Nilitaka nishangae kwenye mambo ya kitaaluma Tanzania iishinde kenya? kenya ligi zake anaachwa na nigeria na south wengine anafukuzana nao tu, hapa hata ije list ya wahandisi au wanasheria kenya wako mbali mno walitoka ujinga mapema sana na MOI alifanya kazi kubwa kwenye elimu yao ndio maana wakenya wanajiamini sana