofa yaliyopo hii nchi ambayo ka nchi kenu kanaingia mara 2. Your professionals?
Hizo ni tenders. Wapo bidders from everywhere in the world. Yours won. Hao professionals wenu were more respectful when applying for the tenders, they got paid. Kuna company ya ujenzi moshi wanapata tenders nyingi tu za ujenzi mombasa, na zipo ambazo sizijui.
Nyinyi mpo hovyo kwenye civil engineering, wachache wako poa, ila wengi ni bogus, inafahamika. Na hata mapishi, Tz is ahead of you, hamjui kupika wakunya
 
Hebu tusaidie kutupa kutoka kwa reliable source ya Ministry of Healthy ili umalize ubishi.Hii ya ku google haina maana sana Mkuu,japo siamini pia kama Kenya ya kina Miguna inao wawili tu.
Ni ujinga kuamini google kama source sahihi humo kila mtu ana publish aonavyo. Si professional forum yao kenya ipo? Weka hiyo
 
You're very stupid if you think the size of the country and the number of skyscrapers/storied buildings in it are related.
 
Ni ujinga kuamini google kama source sahihi humo kila mtu ana publish aonavyo. Si professional forum yao kenya ipo? Weka hiyo
Mbona umeamini ya Tanzania yet aliyepost hajaweka source from a professional forum?
 
You're very stupid if you think the size of the country and the number of skyscrapers/storied buildings in it are related.
Stupid. Where did I mention abt the size of a country and skscrapers. Nimekuuliza unafaham idadi ya majengo yote Tz, nchi yenye ukubwa mara mbili zaidi ya kunyaland.
Au unataka kusema Kenya mna maghorofa mengi zaidi ya Tz.
 
Hujielewi.🚮🚮
 
Most of your large civil contracts are normally undertaken by the chinese wacha ubishi, ama tuingie taneps ni akina estim construction that have muscle na owners ni british with the md being kenyan
 
And he clearly told you the size of a country does not determine the number of storied buildings in the country. Yes, you're stupid.
 
Most of your large civil contracts are normally undertaken by the chinese wacha ubishi, ama tuingie taneps ni akina estim construction that have muscle na owners ni british with the md being kenyan
Sasa ww unanibishia mtu nipo hapa. Most of our civil contracts are undertaken by locals. Ww ndio uwache ubishi. Zile zinazotangazwa mzabuni ndio huwa kuna compe na multinational companies. Ambazo ni chache.
 
And he clearly told you the size of a country does not determine the number of storied buildings in the country. Yes, you're stupid.
Dude. Who said the size of a country determines de number of storied buildings in a country. Ni lugha hamuelewi au y'all that much stupid.
 
Sasa ww unanibishia mtu nipo hapa. Most of our civil contracts are undertaken by locals. Ww ndio uwache ubishi. Zile zinazotangazwa mzabuni ndio huwa kuna compe na multinational companies. Ambazo ni chache.
Locals ni routine/periodic maintenance,major roads ni chinese tuingie taneps tuone
 
And yet you depend heavily on Tanzania maize to feed your starving population!
 
Hii inanikumbusha ile study ya WorldBank iliosema madaktari wa Tanzania wanaperform sawa na Clinical nurse wa Kenya interms of diagnosis and prescribing the right treatment., Yani Nurse wa Kenya akienda Tanzania ni sawa sawa tu na Doctor!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…